nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Orodha ya bidhaa ambazo Serikali inatakiwa izizuie kuingia nchini

    Binafsi naamini ukosefu wa ajira unasababishwa na kujilemaza na kuruhusu nchi iagize nje kila aina ya takataka, kuna aina za bidhaa iwapo zitakosekeana Vijana automatically watajifunza namna ya kutengeneza na kujipatia ajira na kipato, na wala sio bidhaa za ulazima kwamba zikikosekana nchi...
  2. JamiiForums Tanzania 2021 - Oktoba 2025: Muda mwafaka wa wapinzani nchini Tanzania kujijenga ili kufanya mageuzi ya kisiasa

    Salaam wana jamvi, Twende kwenye mada tajwa moja kwa moja. Tukianza na utawala wa awamu ya tano wa John pombe magufuli ambako tulishuhudia mtikisiko mkubwa wa upinzani nchini Tanzania ambao uliosukumwa na matumizi mabaya ya demokrasia hayo yalithibitishwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya wahamia Mombasa kutoka Nairobi. Je, hii ni sawa?

    Tanzanian High Commissioner to Kenya Dr John Simbachawene has moved to new consulate offices in Kizingo, Mombasa County, reports The Standard. The envoy, who is rooting for faster integration of tourism activities in Kenya and Tanzania in a bid to boost intra-boundary trade, said closer working...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Salehe Songolo, aliyetengeneza Meli za MV Mbeya na MV Songea afariki Dunia

    Mmiliki wa kampuni ya songoro Marine amefariki Dunia akiwa mkoani Mbeya Mwananchi limeripoti.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji arejea Tanzania

    Mfanyabiashara maarufu nchini Yusuph Manji amerejea jioni ya leo Juni 01,2021 kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) Manji alipowasili leo alizuiliwa kwa muda na maofisa Uhamiaji waliotaka kujiridhisha na uraia wake na kisha aliruhusiwa baada ya Maofisa hao...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Saudi Arabia Imeamrisha kupunguzwa kwa sauti ya Spika za adhana

    Kuna Mwanajamiiforum humu ambaye kaandika heading yake kwa chuki sana kuhusu kuzuiwa kwa sauti za Adhana nchini Saudi Arabia, na inaonekana anachuki sana dhidi ya dini ya kiislamu. Kwa sababu ya ufahamu wake mdogo namfahamisha kuwa Kilichokatazwa ni kutumia sauti kubwa za spika ambalo sio jambo...
  7. JamiiForums Tanzania Hii nyumba iko nchini Romania

  8. JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu vyeo vya Kamandi ya Jeshi la Wanamaji nchini

    Jana tarehe 29.5.2021 katika kituo cha luninga TBC niliona kikosi cha Jeshi la wananchi wa Tanzania kamandi ya wanamaji akiongea Mkuu wao Afande Makanzo katika majukumu yao, lakini begani alivaa alama fulani kwa kweli sizijui kabisa lakini aliandikwa Rear Admiral Makanzo wajameni hiki ni cheo...
  9. JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini

    MKUU WA MAJESHI WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA- PRETORIA Leo Jumamosi tarehe 29 Mei, 2021. Mkuu wa Majeshi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo, alitembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa...
  10. JamiiForums Tanzania Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

    Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya umauti haujamkuta. Walianza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia. Walitofautiana...
  11. JamiiForums Tanzania Makala fikirishi kuhusu ajira nchini

    Niwasalimu kwa jina la Jamhuri wakuu, Bila kuwa na bla blaa kibao, naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu niliyokusudia kuwaletea humu ndani. Ni kuhusu suala la ajira kuwa gumu nchini na kueza waona baadhi ya taasisi nyingi ya kiserikali wakijaribu kupitisha majina ya watu wao katika...
  12. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mchambuzi wa Michezo anayekuja kwa kasi nchini George Ambangile wa Wasafi FM asema Ukweli huu Mchungu

    " Kwa Kikosi hiki cha Simba SC kilichoishia hatua ya Robo Fainali juzi na jinsi kilivyo Imara na Wachezaji mahiri hakuna Mchezaji yoyote wa Yanga SC hii ya sasa anayeweza si tu Kucheza bali hata Kuanzia Benchi " Ushahidi Kamili wa Kauli yake hii ipo YouTube Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi...
  13. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya apanga kutoroka nchini, huenda akajificha Nairobi nchini Kenya

    Hii ndiyo Taarifa ya uvunguni ambayo imevuja , kwamba yule kijana katili aliyetesa watu na kupora pesa za wafanyabiashara wa Hai anapanga kukimbia nchi hii baada uchunguzi dhidi yake kumkalia vibaya . Lengo la kuleta Taarifa hii nyeti ni kuvitaarifu vyombo vinavyomchunguza kuhakikisha...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Matrafiki huwa wanayajuaje kwa haraka Magari ya Taasisi ' Nyeti ' nchini na hawayakamati na kuyaruhusu tu yapite hata kama labda yana Makosa?

    Binafsi huwa natamani mno Kuyajua Magari yao nikiwa njiani ( natembea kwa Miguu ) lakini sijaweza kuyajua ila nimeambiwa Matrafiki wote huwa wanayajua Kiurahisi sana tu hata kama yako mbali au yakisimama ana kwa Kuyaangalia au kwa Kumhoji Dereva ( Mwendeshaji wake ) Ninataka kuyajua ili niwe...
  15. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda uwasiliane na utoe msaada wa haraka kwa Watanzania waliopo Rubavu eneo linaloathiliwa na volcano ya mlima Nyiragongo

    Wapo madereva na wafanyabiashara wanaohitaji msaada wakati huu pale mpakani mwa Rwanda na Kongo,Gisenyi almaarufu GRAND BARRIER. Watumishi wengi Watanzania wahudumuo kwenye mission maalum ya Usalama upande wa Kivu kaskazini wanaweza kutumiwa kuwaokoa ndugu zao endapo team leader atawasiliana na...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Nwezaje kuagiza nchini gari bovu kwa ajili ya kukata na kupata spares?

    Niko nchi fulani ambako kuna salvage cars. Nia yangu ni ku deal na spare Tanzania, hivyo nafikiria kusafirisha haya magari hadi Tanzania na kuyakata ili kupata vipuri. Kutenganisha vipuri nikiwa huku kutanigharimu sana kwenye gharama za kutenganisha na usafiri. Inatakiwa nifanyeje? TRA...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla kutoka kuwa Mwandishi Nguli hadi Mtangazaji wa kawaida East Africa Radio inamaanisha nini katika Tasnia?

    Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini? Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ili kuboresha Sekta za Kilimo na Mifugo nchini, Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Ma-DED watokane na Maafisa Mifugo au Kilimo

    Ni ukweli usiopingika kuwa Ili Uchumi wa Viwanda katika nchi yetu uimarike, ni lazima tutegemee Mali ghafi zaidi zinazotokana na Kilimo na Mifugo. Hivi sasa uzalishaji wa mazao ya Kilimo hasa yale ya biashara mfano kahawa,pamba, mkonge, na mengineyo umeshuka sana kipindi cha karibuni. Hali...
  19. R

    JamiiForums Tanzania NGUVU YA BAWACHA; Ushahidi kuwa CHADEMA imekita mizizi kila mahali nchini

    Kitendo cha akina mama wa Chama cha demokrasia na maendeleo kuwa katika mstari wa mbele kupigania haki na utawala bora unaozingatia sheria na kayiba za nchi kimefikirisha wasomi, wanasiasa na wataalam wa maswala ya siasa nchini. Tangu zamani inaaminika kuwa Ukimwelimisha mwanamke basi...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kwanini waliosomea Ujasusi ( Unjagu ) nchini Israeli 'wanaogopeka' sana kuliko waliosomea nchi zingine?

    Kama kawaida najua hapa JamiiForums kuna Watu Wajuvi ( Pundits ) kabisa wa Mambo haya na mbalimbali hivyo hamtoshindwa 'Kunielimisha' Mimi Ngumbaru ( Layman ) niliyetukuka. Sina uhakika sana ila nimewahi kuona mahala ( katika Bandiko ) kuwa Majasusi ( Manjagu ) wa nchi ya Rwanda 'wanaogopeka'...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…