ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. SoC02 Nataka kuwa mtu wa maarifa ndani ya Jamii

    Utangulizi. Maarifa ni elimu ambayo mtu huitaji ili aweze kuitumia katika maisha yake au kusaidia wengine kwa changamoto ambazo hawawezi kuzitatua kutokana na ufinyu wa maarifa. Maarifa unaweza kuyapata kwa kutumia elimu rasmi hiisiyo rasmi mfano mtaani. Tukiongelea neno mtu wa maarifa ni yule...
  2. Nacy Pelosi na Kampuni yake ya NVIDIA na mgogoro ndani ya USA ni upenyo kwa China

    Hapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists. China ameonesha namna mkubwa anvyotakiwa ku behave ili kuweka dunia iwe salama. Nchi nyingi zitamwamini mchina kuliko marekani. Vilevile kwa namna...
  3. Kesi za ndoa na talaka 1,358 zafunguliwa ndani ya miezi 8 Dar es Salaam

    Mashauri ya ndoa na talaka 1,358 yamefunguliwa katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Temeke (IJC), Dar es Salaam katika kipindi cha kuanzia Novemba 2021 hadi Julai, 2022. Idadi hiyo ni sawa na mashauri 220 yanayofunguliwa kila mwezi kituoni hapo, hali inayoonyesha kuyumba kwa taasisi nyeti ya...
  4. C

    SoC02 Inatisha! Tazama jicho la mtawala na mtawaliwa ndani ya Katiba Mpya

    Hakuna maisha kamili pasi na sheria za kuyaongoza, sheria za Mungu waamini tunamini kuwa zimekamilika lakini nijiulize mimi na wewe je sheria wanazoandaa wanaadamu zitakuwa na ukamilifu milelee? Naomba utunze swali hilo utanijibu wakati ukifika. Hayati Rais Julius Kambarage Nyerere akihutubia...
  5. Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza?

    Wadau wa Kilimo na wenyeji wa kanda ya ziwa Mwanza n.k. Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza au jirani na mkoa wa Mwanza. Pia sehemu ambayo taweza kulima mahindi angalau mara mbili kwa msimu mmoja.
  6. SoC02 Kodi nyingi ndani ya taifa bila malengo maalum ni chanzo cha umaskini

    Utangulizi Taifa letu ni miongoni kati ya nchi zinazo toza kodi kwenye biashara, uwekezaji na ajira. ikiwa na maana ya kwamba ni mpango endelevu utakao saidia kutatua changamoto mbalimbali za wananchi kupitia kwenye elimu, siasa, kilimo, sayansi na teknolojia. Kodi zinafaida na hasara, sheria...
  7. Ficheni ila wenye Watu wetu ndani ya Yanga SC wametuambia kuwa hizi ndizo sababu za Senzo Mbatha Kuwakataa

    1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari. 2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania...
  8. Kama unataka kuwa na amani ndani ya moyo wako na maisha yako, basi fanya haya

    Kwanza natanguliza salam kwenu ndugu zangu wa JF wote. Sasa bila kupoteza muda ndugu zangu, hayo chini ni baadhi ya mambo ambayo ukiyafanya, katu moyo wako hautapata maumivu ya aina yoyote katika hii dunia japo kuna changamoto ndogo ndogo za hapa na pale ambazo zitakupitia, lakini kwa muda...
  9. Victoria Mwanziva awapongeza vijana kwa kushiriki uchaguzi ndani ya Chama cha Mapinduzi

    VICTORIA MWANZIVA AWAPONGEZA VIJANA WENZAKE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI Hongereni sana Vijana wenzangu wote ambao kwanza; mmeshiriki mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Nawapongeza kwa uthubutu wenu; Nawapongeza kwa utayari wenu wa kuhudumia Vijana wenzenu...
  10. Mhasibu wa Zamani wa Wizara ya Mambo ya Ndani ahukumiwa kwa Ubadhirifu

    Mhasibu wa zamani Wizara ya Mambo ya Ndani Christina Kaale, amehukumiwa kulipa faini ya sh. Milioni nane ama kutumikia kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka manne yaliyokuwa yakiwakabili likiwemo la ubadhirifu wa sh milioni 15.2. Hukumu hiyo imesomwa...
  11. SoC02 Mtoto ndani ya giza jeusi

    MTOTO NDANI YA GIZA JEUSI. Mimi ndio taifa la kesho kweli kwa haya uliyonitendea? Nikifiwa na wazazi wangu sina amani tena ya kesho, wazazi wakinipeleka shule za hosteli nikiwa bado mdogo sina raha kwa vitendo vya ulawiti na ubakaji ninavyofanyiwa na kaka zangu, nikiwa nyumbani na babu yangu...
  12. N

    Mambo 10 yanayotupeleka kimataifa

    Historia inaonyesha kuwa orodha ya viongozi mashuhuri Duniani imejawa na watu wanaopenda kufanya mageuzi chanya yenye kuleta mabadiliko. Rais Samia naye ameonyesha kwa vitendo kuwa aina ya kiongozi mwenye kariba hiyo. Haya ni baadhi ya mageuzi anayoyasimamia kwa weledi mkubwa; 1. Mageuzi katika...
  13. KINANA: CCM inatawala na itatawala kwa muda mrefu kwa sababu ya "demokrasia" iliyoko ndani ya CCM

    KINANA ATAJA SABABU CCM KUKAA MADARAKANI MUDA MREFU AKIZUNGUMZA NA WANA CCM KATAVI MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdulrhman Kinana ametaja sababu tatu za kwanini Chama hicho kimekaa madarakani kwa muda mrefu na moja ya sababu ni uwepo wa demokrasia ya uhuru watu kujieleza na...
  14. Unafahamu kuwa Volkswagen walitengeneza technology ya kujitengenezea kahawa ndani ya gari?

    Sababu kubwa ni kuwa magari hayakua na heating system. Ukisikia baridi ndani ya gari ukiweza kutengeneza kikombe cha kahawa ili kuongeza joto la mwili. Hii technology ilikufa walipoweza kuweka heater kwenye magari.
  15. NJOMBE: Watu wanne wajeruhiwa baada ya simu kulipuka ndani ya Bajaji, Julai 24, 2022

    Watu wane wamenusurika kifo baada ya kutokea mlipuko mkubwa uliyosababishwa na simu ndani ya bajaji yenye nambari za usajili MC 567C JK-TVC katika barabara ya Njombe -Songea . Akizungumzia tukio hilo kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema mkasa wa betri kulipuka umeleta...
  16. Shehe mkuu wa Mkoa wa Mtwara ndani ya tamasha la ‘Muziki Mnene’

    Naona shehe mkuu wa mkoa wa Mtwara ameenda kwenye tamasha la Muziki Mnene lililo waleta wasanii wa muziki wa kizazi kipya mkoani Mtwara. Hongera ndugu zangu waislamu kwa kukubali kushiriki kwenye tamasha hili la Muziki wa Bongo fleva na Singeli. Pia niwapongeze waumini wenu kama Naseeb Abdul...
  17. Kulikoni ATCL Safari za Ndani?

    Haya madaraja ya ATCL safari za ndani yana tofauti gani? TWiga Basic, Twiga Gain, Twiga Comfort, Twiga Business. Inakuwaje ndege moja inakuwa na madaraja mengi kiasi hicho? Nimezowea kuona ndege nyingi zikiwa na Business Class na Economy Class tu, ila hapa kwa ATCL ninashindwa kuelewa...
  18. Kuta za ndani za nyumba na Sakafu kuwa na baridi

    Wadau naomba kuuliza hii imekaaje maana kuna nyumba moja naishi lakini kuta zake ni baridi sanaa pamoja na sakafu ya chini (tiles) baridi vilevile kiasi kwamba ktk hicho chumba lazima nivae soksi au kubazi. Je, hii ni hitilafu ktk mfumo wa maji kupelekea kuta kulowa na kuwa baridi au imekaaje...
  19. Licha ya Yanga sc kupata mafanikio ndani ya nchi msimu huu ila ndiyo club inayoongoza kwa mashabiki wake kutokuwa na furaha

    Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu. 1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league wanaanzia kwenye mchujo. 2: Mayele katetema mwaka mzima ila kaambulia ng’ombe hii inauma sana. 3...
  20. Je, katika Biblia Takatifu kuna kifungu kinachoelezea ulazima wa Bibi Harusi kuvaa shela?

    Za ijumaa wana JF, Suala ya uvaaji shela limenilete changamoto kweli baada ya kutafuta Sana katika mtandaoni. Shela Ni like vazi analojifunika Bibi harusi siku akifunga ndoa. Katika Biblia tunaona mfano mmoja Rebeka alivaa shela alipo kutana na Isaka. Ila sijapata fungu lililosema Ni agizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…