nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

    Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
  2. Hivi rais Samia amerejea nchini au bado anakongamana ughaibuni

    Nauliza tu wandugu. Tangu enzi ya awamu ya jk nilianzisha utaratibu binafsi kuandika tarehe rais wa jamhuri akiondoka nchini kwenda nje na tarehe akirudi. Hii iliniwezesha kuona rais kama anasafiri wapi na kama anasafiri sana na kwa faida kama ipo. Kwa wale wanajua rais Samia kama karudi please.🙏
  3. KLM waomba radhi kufuatia kuchapisha taarifa ya kuwa kuna Civil Unrest Nchini Tanzania

  4. R

    Wanaotuambia wanachama kuzifanyia promo shule za binafsi nchini watoto wao wanasoma shule za serikali?

    Nimeona imetolewa hoja kwamba kutangaza mwanafunzi Bora au kutangaza shule Bora nikuzifanyia marketing shule binafsi. Aliyetangaza au kutoa TANGAZO hili simfahamu historia yake lakini natabiri kwamba watoto wake aidha wanasoma au walisoma shule nzuri za private . Ametuambia NI vigumu...
  5. Tundu Lissu tengeneza CHAWA wako ufike mbali zaidi kisiasa. Usidanganywe, uchawa ndiyo siasa za kileo nchini

    Kwa Tanzania ya leo kisiasa ni Uchawa tuu. Hakuna jipya! Usitegemee chawa wa mwenzako, tengeneza wako. Ukilielewa hilo, 2025 haitakupa shida!
  6. F

    Zijue gharama za Nyama na maharage nchini Ubelgiji alipokuwa Lissu

    Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania. Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na kwa kuwa nilisema nitakuwepo hapa kila hoja ya wapinzani naomba nitumie jukwaa hili kufanya hivyo na...
  7. Jeshi la Kenya lililopelekwa nchini Congo linatia aibu

    Kwema wakuu, Wengi tulijua tu kwamba jeshi la Kenya halitaweza hata kurusha jiwe kwa kundi hilo la waasi wa M23, kutokana na jeshi hilo kuliogopa vibaya kundi hilo. Sasa hali inazidi kuwa mbaya na kundi hilo linazidi kuteka maeneo mbele ya macho ya jeshi la Kenya huku Wakenya wakiangalia tu...
  8. Ufaransa yamwita nyumbani balozi wake nchini Burkina Faso

    Wizara ya mambo ya nje ya Ufaransa ilisema Alhamisi kuwa inamwita nyumbani balozi wake nchini Burkina Faso, ikitaja muktadha wa matukio ya hivi karibuni, siku moja baada ya Paris kutangaza kuwa itaondoa wanajeshi wake katika nchi hiyo. Tumeamua kumrudisha balozi wetu mjini Paris ili kufanya...
  9. 92% ya Wanafunzi nchini wanatembea kwa Miguu kwenda Shule

    Jiji la Dar es salaam linaongoza kwa kuwa na Wanafunzi wengi wanaotumia Mabasi ya Shule kulinganisha na sehemu nyingine yoyote Tanzania. Wanaotembea mpaka Shule - 92.6% Wanaotumia Usafiri wa Umma - 3.7% Wanaotumia Basi la shule - 1.5% Wanaotumia Baiskeli - 1.1% Wanaotumia Magari binafsi - 0.6%...
  10. Utafiti: Ripoti yaonyesha vijana wengi nchini hawana heshima

    Ripoti ya utafiti wa stadi za maisha na maadili kwa vijana imeonyesha asilimia kubwa ya vijana nchini hawana heshima, hawajitambui na hawana ushirikiano kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Utafiti uliozinduliwa Leo Januari 26, 2023 na Taasisi ya Regional Education Learning Initiative (Reli) kwa...
  11. Napendekeza kuanzishwa mradi wa ‘Genomic Revitalisation’ kwa kanda maalum hapa nchini kwa ustawi wa jamii

    Kwanza niseme tu, sijaribu kukosoa kazi ya uumbaji wala kuzodoa watu kwa jinsi walivyoumbwa, maana hakuna mtu aliyechagua mwili wake na kutia saini kabla ya kuzaliwa, bali najaribu kuona jinsi tunavyoweza kufanya ‘mitigation measure’ / (Damage control). KAtika mradi huu, Ziainishwe kanda na...
  12. J

    Maoni kwa Wizara mbalimbali yaliyotolewa na Wadau wa Twitter Space ya Jamiiforums Januari 26, 2023

    Jamiiforums kupitia ukurasa wake wa Twitter imeandaa space ambayo itatoa fursa ya dakika 2 kwa Wananchi kutoa maoni au (kupaza sauti yao) kuhusu suala lolote linalowagusa katika Wizara yoyote hapa nchini. Mjadala huu unatarajiwa kuongozwa na Mwandishi wa Habari Sammy Awami Ili kupata nafasi...
  13. Waziri Masauni akutana na kuzungumza na Mabalozi wa Uingereza, India, Palestina na UNHCR Nchini, Jijini Dar Es Salaam Leo Januari 24, 2023

    Na Mwandishi Wetu, MoHA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wa nchi za Uingereza, India, Palestina pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) kwa nyakati tofauti kuhusu ushirikiano...
  14. P

    Ziara ya Rais Samia nchini China yazaa matunda mapema sana

    Baada ya ziara ya Rais Samia nchini China, 98% ya bidhaa kutoka Tanzania kwenda China zitaingia bila kutozwa ushuru. Hii itatoa fursa kubwa kibiashara kwa wakulima, wafugaji na wafanya biashara wetu kulisha soko jipya la China. China inaidadi kubwa ya watu kuliko nchi zote duniani hivyo hii ni...
  15. A

    Je, Mtu mwenye Kansa, anaweza akapewa Bima Binafsi?

    Ubaguzi mwengine wizara ya Afya. Nina jirani yangu kapatikana na kansa. Tiba yake kaambiwa ajiandae na zaidi ya sh mil 5 cash. Kaulizia iwapo akikata bima kama ataweza kupata tiba. Kaambiwa so ya private; labda apatikane mfanyakazi aliyeajiriwa hivi karibuni na amwandikishe kama mke wake...
  16. Ubalozi wa Marekani wahoji utata wa kifo cha kijana wa Ki-Tanzania nchini Urusi

    Ubalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi. Ubalozi huo umehoji pia kama Urusi inawalazimisha wafungwa wenye asili ya Afrika kupigana vita yake na Ukraine.
  17. Matukio ya Rais Samia akiwa katika Mkutano wa Nishati Nchini Uswizi

    Matukio ya Rais Samia akiwa katika Mkutano wa Nishati Nchini Uswizi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akizungumza katika mkutano wa masuala ya Nishati (Powering the World) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa...
  18. K

    Alichozungumza Rais Samia Kwenye Jukwaa la Uchumi, Davos nchini Uswisi

    Rais Samia Suluhu amehimiza sekta binafsi kuwekeza Afrika katika uzalishaji wa nishati jadidifu ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa nishati hiyo. Ametoa wito huo akichangia mada katika mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani unaofanyika Davos, nchini Uswisi.
  19. TANZIA Makamu wa Rais wa Gambia afariki dunia nchini India

    Makamu wa Rais wa Gambia, Badara Joof, amefariki dunia. Alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na tweet ya Rais wa Gambia, Adama Barrow. “Ndugu zangu wa #Gambia, ni kwa moyo mzito, ninatangaza kufariki kwa #Makamu wangu wa Rais, Mheshimiwa Badara Alieu Joof. Tukio hilo la...
  20. Balozi wa Uganda nchini Kenya afariki dunia

    Balozi wa Uganda nchini Kenya Dr Hassan Waswa Ggaliwango amefariki dunia. Mwanafamilia wa karibu anasema kwamba Ggaliwango aliaga dunia katika Hospitali moja jijini Nairobi ambako alikimbizwa Alhamisi wiki iliyopita hali yake ilipozidi kuwa mbaya. Ggaliwango, ambaye amekuwa akipambana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…