ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Top gun grumman f-11 supersonic fighter & a tiger who had bitten its own tail: ndege vita iliyojipiga yenyewe kwa kukimbia speed kuzidi kombora lake

    TOP GUN GRUMMAN F-11 SUPERSONIC FIGHTER & STORY OF A TIGER WHO HAD BITTEN ITS OWN TAIL: Ndege vita iliyojipiga yenyewe kwa kukimbia speed kuzidi kombora lake. UTANGULIZI: Jaribu kujenga picha ya kwamba Morani wa kimasai anarusha mkuki (mkuki wenye ncha kali mbele na nyuma) mita kadhaa mbele...
  2. JamiiForums Tanzania Ugunduzi 2020: Ili abiria wasife katika ajali ya ndege basi watengeneze viti vya kufyatuka kama marubani wa ndege vita

    Nimeliwaza wazo hili kwa kina na kuona kuwa ikiwa ndege vita marubani hupona itokeapo ajali kwa kufyatuka na kiti basi ni possible ndege za abiria kuwa na mfumo huo ila wazingatie mwavuli uwe na uwezo wa kuelea katika maji.na pia wapitishe watumishi wa ndege codes maalumu kabla ya kufyatua ikiwa...
  3. JamiiForums Tanzania VIDEO: Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema atema cheche dhidi ya CCM na serikali yake

    Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema, Hemed Ally, ametema zake cheche hizo mbele ya wananchi huko Bagamoyo. Msikilize....
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madagascar waongeza lockdown baada ya kirusi kuzingua balaa, hivi hawa si ndio Wabongo walifuata dawa yao kwa ndege

    Nakumbuka picha za mawaziri wa Tz wakinywa vikombe vya dawa ya Madagascar iliyofuatwa kwa ndege ya ikulu, wabongo wakawa wanatokwa mipovu walipoambiwa muhimu hiyo dawa ikafanyiwa ukaguzi wa kisayansi kabla ya kuichangamkia kama walivyofanya kwenye kikombe cha babu. Sasa hao wenzetu Madagascar...
  5. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu: Kijana ataka kuzamia Ulaya kwa kujificha kwenye injini ya ndege

    Hapa ni Mungu tu aliyemuokoa huyu dogo. Sisi tuliosoma Physics japo ya St. Kayumba tunajua nini kingemkuta huyu dogo baada ya Injini kuwashwa. Kwa kifupi hata unywele wasingeambulia ndugu zake.
  6. JamiiForums Tanzania Gharama ya kusafirisha mzigo kwa ndege

    Wakuu habari natumai wazima wa afya. Ningependa kuuliza hivi gharama ya kusafirisha mzigo kwa ndege kutoka nje ya nchi huwa ni kiasi gani? Asia, Marekani nk Asateni. Natanguliza shukrani.
  7. JamiiForums Tanzania STEALTH (LOW OBSERVABLE) TECHNOLOGY | Teknolojia ya ndege kutoonekana/kutotambulika na rada (RADAR)

    GTs na wadau wote wa JamiiForums kwa ujumla, habarini! Kabla ya yote, niombe ukaribu wenu hapa katika hiki ninachokwenda kukiwasilisha kwenu. Natumai tutakuwa pamoja kuanzia mwanzo hadi mwisho katika uchambuzi wa kina kuhusiana na teknolojia ya stealth ambayo imekuwa ikisifika hasa katika...
  8. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu madirisha ya ndege

    Madirisha ya ndege ni madogo sana, kwa nini wasanifu wa ndege wasisanifu ndege zenye madirisha makubwa? Usanifu wa muundo wa ndege ni muhimu sana, na unahitaji kuhakikisha ndege inakuwa nyepesi na imara. Kutoboa sehemu yoyote kwenye ukuta wa ndege kutapunguza uimara wake, na inawabidi...
  9. JamiiForums Tanzania Marubani wa ndege ya Pakistan iliyoanguka walikuwa na kiwewe cha corona

    Hatimae ripoti iliyotoka baada ya uchunguzi wa visanduku vya kunasa sauti ya ndege ya Pakistan airways (PIA) aina ya Airbus A320 iliyoanguka mnamo tarehe 22 Mei mwaka huu 2020 na iliyokuwa imebeba watu 97, kumbe walikuwa wakijadili habari za corona safari nzima. Majadiliano hayo mwishowe...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ndege wanatoa tahadhari kwamba ndege za ATR 72 haziko salama tena kusafiria; Precision Airways bado wanazitumia?

    Katika pitapita yangu ya kupata habari za dunia, nimekutana na habari ambayo imenishitua sana ikisema ndege za ATR ambazo hapa kwetu zinatimiwa na Precision Airways si salama tena kusafiria, na hata sasa zinaingizwa katika orodha ya ndege mbaya duniani zilizowahi kutengenezwa (the worst planes...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Upinzani teueni Mgombea Kati ya walioko Tanzania ndege za ulaya hazisafiri hazijulikani lini zitaanza sababu ya Corona

    Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua...
  12. JamiiForums Tanzania JAWS OF THE FORMIDABLE DRAGON BRIDGE: Daraja muhimu la North Vietnam lililosumbua ndege vita (Fighter Jets) za Marekani kuvunja kwa miaka saba (7)

    FORMIDABLE JAWS OF THE DRAGON BRIDGE: Daraja muhimu la North Vietnam lililosumbua ndege vita (Fighter Jets) za Marekani kuvunja kwa miaka saba (7). DRAGON'S JAW ni jina la utani la watu wa Vietname kwa daraja la Thanh Hóa. Wakati wa Vita vya Vietnam, wachambuzi wa masuala ya ujasusi wa CIA...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Katibu Mkuu Wizara ya Maji aenda kuchimba mtaro wa maji wilayani Chato

    Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo anaonekana akichimba mtaro wa kulaza bomba katika mradi unaogharimu zaidi ya TShs bilioni 8 kupeleka maji kwenye vijiji vitatu.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ile ndege ya ATCL iliyopeleka nyama ya mbuzi Oman haiwezi kupeleka minofu ya Sangara Ulaya?

    Jana waziri wa fedha Mh Mpango amesema serikali imeingia mkataba na mashirika ya ndege ya nje mfano Rwandair na Ethiopian Airline kuweza kusafirisha minofu ya samaki kutokea Mwanza na mbogamboga kutoka KIA kuelekea Ulaya. Swali dogo: Ile ndege ya ATCL iliyosafirisha nyama ya mbuzi haiwezi...
  15. JamiiForums Tanzania Nafuatwa na ndege kila mahali, hii ina maana gani?

    Hili jambo sijalielewa kabisa, mnisaidie! Nyumbani kwangu kuna ndege wengi sana tena wengine wameweka viota vyao mpaka darini, hasa kwenye baraza la nyumba. Nina ofisi maeneo fulani ya mji, nashangaa ndege hawa hapa, alianza mmoja wameongezeka kila siku, wamefikia hatua yakujenga viota vyao...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu usiku wa leo: Wale ndege aina ya "njiwa' walitolewa kama zawadi ili kuwaziba midomo waliopewa huko katika Bara fulani la mbali

    Usiku wa kuamkia leo nimeota kuwa kuna mfalme mmoja katika nchi ambayo jina limenitoka, katoa zawadi ya njiwa wazuri kwa watu mashuhuru katika sherehe aliyoiandaa kwa yeye kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa (Birthday). Nilijiuliza sana maana ya ile ndoto na baada ya kutafakari kwa kina...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tunaomba tufahamishwe gharama za matunzo ya ndege za ATCL za kila mwezi na hasara tuliyopata tangu zipaki kwa ajili ya matatizo ya Corona duniani

    Kwa wale wanaojua masuala ya uhandisi wa ndege pamoja na kuzitunza, wataelewa kwamba hakuna kitu chenye gharama kubwa kama kupaki ndege bila kuitumia. Unapokuwa na ndege ni lazima itumike karibu kila wakati. Gharama za kuitunza ndege iliyopaki ni kubwa sana. Tulikuwa na shamrashamra za kununua...
  18. JamiiForums Tanzania Anga zimefunguliwa, lakini wenye ndege zao wamegoma kuzileta nchini!

    Tulimsikia Mheshimiwa Rais Magufuli akiutangazia Ulimwengu kuwa ameifungua mipaka ya nchi na hivi sasa ni ruksa mashirika mbalimbali ya ndege ya kimataifa kuzileta ndege zao nchini Sasa tulitegemea baada ya tamko hilo la Rais, tuzione ndege zikimiminika kuja nchini kuwaleta watalii na...
  19. JamiiForums Tanzania Qatar Airways to restart flights to Dar es Salaam, Tanzania from 16 June 2020

    Dar es Salaam will be the airline’s first destination in Africa to resume scheduled flights Airline will operate three weekly flights with an Airbus A320 DOHA, Qatar – Qatar Airways is pleased to announce the airline will be resuming services to Dar es Salaam, Tanzania from 16 June 2020. The...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…