ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Sikutarajia mpaka muda huu kuwa Simbachawene atakuwa bado ni Waziri wa Mambo ya Ndani

    Jana baada ya kusikia kauli za Waziri Simbachawene moyo wangu ulipigwa ganzi kwa muda. Nilitarajia kuja kufikia majira kama haya tutakua na waziri wa mambo ya ndani mpya. Waziri Simbachawene hana busara na hajiongezi, kauli aliyoitoa ni ya kuwadharirsha askari wetu na inawavunja mioyo sana...
  2. Hivi hakuna mfumo wa mawasiliano wa ndani wa viongozi wetu?

    Nashangaa maagizo ya kiofisi yanatolewa kwenye Vyombo vya habari ilihali ni maagizo yanayowahusu viongozi wetu na hautaruhusu sisi wananchi ata chembe.
  3. Waziri Simbachamwene ametudhalilisha Polisi

    Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana. Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi. Maumivu hayajaisha bado...
  4. Ushindi wa Konde; Mbadala wa CCM ni chama kipya kutoka ndani ya CCM

    USHINDI WA KONDE;MBADALA WA CCM NI CHAMA KIPYA KUTOKA NDANI YA CCM. Na Chakat,Hapa Kazi Tu. Tanzania inapaswa kuwa na vyama vya siasa vinavyojitambua na vinavyojua wajibu wao katika kuleta maendeleo ya Taifa kwani siasa sio chuki wala uhasama,siasa sio udini,siasa sio Ugaidi,siasa ni...
  5. M

    Hivi Kiungo Zawadi Mauya Kuitwa Taifa Stars kumezingatia Ufundi au ni Kubalansi tu Usimba na Uyanga wetu ndani ya Taifa Stars?

    Kwanini asingeitwa Himid Mao Mkami au Said Ndemla au Majogolo au Salum Aboubakary kuchukua nafasi ya Kiungo Punda Muzamiru Yasin Said Selemba na akaitwa Kiungo Mbovu na Mvivu Zawadi Mauya kutokea Yanga SC? Kwahiyo Mauya ameitwa Taifa Stars kwakuwa aliifunga Simba SC mwaka huu au? Huu Usimba na...
  6. Maajabu ya Simba na Yanga kwenye World Cup Qualifier 2021

    MALI anayochezea Diarra wa Yanga imeipiga Kenya ya Onyango wa Simba bao 5 Uganda anayochezea Aucho wa Yanga imeipiga Rwanda ya Kagere wa Simba bao Moja Na Malawi ya Banda na Nyoni wa Simba imekufa bao 3 kwa Ivory Coast
  7. K

    Kwa albam hii, Ali Kiba ndio king kweli wa bongo fleva

    Wakuu Alikiba hapewi sifa anazostahili. Kibongobongo mpaka sasa hana mpinzani maana wengine wote wanacopy & paste. Albam zao huboa sana kwani hukusanya nyimbo zao tu zilizotolewa huko nyuma na kusema ni album. Alikiba only king ameitendea haki bongo fleva. Tunapata ladha ya mziki wa Tanzania...
  8. Kenyatta na Nduguze wana mabilioni ya fedha waliyowekeza Uingereza

    Taarifa zenye ukubwa wa TeraByte 2.9 zimevuja zikiwa na taarifa kuhusu utajiri wa watu mashughuri duniani wakiwemo marais waliostaafu na walioko madadrakani Kwa nchi za Afrika taarifa za Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta zimeonekana katika taarifa hizo ambazo zinaonesha Kenyatta na nduguze wana...
  9. Ndoa za masikini zinapitia changamoto nyingi sana, kuanzia nafasi ndani ya nyumba.

    Kuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema anaemhitaji mwenzake anamfuata chumbani kwake. Nilitafakari na kuona hawa wanaishi kwa amani sana. Sasa...
  10. Rais Samia, Mkuu wako wa Wilaya ya Musoma, Dkt. Khalfan Haule amuweka ndani Afisa Elimu Wilaya kinyume na Maelekezo yako

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma amemuweka ndani Polisi Afisa Elimu wa Wilaya ya Musoma Mwl Kalugendo kwa uonevu ati kwa sababu Afisa Elimu huyo alichelewa kuhudhuria Kikao chake cha Chama kilichopangwa kupokea taarifa ya Maendeleo ya Wilaya ya Musoma. Mkuu huyu wa Wilaya anaenda kinyume na Maelekezo...
  11. Rais Samia; Achana na hoja ya Haki Sawa inakupotezea Ushawishi ndani ya jamii

    RAIS SAMIA, ACHANA NA HOJA YA HAKI SAWA. INAKUPOTEZEA USHAWISHI NDANI YA JAMII. Na, Robert Heriel. Kwa maoni na mtazamo wangu ambao kimsingi nauamini, ninaona mbele zaidi miaka kadhaa ijayo. Naomba Mhe. Rais uachane na hoja ya Haki Sawa bhaina ya Mwanamke na Mwanaume. Hakunaga haki Sawa baina...
  12. Kulingana na ushahidi wa kesi ndogo ndani ya kesi kubwa uliotolewa, Je unadhani maelezo ya Adamoo aliyoandikisha polisi yatapokelewa kama ushahidi..?

    Wengi tunahudhuria mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu . Wengine tunafuatilia mitandaoni hatua kwa hatua mwenendo wa kesi nzima.... Kwa ambao hawajui au hawakumbuki au kusahau ni kuwa, kinachoendelea sasa ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa (trial within a...
  13. SoC01 Upendo ndani ya ufahamu

    Binadamu kama viumbe wengine duniani ni kiumbe ambaye msingi wa uwepo wake ni mabadiliko au ukuaji, zaidi ya viumbe wengine baadhi ya ukuaji wake lazima aufanye kwa hiyari yake. Ni katika kipengele cha uhiyari katika baadhi ya ukuaji alichonacho na alichopewa binadamu, ambacho endapo akikitumia...
  14. M

    Wizara ya Mambo ya ndani iwaangalie hawa graduate kwa jicho la upekee

    Ok
  15. Wizara ya Mambo ya Ndani, tuambieni Watanzania kuhusu Jeshi la Polisi

    Kwa ufupi sana: Kama nyie ndio wasimamizi wa jeshi letu la polisi: Je: 1. Inaruhusiwa kwa muhusika wa uhalifu kuteswa ili akiri makosa? Mumuvue nguo, Mumning'inize kama popo, mchukue hela zake, mumuchome bibisi, je hii inaruhusiwa na kwa sheria gani, hebu tuambieni? 2. Makomandoo wameenda...
  16. M

    Wizara ya mambo ya ndani iwaangalie graduates kwa jicho la huruma

    Mtaani kuna graduates wengi sana wenye elimu ya vyuo vikuu.Kinachouma na kuumiza ni pale hizi ajira za wizara ya mambo ya ndani(polisi,magereza ,uhamiaji na zimamoto) kuwabagua vijana wenye elimu za shahada.Vijana wadogo wenye elimu za kidato cha NNE wanaajiriwa wenye shahada wanaachwa hii...
  17. C

    PICHA ZA NJE NDANI BASI(MABASI 3)MAPYA YA SIMBA WALIYOPEWA LEO.KUDOS CEO

    Aisee naona ni double diff(sijui nimeandika sahihi?) naona pia ndani kuna screens kwa mbele muonekano mzuri kwa kweli tena sana tu Moja litakuwa kwa senior team,jingine kwa simba queens,jingine kwa u-20 Hongera sana Barbra na mkataba wa milioni 800 juu Jezi (nembo ya mdhamini africarriers)...
  18. K

    Tiba ya Ukatili kwa Watoto na Saikolojia ya Msichana wa kazi

    Mama ni Tiba nambari moja ya kuzuia Ukatili kwa Watoto na Uponyaji wa kisaikolojia kwa wasaidizi wa kazi za Ndani. Zipo Shughuri nyingi sana zinazoweza kumsaidia mwanamke kuhakikisha chakula kipo nyumbani hata Kama baba kashindwa kusimama kwenye nafasi yake, zipo Shughuri nyingi za kumsaidia...
  19. Logo Tsh. 30,000/= tu! ndani siku 1, hapa hapa jf

    Utapata logo kwa ajili ya matumizi yako binafsi, taasisi, biashara, kampuni n.k. kwa Tsh. 30,000/= Tu ndani ya siku 1 hapa hapa jf ama ukipenda whatsapp: 0767 402964. Logo utatumia kutengenezea business cards, stika, flyers, bango la biashara yako, profile pictures za biashara yako au binafsi...
  20. M

    Chukueni hii kwani ni ya Moto Moto bado na nimeipata kutoka ndani (jikoni) Kwao kabisa

    Ukiwa na Marafiki ( Maswahiba ) wengi ndani ya Kambi ya Maadui zako wakubwa ni Raha sana. Haya Taarifa iwafikie kuwa huko Baharini Kambini Kumeshakucha na kuna Mtu hatakiwi tena. Baada ya kuona hatakiwi huku wengine Wakimsusa na hana kwa Kwenda sasa analazimisha Kukubalika na Oya Oya wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…