Papasa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 1,942
- 4,127
Mbona kama ufafanuzi umekua mwingi, siku zote hua najisemea ukiona ufafanuzi umeanza kua mwingi ujue kuna kitu hakipo sawa
===
"Wananchi waelewe kuwa ndege ile sio mara ya kwanza kutua kwenye uwanja wa KIA, ilishatua huko nyuma, nilivyoona ile taarifa mitandaoni nilishanga sana kwa sababu hawa wanaokuja na ndege ni watalii"
"Huko nyuma tulilia sana wakati wa COVID - 19 kwamba hatuna biashara, watalii hawaji, sasa serikali imetoka imetangaza na kujenga mahusiano bora huko duniani, sasa tunaanza kupokea wageni wa hadhi tofauti tofauti, badala watu watafakari hilo wanaenda kubuni stori ambazo hazima matiki"- Christine Mwakatobe, Mkurugenzi Mtendaji wa KADCO - Uwanda wa ndege wa KIA