ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania RC Homera: Watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato wapangiwe kazi nyingine

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameagiza watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya ndani kupangiwa kazi nyingine. Homera ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani mara baada ya Uongozi wa Halmashauri kutangaza...
  2. JamiiForums Tanzania Uwepo wa waandishi wa habari makanjanja ni hatari ndani ya jamii/ nchi

    WAANDISHI MAKANJANJA NI HATARI NDANI YA NCHI. Anaandika Robert Heriel. Leo nitatumia lugha ngumu kidogo, nafahamu nazungumzia kazi za watu ambazo zinawaingizia kipato. Hata hivyo Nia yangu sio kuonyesha ubinafsi, kuwaonea kijicho, isipokuwa kuwataka wabadilike, ili tujenge jamii Bora na taifa...
  3. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu la Jumamosi: Hili Soko la Bilioni 32 litakuwa na Vitu Gani Ndani?

    Soko la Kariakoo litajengwa upya; inakadiriwa na kudaiwa kuwa serikali itatenga bilioni 32 kulijenga upya. Hili si jambo baya. Ila naomba kuuliza kwa hizo bilioni 32 Watanzania watarajie nini kwenye soko hilo kubwa na maarufu zaidi nchini... Japo hii bilioni 32 kwenye hela yetu inaweza kuwa ni...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini rais Samia havai barakoa akiwa nje ya nchi? Lakini akiwa ndani ya nchi anavaa?

    Nimemshuhudia akiwa huko Glasgow, Scotland na mwenyekiti wa mabenki ya standard chartered Lakini akiwa Tanzania anavaa kama kawaida
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

    Kwa sasa hali ni ngumu sana mtaani kiusalama hasa sisi wafanyabiashara hali ni tete. Juzi mwenzetu anaeyejihusisha na Mobile money Transction amenusirika kuuawa baada ya kukwepa risasi iliyoelekezwa kwenye paji lake la uso na kwa bahati nzuri ikampata maeneo ya mkononi na paja lake la kushoto...
  6. JamiiForums Tanzania Swali;dereva huwa anatakoje humo ndani?

  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Majibu ya vipimo vya UTI kufotautiana ndani ya lisaa limoja nini tatizo

    Wiki kadhaa nilikuwa nasumbuliwa na UTI baada ya kupata vipimo katika kituo cha afya X na doctor akanishauri nitumie dawa make alisema sio nyingi ni ya kawaida ..baada ya kumaliza dozi ikabidi nirudi kujiridhisha kama nimepona ugonjwa ila cha ajabu majibu yakatoka kuwa nina UTI ya kutosha kwa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wasanii waliotazamwa sana ndani ya mwezi wa kumi katika mtandao wa YouTube

    Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz 1. Diamond Platnumz - 33.6M 2. Rayvanny 20.9M 3. Alikiba 13.6M 4. Harmonize 11.8M 5. Zuchu 11.4M 6. Mbosso 11.3M 7. Lavalava 4.77M 8. Nandy 4.73M 9. Macvoice 3.1M 10. Marioo 2.9M
  9. JamiiForums Tanzania Penati kwa Simba dhidi ya Polisi: Waamuzi wetu kwenye mazingira gani wanatoa "indirect free kick" ndani ya penalty box?

    Je Waamuzi wetu wanajua mazingira ya kutoa indirect free kick kwenye penalty box? Reference simba vs Polisi Tanzania Credit: Azam tv (mchambuzi Othman)
  10. JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba Anadaiwa zaidi ya Tsh13 bilioni kwa amri za Mahakama Kuu, iwapo atashindwa kulipa ni nini hatma yake?

    Cyprian Musiba, kulingana na kiasi kikubwa cha fedha anazodaiwa kuzilipa, kwa kupitia amri za mahakama kuu, ni nini madhara yake iwapo hana uwezo wa kuzilipa na hana mali za kuuzwa ili kupata Tsh 13 bilioni? Mimi ninaona dalili za Cyprian Musiba kukimbilia ughaibuni .
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko mkubwa mno ndani ya CCM kutokana na wamachinga wanavyotendewa

    Ni suala la muda tu. Kuna sintofahamu kubwa mno ndani ya CCM baina yao na mbaya zaidi ni mpasuko uhusuyo Kanda na namna ambavyo machinga wanavyotendwa. Ikumbukwe, asilimia kubwa ya wabunge wa CCM hawapendezwi mno na namna zoezi la kuwaondoa machinga katika maeneo yao ya sasa linavyofanyika...
  12. JamiiForums Tanzania Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

    Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena. Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!! Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!! Turudi kwenye mada .... HIVI KWANINI HAMSIKII NIKIWAAMBIA MSIOE ??😳😳😳 Sasa Kuna mwenzenu yamemkuta huku ...
  13. JamiiForums Tanzania Matukio ya Mapinduzi barani Afrika ndani ya Mwaka 2021

    Katika muda wa mwaka mmoja, wanajeshi wametwaa mamlaka katika nchi tatu kusini mwa jangwa la Sahara. Wanajeshi wa kikosi maalumu walipindua serikali ya kiraia ya Mali ambapo Kanali Assim Goita alijitangaza rais. Miezi michache baada ya Kanali Goita kuongoza mapinduzi Mali, wanajeshi walitwaa...
  14. JamiiForums Tanzania Pesa humaliza matatizo au matatizo humaliza pesa yako?

    Bandugu habari zenu, Umekuwa tukikimbisana kutafuta mapesa kila iitwapo leo... Sasa hapo msemo upi umekuwa ukikupekeka mchakamchaka Kati ya pesa zako kumalisa iyo matatiso unasopata AU tatiso ndosinasomalisiia pesa yako!
  15. JamiiForums Tanzania Hiki kitu kamwe hakiwezi kutokea ndani ya JF, yaani kamwe hakitakaa kitokee!

    Uzi kuwa na 'replies' nyingi zaidi ya 'views'
  16. 4

    JamiiForums Tanzania Mungu anawakumbusha Mbowe ni wingu tu ndani ya CHADEMA, mvua za mawe bado zimetulia

    Nawasalimu wote kila mmoja kwa imani yake wana JF. Nalazimika kuandika machache Ili nifikishe ujumbe tu. Kichwa cha habari kinajieleza sana, nini namanisha hapa Mh Mbowe ni Mwenyekiti wa chama cha Chadema Tz, anakabiliwa na mashitaka ya UGAIDI, maana nyingine wapenzi, wanachama wote...
  17. JamiiForums Tanzania Akiwa hajamaliza saa 24 tangu apewe uhamasishaji Simba SC, tayari Mwijaku ameanza 'kumchefua' Murtaza Mangungu

    Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu. Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Polisi yavamia na kuvunja kikao cha ndani cha BAWACHA

  19. S

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza milioni 3 ndani ya mwezi mmoja

    Wakuu naamini umu kuna manguli wa utafutaji. Nina shida na million 3 baada ya mwezi mmoja ili nifanyie uwekezaji fulani. Kwa sasa nna laki tano nataka izae million 3 ndani ya mwezi mmoja kwa kuwa sikopesheki inabidi nipambane mwenyewe. Nisaidieni uzoefu mbinu gani naweza tumia ya halali ili...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chama cha Mapinduzi chaguzi zake za ndani sifa kuu ya mgombea ni fedha?

    Nilikuwa nafuatilia maadhimisho ya miaka 22 bila baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye sikuwai kumwona kwa macho nikashangaa sana na sikuelewa kuwa aliyokuwa anayaongea yule Mzee ni yakweli au ulikuwa unafiki wa kisiasa. Kama alikuwa muasisi wa Tanu na CCM na alikemea rushwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…