Kuna huu upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusiana na uamuzi wa Serikali ya Rais Samia kuipa tafu klabu ya Simba katika mechi yake ya pili dhidi ya Stellenbosch huko Durban, South Africa.
Yamezuka maneno kutoka pande fulani zikisema Simba imepewa ndege halafu badala ya kubeba mashabiki wake...