Pana tofauti za wazi baina ya wana Chadema almaarufu makamanda na wale wa ule upande mwingine wakiwamo CCM.
Habari ya mjini, masikioni mwa watanzania kwa sasa ni chanjo ya Corona. Safari inayotegemewa kufikishwa palipo pema takribani ndani ya kama wiki 2.
Habari ya mjini kwa makamanda ni...