Wakuu habari.
Nina vitu hivi vya kwangu mwenyewe naviuza kwa anayehitaji tuwasiliane inbox.
TV allyons nchi 32 = 190,000/= (bei fixed imetumika 5 month,boksi lake na kila kitu vipo fresh)
Radio Boss imetumika miezi 7 bei 90,000/=
King'amuzi cha Azam(Dish) kimetumika 5 months bei 90,000/=...