ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. milele amina

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Ulaya umeachia orodha iliyoimarishwa ya mashirika ya ndege yanayodhaniwa kuwa hatari, na kuyakataza kufanya kazi ndani ya anga la EU

    Muungano wa Ulaya umeachia orodha iliyoimarishwa ya mashirika ya ndege yanayodhaniwa kuwa hatari, na kuyakataza kufanya kazi ndani ya anga la EU. Sasisho hili la hivi karibuni linajumuisha Air Tanzania, ambayo imeongezwa kwenye orodha kufuatia wasiwasi wa usalama ulioangaziwa na Shirika la...
  2. Magical power

    JamiiForums Tanzania Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili. Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo.

    Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili. Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo. Ukiacha mbinu za kimuundo na upaaji, sehemu ya tafiti za viumbehai zinaonesha jinsi baadhi ya ndegehai kama Bukini mara kadhaa hugeuza kiwiliwili...
  3. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Inasemakana ndege aliyokuwa amepanda Bashal Al Assad tokeka Damascus imedunguliwa

    Dakika chache baada ya ndege hiyo kupotea katika rada, hichi ndicho walichoposti jeshi Israel katika ukurasa wao wa X.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TCAA: Hakuna ndege ambayo inaweza kuingia nchini bila kuonekana, tuna Rada 4 zimesimikwa

    Katika kuadhimisha Siku ya Usafiri wa Anga Duniani (ICAD) ambayo kilele chake ni Desemba 7, 2024 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi amesema kwa sasa hakuna ndege ambayo inaweza kuingia kwenye anga la Tanzania bila kuonekana. Akizungumza na Waandishi wa...
  5. dogman360

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Assad Yapigwa na Kombora la S-300 la Urusi

    Ndege ya Assad aina ya Ilyushin II ilianguka mashambani mwa Homs ilipokuwa ikiruka kutoka Damascus kuelekea kutua Tartus. Ilikuwa imepotea kwenye rada kwa kasi ya kilomita 40 kwa saa. Ripoti za milipuko ziliripotiwa katika eneo hilo. Ndege hiyo ilipigwa na kombora la S-300 la Urusi...
  6. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi ndege wa kufugwa

    Napenda sana kufunga ndege wanaofugwa kama kasuku,mdau anayejua wanauzwa wapi anijulishe
  7. D

    JamiiForums Tanzania Je unajua ni kwanini ndege wana jeuri ya kutua kwenye umeme wa 33Kv and below lakini wanaiogopa GRIDI YA TAIFA 220Kv

    Wakuu tulioambiwa wana magamba miguuni tulipigwa...Ngoja niwamegee ILIM 'SHEKH'. Ukizunguka mtaani utaona ndege wa aina tofauti wanatua kwenye nyaya za umeme wenye VOLTAGE kama 230V, 11Kv, 33Kv na hawaoneshi dalili yeyote ya kupigwa shoti. Lakini ukipita kwenye gridi ya taifa 220Kv utawaona...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aishi Manula augua ghafla Uwanja wa Ndege dakika chache kabla ya safari ya Algeria

    Wakuu Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport == Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Tangu Fastjet waondoke umepanda ndege mara ngapi ?

    Nimejikuta nazikumbuka sana monents za Fast Jet miaka ya 2010's Ni kipindi nachoweza kusema nilitoa ushamba wa ndege, ndege ilikuwa kama basi la mkoani. Ilikuwa ni mkombozi mkubwa sana kwa watu wenye uchumi wa kawaida. Ndege zilikuwa zinajaa inabidi ukate ticket mapema, Nilichokuwa...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Utuaji ndege wasimamisha mechi ya Azam na Dodoma jiji

    Wakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na uwanja huo Wa mpira. Hii imekaaje kisheria?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege nzuri (gharama) kwa trip y Dar to Dubai

    Salam wadau. Naomba kufaham Shirika la ndege lenye bei nafuu kwa trip ya Dar es Salaam kwenda Dubai. Shirika hilo likiwa na huduma ya VISA itapendeza zaidi. Naomba kuwasilisha wadau
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Dubai

    Salam wadau, naomba kufaham shirika la ndege lenye bei nafuu kwa ajili ya trip ya Dar es Salaam to Dubai. Pia shirika hilo likiwa na huduma ya kushughulikia VISA litakuwa na sifa ya ziada. Naomba kuwasilisha
  13. X

    JamiiForums Tanzania Elon Musk azikosoa vikali ndege vita za F-35 na mradi mzima wa utengenezaji wa ndege hizo

    Awaita waliotengeneza hizo ndege ni wajinga na wametumia gharama kubwa kutengeneza ndege zilizo complex ni upigaji tu Anasema kwa sasa future ni kwenye drones huku akionyesha swarm drones za China zikifanya maneuver angani...
  14. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Nani mtoa huduma bora ya Mizigo kwa ndege na meli kutoka China?

    Wakuu, Si wote tunaweza kwenda China kufuata mizigo hasa hii midogo midogo ya matumizi ya kawaida na pengine biashara. kwa miaka takribani mwili nimekuwa nikiagiza kupitia hawa jamaa wanaitwa UNIQUE CARGO awali walikuwa wanafanya vema lakini kwa siku za karibuni naona wanasua sua. mzigo wa...
  15. Mparee2

    JamiiForums Tanzania AIR Tanzania, ndege yetu pendwa!

    Naomba niwakumbushe tu hawa wenzetu kuwa Sababu mojawapo kubwa kabisa inayofilisi mashirika ya ndege ni kuto kuaminika. Kuaminika maana yake ni kuwa na ndege ambayo abiria hana uhakika kama itasafiri, lakini muhimu zaidi, itasafiri kwa wakati uliopangwa kwenye ratiba. Hii ni kwa sababu, watu...
  16. Seif Mselem

    JamiiForums Tanzania Jinsi Richard Branson alivyoanzisha kampuni ya ndege bila kuwa na mtaji wowote ule

    Na... Jinsi Wewe Unavyoweza Kuanzisha Biashara yako pia! Moja ya Changamoto ambayo Wajasiriamali wengi wamekuwa Wakipitia ni Jinsi ya Kuanzisha Biashara bila ya kuwa Mtaji. Yaani… Je kuna Njia yoyote RAHISI ya Kuanzisha Biashara bila kuwa na Mtaji? Ukweli ni Kwamba… HIYO NJIA IPO NA...
  17. Capo_di_Tutti_Capi

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza kufufua ndege zake za abiria, kukabiliana na vikwazo vya nje

    Kwa miaka mingi usafiri wa anga wa kiraia wa Urusi umekuwa ukitegemea ndege na baadhi ya vipuli muhimu kutoka nje ya nchi kama Boeing na Airbus. Anga ya kirusi ilijaa ndege za kigeni, zikiondoa ndege za ndani, hivyo kuzuia miradi ya ndege kama vile Tu-204/214 kuendelezwa. Katika kipindi hiki...
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini hii ndege ya serikali imeitwa Musoma na sio jina la mji mwingine wa hapa Tanzania?

    Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii ndege ya serikali imeandikwa musoma. So maybe help me to understand kwa nini iitwe musoma na sio Iringa,kasulu,sumbawanga,ilala au mji mwingine wowote? Asante
  19. ward41

    JamiiForums Tanzania Kwanini Brazil walifanikiwa mapema kutengeneza ndege kabla ya China?

    Technology ya ndege ni ngumu Sana. Mataifa mengi duniani Yameshindwa kuunda ndege. Mataifa kama Japan, Korea, Russia, UK tulitegemea wangekuwa wanatengeneza ndege lakini wapi Cha ajabu Brazil wanatengeneza ndege za embrear. Hii ikoje. Kwanini Wamefanikiwa kuunda ndege zao from the scratch
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge, PIC Yaridhishwa na Uwekezaji wa Serikali Viwanja vya Ndege Nchini

    KAMATI YA BUNGE, PIC YARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA SERIKALI VIWANJA VYA NDEGE NCHINI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Ujenzi wa Viwanja vya Ndege nchini. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam 15...
Back
Top Bottom