ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Muda wa 'Shujaa Feki' wa Uokoaji Majaliwa Jackson na aliyemsifia 'Samjo Samjo' WM Kassim Majaliwa 'Kuumbuka' Unakaribia

    Baadhi ya Wajumbe wanaoiandaa hiyo Ripoti huku wakiendelea na Uchunguzi wa mwisho mwisho wanasema Ushahidi wa Vifaa Maalum vilivyomo katika Ndege vinaonyesha Milango ilifunguliwa na Wahudumu wa Ndege kwa kusaidiana na baadhi ya Abiria waliokuwepo Ndani na hata pale ulipofunguka waliokuja...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

    Imefahamika kuwa licha ya Jeshi la Wanamaji kujulishwa tukio la ajali, Boti rasmi ya uokoaji ya Kitengo cha Wanamaji ilichelewa kufika eneo la ajali na sababu ni kwamba haikuwepo katika Bandari ya Bukoba - Pia, pamoja na Askari wa Kitengo cha Wanamaji kuchelewa kufika, hawakuweza kufanikisha...
  3. tamsana

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya precision kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Air Bulletin Accident)

    Shujaa Majaliwa hatajwi kwenye report hiyo. Jisomee mwenyewe.
  4. eliakeem

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Urusi na Iran Sasa Rasmi Kuungana kwa Ajili ya Kupata Ndege Bila Rubani Kamikaze

    Mwanzoni, ilikuwa sintofahamu kama Kamikaze, drones kutoka Iran zinatumiwa na Urusi kuipiga Ukraine. Lakini sasa rasmi, dulu za intellijensia za marekani kama ilivyododoswa na gazeti la Washington Post na kuwekwa bayana na dw radio, zinasema, wawili hao wanajongeleana ili kuweka mikakati ya...
  5. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Zijue kampuni kubwa duniani zinazotengeneza ndege na nchi zinazozimiliki

    Wadau mjue haya: 1. BOEING-MAREKANI 2. AIRBUS-(ULAYA-Ufaransa, Ujerumani, Hispania) 3. BOMBARDIER-CANADA 4. COMAC-CHINA 5. MITSUBISHI-JAPAN 6. UAC-RUSSIA 7. EMBRAER-BRAZIL Nawakilisha
  6. mcshonde

    JamiiForums Tanzania Ndege ya LATAM Air Peru yangonga gari ya zimamoto

    Ndege kampuni ya LATAM ya Peru imeligonga gari la zimamoto lililokatiza kwenye 'runway' ambayo iko "active". Maafisa wawili kati ya wanne waliyokuwa ndani ya gari hilo wamefariki papo hapo. Baadhi ya wanasiasa nchini humo wamelitupia lawama jeshi hilo kwa kutofuata kanuni za kiusalama. Video.
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa Chato ni chaguo sahihi la Bukoba

    Mara ya mwisho niliposafiri na kutua uwanja wa ndege wa Bukoba nilikaa na mama mmoja wa kihaya aliniambia hali ya hewa uwa mbaya kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka around saa sita mchana,kulikuwa na mpango toka awamu ya tatu kujengwe airport kubwa maeneo ya omkajunguti 40km kutoka Bukoba...
  8. Execute

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu aliwasiliana na rubani wa ndege iliyoanguka ziwani, shujaa Majaliwa na Chalamila watuombe radhi

    Kwa mujibu wa maelezo ya watu waliokuwapo ndani ya ndege na kufanikiwa kujiokoa, ndege ilijaa maji ndani ya dakika moja tangu ilipoanguka ziwani. Walilazimika kupanda juu ya viti upande wa nyuma. Ushahidi wa picha za ndege ilipokuwa ziwani unaonesha upande wa mbele wote ukiwa ndani ya maji...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

    "Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera. "Huyu Kijana tena Wajina...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Huu mlango wa Emergency wa ndege unaozungumzwa ndio upi wajuzi naomba mnijuze

    Kumekuwa na sinto fahamu mitandaoni kila mmoja akiongea lake ikiwemo manusura wa ajali ya ndege iliyotokea mkoani Kagera. Ni kweli ukisikikiza maoni ya watu kwa makini unaona kuna hoja hapa ya kujadili, je mlango wa Emergency wa ndege ni upi hapa, muokoaji alitumia dhana gani kuufungua? Au...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waathirika ajali ya Precision Air waanza kulipwa fidia kwa siri

    Ikiwa zimepita siku saba tangu kutokea kwa ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air na kusababisha vifo vya watu 19, shirika hilo limeanza mchakato wa malipo ya fidia kwa familia zilizoathiriwa na ajali hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Novemba 14, 2022, Mkurugenzi wa...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mashujaa wasiofahamika ajali ya ndege PW Bukoba

    Brenda na Lydia walikuwa ni wahudumu wa ndege ya Precision iliyopata ajali ziwani kule Bukoba. Mabinti hawa warembo ni kama mchango haupo au ni kidogo sana, lakini ni hawa ndio walio watuliza akili abiria waliokuwa katika taharuki kubwa, ni hawa ndio waliogawa life jackets, na pia ni hawa...
  13. Congo

    JamiiForums Tanzania Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

    Naomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje? Wajuzi wa mambo ya ndege tafadhali.
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

    Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania. Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aitisha Baraza la Mawaziri kwa dharula, kujadili ajali ya ndege ya Precision

    Rais Samia Suluhu ameitisha kikao cha dharula na baraza la mawaziri kujadili ajali ya ndege ya precison iliyobeba uhai wa watu 19. Wakati ajali inatokea Rais Samia alikuwa nchini Misri. Mara ya mwisho baraza la mawaziri kuitishwa kwa udharula huu ni miaka ya 90. ===== President Samia Suluhu...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Ndege mbili zagongana angani wakati wa maonesho ya kijeshi

    Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi wakishuhudia. Haijaweka wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na...
  17. Dibwi Method

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa ajali ya ndege ya Precision Air

    Inasikitisha sana kuona wasomi wengi wamejikita kwenye ku-identify watu waliosaidia/waliookoa abiria 24 waliokuwa kwenye ndege ya Precision Air iliyofondoka Ziwa Victoria siku kadhaa zilizopita. Binafsi naamini kwamba hakuna aliyeokoa abiria hao Kwa ajili ya spotlight, ni tendo la kibinadamu tu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mlango wa abiria kwenye ill fated ndege ya Precision uko sehemu gani? Mbele au nyuma?

    Kama uko mbele ina maana ulikuwa submerged under water, sasa majaliwa aliuvunja vipi? Kumbuka kuna pressing force ya maji all over the plane with substantial pressure/force?. Akiufungua tu maji yana rush insid, kumbuka kuna obstacles za viti vilivyong'oka na msongamano wa abiria , commotion kila...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu aliyefungua mlango wa ndege ya Precision Air iliyopata ajali mjini Bukoba

    Nimeona wahanga wengi wakisema walifunguliwa na wasaidizi, Hilo likapelekea niweze kuhusu uwezekano wa kasia kuvunja mlango. Kumbuka mlango unafungwa kutoka nje. Hivyo resistance ni kubwa kama unagongwa kwa nje. NB: Sitaki kubeza jitihada za Majaliwa bali kama binadamu mwenye akili timamu...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, ripoti ya ajali ya ndege ya Precision Air, itawekwa hadharani au itafichwa "kabatini" kama tulivyozoea ripoti nyingine za nyuma?

    Ni kawaida kwa nchi hii, watawala wetu kutuambia wameunda Tume kuchunguza matukio mbalimbali yanayotokea ya ajali, lakini Tume hizo zinapokamilisha Kazi zake na kukabidhi kwa watawala, huwa hazisomwi kwa Umma na badala yake, zinafichwa! Nieleze kwa kutoa mifano michache, iliundwa Tume ya...
Back
Top Bottom