siku moja majira ya jioni ya saa kumi na nusu hivi kwenye mtaa wa Bani hashem katikati ya jiji la Tehran, walionekana watu wawili wakiwa wamebebana kwenye pikipiki. Baada ya kumkaribia mtu fulani aliyekuwa akijiandaa kuingia kwake baada ya kutoka kazini, walichomoa bastola zilizofungwa silencer...