nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania na Don Bosco wazindua mpango wa kuwainua vijana na kuendeleza mpira wa kikapu nchini.

    Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni hiyo, Athumani Mlinga (kushoto), wakimkabidhi tuzo mchezaji wa Don Bosco, Martin Benson, aliyechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi. Tukio hilo, lililofanyika tarehe 29 Agosti katika viwanja vya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polepole kamilisha kazi ya chuma, tuletee majina halisi ya wauza sembe nchini

    Polepole Polepole Polepole nimekuita mara tatu. Unakumbuka vizuri chuma mwanzoni mwa uongozi wake alitikisa watu kwa kuibua list ya wauza sembe nchini. Wengi walitajwa, na bila shaka chuma aliamua kusitisha ile operesheni. Sasa hebu tuletee list ya wauza Sembe ili Jamii iwaepuke, iwaogope...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Je ni mkoa gani nchini ambao unafaa katika kuanza maisha?

    Je ni mkoa gani wa kwenda kuanza maisha?
  4. JamiiForums Tanzania KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA

    KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA ☑️ Waziri Mavunde aweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kusindika na Kuyeyusha Nikeli na Shaba - Dodoma ☑️ Ni maelekezo ya Mhe. Rais Samia kuyaongezea thamani madini ndani ya nchi. ☑️ Mradi kuchakata takribani tani...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Namwogopa mtu ambaye haogopi hali iliyopo nchini kwa sasa

  6. JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story tu?

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kufa kwa biashara ya tuition nchini Tanzania kuna ashiria nini?

    Ni kwamba elimu ya Tanzania ( shule za sekondari) imeshuka thamani au wazazi sasa hawana tena Imani na elimu ya sekondari? Walio fungua mabanda ya tuition naona wanazidi kufunga tu. Ni me tembelea kibaha kuna taasisi ya inafundisha tuition bure kabisa ( sekondari) lakini si wanafunzi wala...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mahamoud Kombo awalisi nchini Singapore kwa ziara ya Kikazi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahamoud Thabit Kombo (Mb) amewasili nchini Singapore kwa ziara ya kikazi inayotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 25 -29 Agosti 2025. Akiwa katika ziara hiyo Waziri Kombo atashiriki katika matukio mbalimbali ya kimkakati ikiwemo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tuitaadhari nchi yetu na udini, baadhi ya maaskofu wanaonesha hasira kwa kukosa Rais au Mstaafu wa upande wao, wanaeneza mgawanyiko na chuki nchini

    Hoja hii hailengi kuamsha chuki dhidi ya imani yoyote, bali kutahadharisha kuhusu hatari ya kuingiza udini kwenye siasa. Tanzania ni ya wote bila kujali dini, dhehebu, kabila au historia. Kwa miaka mingi walikuwa na "access pass" ya moja kwa moja hadi juu kabisa ya mamlaka. Walizoea kumuona...
  10. JamiiForums Tanzania jeshi la anga la Israel limefanya mashambulizi katika mji mkuu unaoshikiliwa na Wahouthi nchini Yemen

    Jeshi la anga la Israel IDF limefanya mashambulizi katika mji mkuu unaoshikiliwa na Wahouthi wa Yemen, Sanaa, Taarifa hii imetolewa na vyombo vya ndani nchini isarel Mashambulizi hayo yanakuja baada ya waasi wa Houthi siku ya Ijumaa kurusha ndege isiyo na rubani na kombora la balestiki...
  11. 4

    JamiiForums Tanzania Watumishi wote nchini msiwe wapumbavu ulipo kama nafasi ipo piga

    Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi. Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k Majuzi...
  12. JamiiForums Tanzania Mmeona video ya Mtanzania muuza karanga akifanyiwa unyasasaji nchini Kenya? SASA HII IMEKUWA TOO MUCH!

    Inasikitisha sana ni namna gani siasa zinaweza kutenganisha watu
  13. JamiiForums Tanzania Kwa hali iliopo nchini Kenya ni basi tu wananchi hawana silaha za moto.

    Sasa hivi kinacho tofautisha mamlaka ya police na vijana wa kenya ni miguu ya kuku tu, maana hawa vijana mahala popote wanafika huku wakiwa tayari kiwatokee chochote. Spirit ya mau mau ipo ndani yao, historia ya machafuko hata baada ya uhuru imetengeneza jadi ndani yao, thus kenya haitakaa...
  14. JamiiForums Tanzania Ethiopia Wanasiasa Marafuku PhD Za Heshima

    Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa Mwongozo mpya unaopiga marufuku Viongozi wa Serikali na viongozi wa Kisiasa nchini humo kutunukiwa Shahada za Heshima (Honorary Doctorate). Agizo hilo ambalo limetiwa saini na Waziri wa Elimu Nchini Ethiopia Profesa Berhanu Nega kuwasilishwa kwa Vyuo vikuu...
  15. JamiiForums Tanzania Vyovyote vile, yakitokea Mabadiliko nchini, hatuna budi kuziunda upya Taasisi zifuatazo ili kuliokoa Taifa na Watu wake

    Kwa mahali tulipofika Tanzania, haijalishi hili litafanikiwa mwaka gani, ila kwa uozo uliopo kwenye hili Taifa na mifumo yake endapo mabadiliko yakitokea, iwe kwa njia halali au zisizo halali, baada ya kuipatia nchi Katiba Mpya, hatuna budi kuzifanyia mabadiliko na kuziunda upya kabisa Taasisi...
  16. JamiiForums Tanzania Nitazipata wapi pepeta (rice flakes) nchini? Nipo Mbeya

    Habari wanajamvi, naomba msaada wenu. Natafuta pepeta (rice flakes) kwa ajili ya matumizi ya biashara ya vyakula. Nipo Mbeya lakini niko tayari kuagiza hata kutoka nje ya mkoa kama kuna wauzaji wa jumla au rejareja. Naomba mnisaidie kujua ni wapi naweza kuzipata au hata kama kuna mtu anayeuza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kusema wilaya ya Kigamboni ndio inaongoza kwa mgao wa umeme nchini Tanzania.

    Kwa sasa naweza kusema kuwa wilaya ya kigamboni ndio inaweza kuwa kinara wa kukata umeme nchini au mkoa wa DSM, Kwa wiki umeme kukatika si chini ya mara sita kila baada ya masaa sita kuna tangazo la kukatiwa umeme. Maeneo kama Kisarawe II, KIBADA,Mwasonga nk ni maeneo ambayo TANESCO Kigamboni...
  18. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ya Sweden yatwaa ubingwa wa bonanza la Serengeti nchini Ubelgiji

    KILIMANJARO YA SWEDEN YATWAA UBINGWA WA BONANZA LA SERENGETI NCHINI UBELGIJI Na Mwandishi Wetu, Antwerp, Ubelgiji. Timu ya soka ya Watanzania iitwayo Kilimanjaro kutoka Sweden imetwaa tena kwa mara ya nne mfululizo ubingwa wa kombe la Bonanza la Serengeti katika michuano iliyofanyika tarehe...
  19. JamiiForums Tanzania Nchini Japan, unaweza kulipa ili kupotea bila kuacha alama, ni halali kwa 100%

    Yonige-ya ni Biashara za Japani zinazosaidia watu kutoweka kutoka kwa maisha yao ya sasa, mara nyingi ili kuepuka hali ngumu kama madeni, mhusiano mabaya, au shinikizo la kijamii. Wanaitwa "wahamishaji wa usiku" kwa sababu wanahamisha watu kwa siri, mara nyingi usiku, ili kuepuka kugunduliwa na...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Wachina Kuichangia CCM ni Ukiukaji wa Wazi wa Mwongozo wa Makampuni ya Kigeni Yanayowekeza Nchini. CCM ni Chanzo Cha Huu Uchafu Wote.

    Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla. Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China imeichangia CCM. Hiyo tayari ni ukiukaji dhahiri wa mwongozo mkuu wa makampuni yanayowekeza nchini. Lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…