ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ajificha kwenye tairi la ndege kutoka Afrika Kusini mpaka Uholanzi

    Polisi wa kijeshi nchini Uholanzi leo wameshangazwa kumkuta mtu aliyekuwa amejificha chini ya ndege kwenye eneo la tairi la mbele kuwa yuko salama. Ndege hiyo ilisafiri kwa saa 11 kutokea Afrika mpaka Ulaya. Ndege hiyo ya mizigo ilitokea Afrika Kusini na kutua Kenya kwa muda mfupi kabla ya...
  2. JamiiForums Tanzania Huduma ya 5G yadaiwa kuathiri Mawasiliano ya Ndege. Mashirika makubwa yasitisha safari zake Nchini Marekani

    Mashirika makubwa ya ndege Emirates, Air India, Air Nippon na Japan Airlines yamesitisha safari zake za kwenda Marekani kutokana na huduma ya mtandao wa 5G. Jana asubuhi huduma ya mtandao wa 5G ilianza kutumika nchini Marekani kwa kuwashwa minara 4500 ya 5G. Mashirika hayo ya ndege yamesitisha...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi tumepotea njia? Tunanunua ndege kwa Cash halafu tunakopa pesa kujenga vyoo vya shule na madarasa

    Hivi hili taifa halina wachumi au watalaamu wa mipango? Hivi waliopo madarakani hawana huruma na wananchi? Taifa bado maskini kabisa ambalo huduma za kijamii na kiuchumi bado zipo duni kabisa linakwenda kukopa Tril 1.3 na kujenga vyoo vya shule na madarasa huku likitumia Cash kununua ndege za...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais haifai hata kwa safari za humu ndani ya nchi?

    Nimeshangaa sana kuona Mama katua Dodoma leo na mojawapo ya zile ndege kubwa (Airbus) za ATCL badala ya kutumia ndege maalalumu ya Raisi(5H-ONE) ambayo ilikuwa ni lazima inunuliwe hata kama watanzania tungekula majani. Swali ni je, ndege ile haifai tena kwa safari za Raisi hata za humu nchini...
  5. JamiiForums Tanzania Hong Kong yahofia Wimbi la Tano la Corona. Yapiga marufuku ndege kutoka Nchi 8

    Hong Kong imetangaza marufuku ya wiki mbili ya Ndege kutoka Nchi 8 zikiwemo Canada, Marekani, India na Ufaransa kutokana na hofu ya Wimbi la Tano la COVID19 katika Jiji hilo Mbali na marufuku hiyo, Mamlaka zimetangaza kufungwa kwa sehemu za kuogelea, baa, klabu, makumbusho na vituo vya michezo...
  6. JamiiForums Tanzania Vigae vya kufugia ndege vinatengenezwa Uturuki

    Hata hivyo wanasayansi wanashauri tuendelee kupanda na kutunza miti. Miti ndiyo sehemu ya asili ya ndege kujenga viota vyao na kuzaliana. Vigae vikipata joto wakati wa jua kali si sehemu salama kwa ndege kuishi. Kumbuka ndege ni muhimu kwa kueneza mbegu za miti. Miti kama mipera ndege...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu ndege analindwa sana hapa jijini Mwanza. Kama wewe ni mgeni hapa chukua tahadhari

    Ndege mwenyewe ni huyu, usije ukajaribu kum suicide kivyovyote vile. serikali inamlinda sana. Most welcome Jijini Mwanza, Jiji Kubwa sana na lenye heshima kubwa Tanzania baada ya Dar es salaam.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Covid: Falme za Kiarabu wazuia ndege zao kuja Tanzania

    Hii ni habari kwa mujibu wa taarifa ya habar ya Azam saa mbili usiku huu. Serikali yashangazwa na uamuzi huo wa Falme za Kiarabu . Habari ndio hio.
  9. JamiiForums Tanzania Dubai, UAE: Ndege kutoka Tanzania kutoruhusiwa kutua kuanzia Desemba 25

    Mamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuzuia ndege kutoka Tanzania kutua kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa visa vya Kirusi cha Omicron. Nchi nyingine zilizozuiwa ni Kenya, Ethiopia na Nigeria. Hata hivyo, Ndege za UAE zitaendelea kupeleka...
  10. JamiiForums Tanzania Je, taarifa ya ndege ya Air Tanzania kuanguka ziwani Victoria ni ya kweli?

    Najiandaa kwenda airport Dar kumpokea mgeni wangu napigiwa simu sasa hivi ndege iliyokuwa iwalete Dar imeanguka ziwa Victoria, uokowaji unaendelea. Mwenye taarifa zaidi tujurishane maana Jiji zima la Dar na Zanzibar halina umeme. ===== UPDATE ====== Ndege za Air Tanzania ziko salama hakuna...
  11. JamiiForums Tanzania Ndege kupigwa faini kwa kuwasafirisha watu wasiochanjwa Ghana

    Maafisa nchini Ghana wamesema kuwa ndege ambazo zinawasafirisha raia wa kigeni ambao hawajachanjwa ndani ya taifa hilo zitapigwa faini ya dola$3,500 (£2,600) kwa kila msafiri. Makamouni ya ndege pia yanapaswa kuhakikisha kwamba watu wanajaza fomu zinazoelezea hali zao za kiafya. Muongozo mpya...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kuwapa Kenya ndege 12 aina ya cranes

    Serikal ya Tz imekubali kuwapa Ke ndege aina ya cranes ambao Taifa ilo la Kenya waliomba kwa Tanzania.
  13. JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege Kisongo jijini Arusha hauna hadhi

    Uwanja mdogo wa ndege kisongo ambao mara nyingi hutumika na watalii wanaokodi ndege ndogo kwenda kutalii katika hifadhi za taifa na sehemu za serengeti, ngorongoro na sehemu nyingine zenye vivutio vya utalii, hauna kabisa hadhi ya kuitwa uwanja wa ndege kwa maisha ya kileo. Maana muonekano ni...
  14. JamiiForums Tanzania Ndege ya Las Vegas yatoa huduma ya kufanya mapenzi kwa gharama ya sh million mbili

    Kampuni ya ndege binafsi ya nchini Marekani ya Love Cloud imeanza kutoa huduma kwa wapenzi wanaohitaji kushiriki tendo la ndoa kwenye anga la Las Vegas wakiwa kwenye ndege za kampuni hiyo. Kwa mujibu wa Kampuni ya Love Cloud, huduma hiyo itachukua dakika 45 ambapo wapenzi wanaoshiriki tendo la...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mnaoidharau TMA someni hapa, ndio mjue bila TMA, hata ujio wa ndege za kimataifa ungekuwa wa mashaka na hata Watalii kuwapata ingekuwa mtihani

    Nimesoma thread moja hapa JamiiForums watu wanaiponda TM. Nachowaambia hawa watu waachei kudhrau kazi za watu bila kufanya utafiti wa kutosha. Tambueni, mbali na huduma zingine, unaporuka na kutua salama kwa ndege hapa nchini, TMA inahusika pakubwa. Soma hii: Habari Imewekwa: Jan, 16 2021...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS 35BL Ujenzi wa Musoma Airport kumuenzi Baba wa Taifa

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATOA TZS 35BL KUJENGA UWANJA WA "MUSOMA AIRPORT " ILI KUMUENZI HAYATI BABA WA TAIFA KWA VITENDO. Huu ni muonekano wa baadhi ya vifaa vya ujenzi vya mkandarasi Beijing kutoka nchini China ambavyo vinatarajiwa kutumika katika kazi za maboresho ya uwanja wa ndege wa...
  17. JamiiForums Tanzania Tusisherehekee Uhuru kwa kurusha tu ndege za kivita na kuvunja matofali

    Wakuu, nawasalimu kwa jina la Bwana wa Majeshi. Wote tunajua jinsi uhuru wa Tanganyika ulivyopatikana. Kwa kifupi ulipatikana kwa njia za majadiliano na diplomasia. Ningependa sana kuona kila tunapokaa kusherehekea uhuru wetu, tukumbushane jinsi gani majadiliano, ustaarabu na diplomasia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze ukweli inapata wapi pesa za kununua ndege

    Katika vitu ambavyo serikali yetu imeonyesha determination, ni suala la kununua ndege. Katika suala hili, serikali imeweka pamba masikioni na kuignore kila sauti inayohoji suala hili la kununua ndege. Mimi binafsi ninajiuliza na kujihoji maswali yafuatayo kuhusiana na suala la ndege. JE SERIKALI...
  19. JamiiForums Tanzania Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda Afrika Kusini, Zambia na Zimbabwe

    Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda South Africa, Zambia na Zimbabwe na kurejesha masharti ya karantini ya siku 7 kwa wote wanaotoka kwenye Nchi hizi baada ya kirusi kipya hatari cha corona kugundulika South Africa wiki iliyopita.
  20. JamiiForums Tanzania Uganda Airways kuongeza Senene katika orodha ya vyakula ndani ya ndege baada ya video ya mchuuzi kusambaa mitandaoni

    Baada ya kusambaa kwa video inayomuonesha mchuuzi wa Senene aliyekuwa akiuza bidhaa zake ndani ya Ndege ya Shirika la Ndege la Uganda, Shirika hilo limesema linafikiria kuongeza Senene (Nsenene) katika orodha ya vyakula ndani ya ndege katika safari za kimataifa zinazofanywa na ndege zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…