Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.
Nimelala nikakosa usingizi usiku wa leo nikiwaza, ndege yetu ya Tanzania ilifikaje Uholanzi?
1. Hatuna route ya kwenda Uholanzi
2. Hakuna connection useme ilipitia huko ikakamatwa
3. Haikwenda kwa matengenezo ikakamatwa
4. Ndege zote kubwa zimepakiwa kisingizio injini ni mbovu Kumbe...
Serikali imewatoa hofu Watanzania kuhusu taarifa za kushikiliwa kwa ndege aina ya Airbus A220 ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) nchini Uholanzi, ikisema haiwezi kutaifishwa kutokana na rufaa ya kesi inayoendelea katika Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID)...
Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea...
Siwachoshi!
Mliorogwa na jina JPM muendelee kuamini kuwa hasara zote za nchi hii chanzo chake ni yeye hata kama miaka miwili yuko kaburini!
Swali ni je, ndege yetu iliyokamatwa huko imefanya safari ngapi za kwenda na kurudi hata kabla ya JPM kuwepo?
Tutaaminije kama siyo mikono michafu ya...
Muwekezaji wa Kiswidi aliyeshinda tuzo ya Dola za kimarekani milioni 165 ameishawishi Mahakama ya Uholanzi kuishikilia ndege ndege ya Tanzania wakati pingamizi zikiendelea.
Mgogoro huo umetokana na kufutwa mpango wa kuendeleza mashamba ya sukari wilayani Bagamoyo umbao ulikuwa na malengo ya...
Rais Hakainde Hichilema amesema anataka kuzirejesha Tsh. Bilioni 450.4 zilizotumika na Rais Mstaafu Edgar Lungu kununua Ndege hiyo aina Gulfstream 650.
Hichilema amehoji “Kwa nini tuliamua kutumia Tsh. Bilioni 450.4 kununua Ndege? tungeweza kununua madawati mengi ya shule kwa ajili ya watoto...
Maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China
Wakati hali ya hewa katika Uwanja wa Ndege wa Yaohu huko mjini Nanchang ikiwa nzuri, maonyesho ya safari za ndege yalifanyika kwa siku ya pili huko Nanchang, mkoani Jiangxi.
Mkutano wa Sekta ya Usafiri wa Anga ya China na Maonesho ya Ndege...
Ndege ya Precision air iliyoanguka katika Ziwa Victoria Bukoba, Tanzania, November 6, 2022
Ripoti ya awali kuhusu uchunguzi unaoendelea kuhusu ajali ya ndege ya Precision nchini Tanzania inasema kwamba Maisha ya watu yangeokolewa endapo maafisa wa uokoaji wangeajibika kwa muda unaofaa.
Licha ya...
Swali kwa mamlaka husika yenye kusimamia Termanal 3 ya Dar es Salaam, je ni kwanini ndege toka nje zimeshindwa kutua wala kuondoka karibu siku nzima ya jana na hata sasa?
Kuna tatizo gani ambalo halipo bayana kiasi cha wasafiri kujikuta wakipoteza muda wao hapo uwanjani na safari zao kuwa...
Tangu kutokea kwa ajali hii, kumekuwa na maoni mengi na watu mbalimbali kuhojiwa ili watoe maoni yao. Kinachonmishangaza ni kuwa, wakati chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni hali mbaya ya hewa(najua uchunguzi unaendelea) mpaka sasa sijaona waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa...
Bwana yesu asifiwe
Wakuu Leo bwana nusu nikose ndege ya qatar Airways ya kuelekea qatar.
Wakuu kweli hii ilitaka kuwa aibu ya karne milionea kama mimi nikose ndege? Ila chap nikawapigia makao makuu ya shirika la qatar chap ikanisubiria Kenya uwanja wa moi ndipo mimi nikapanda precision air...
Kidumu Chama changu cha Mapinduzi, zidumu fikra zilizosahihi za Mweyekiti zisizo sahihi tuzifute, wananchi nawasalimu sana.
Tushirikishane hapa, kuna jambo linakwepwa sana na halisemwi, nalo ni kwakuwa chapa ya ndege yetu itashuka ikionekana hakukuwapo uwajibikaji wa wahudumu na shirika kwa...
Shirika la Ndege la Air Tanzania linatathmini hali ya Ndege zake ili kuziba pengo linalojitokeza katika kutoa huduma lililosababishwa na kusimamishwa kwa Ndege zake za Airbus A220 kutokana na matatizo ya injini.
Kwa mujibu wa taarifa, Ndege moja ya A220 ya ATCL iliruka mara ya mwisho Januari 3...
Baadhi ya Wajumbe wanaoiandaa hiyo Ripoti huku wakiendelea na Uchunguzi wa mwisho mwisho wanasema Ushahidi wa Vifaa Maalum vilivyomo katika Ndege vinaonyesha Milango ilifunguliwa na Wahudumu wa Ndege kwa kusaidiana na baadhi ya Abiria waliokuwepo Ndani na hata pale ulipofunguka waliokuja...
Imefahamika kuwa licha ya Jeshi la Wanamaji kujulishwa tukio la ajali, Boti rasmi ya uokoaji ya Kitengo cha Wanamaji ilichelewa kufika eneo la ajali na sababu ni kwamba haikuwepo katika Bandari ya Bukoba
-
Pia, pamoja na Askari wa Kitengo cha Wanamaji kuchelewa kufika, hawakuweza kufanikisha...
Mwanzoni, ilikuwa sintofahamu kama Kamikaze, drones kutoka Iran zinatumiwa na Urusi kuipiga Ukraine. Lakini sasa rasmi, dulu za intellijensia za marekani kama ilivyododoswa na gazeti la Washington Post na kuwekwa bayana na dw radio, zinasema, wawili hao wanajongeleana ili kuweka mikakati ya...
Ndege kampuni ya LATAM ya Peru imeligonga gari la zimamoto lililokatiza kwenye 'runway' ambayo iko "active". Maafisa wawili kati ya wanne waliyokuwa ndani ya gari hilo wamefariki papo hapo.
Baadhi ya wanasiasa nchini humo wamelitupia lawama jeshi hilo kwa kutofuata kanuni za kiusalama.
Video.
Mara ya mwisho niliposafiri na kutua uwanja wa ndege wa Bukoba nilikaa na mama mmoja wa kihaya aliniambia hali ya hewa uwa mbaya kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka around saa sita mchana,kulikuwa na mpango toka awamu ya tatu kujengwe airport kubwa maeneo ya omkajunguti 40km kutoka Bukoba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.