Salam wadau, naomba kufaham shirika la ndege lenye bei nafuu kwa ajili ya trip ya Dar es Salaam to Dubai. Pia shirika hilo likiwa na huduma ya kushughulikia VISA litakuwa na sifa ya ziada. Naomba kuwasilisha

bei nafuu inategemea na mazingira, mashirika huwa na offer katika vipindi tofauti, kwahiyo unaweza kukuta kipindi kingine Ethopia ni rahisi kipindi kingine Fly dubai ndio rahisi. Ukitoa hizo mbili na ATCL ndio mashirika ya bei rahisi. Emirate air line na Oman AIr mara nyingi bei zio juu unless kuwa na offer kali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.