nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ghayo El Yehudi

    Trump kasema ataenda mahakamani leo kushuhudia shauri la kupitisha sheria ya kubatilisha 'uraia wa kuzaliwa' nchini Marekani

    Mzuka wana jamvi ? Rais wa Marekani kasema Leo hasubiri kuona kwenye Tv Ofisini anataka kwenda live mahakamani kuangalia shauri la kufuta uraia wa kuzaliwa' nchini Marekani. Trump anadai hiyo ilikuwa Maalumu kwa ajili ya watoto wa watumwa enzi hizo Marekani na haipaswi kuwepo sasa , ameenda...
  2. Joshua Mbezi

    Hivi Gesi asilia inayozalishwa nchini Tanzania inatusaidia Nini?

    Nchini kwetu tuna vitaru vingi vinavyozalisha gesi asilia kutoka mikoa ya kusini (lindi ,mtwara) na hiyo gesi inafaa kwa matumizi mbalimbali (domestic & economically) Je kwanini serikali haichukulii ongezeko la bei ya mafuta kama jambo la dharula na ikatafutwa njia ya haraka ya kudhibiti...
  3. W

    SI KWELI Je, Barabara hii ipo nchini Nigeria?

  4. Busu la Kenge

    Hakujawahi kutokea nchini mkufunzi wa dini kama Sheikh Jalala Mwakindenge

    Hakuna na haitawahi kutokea mkufunzi wa dini ama imani kama Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge wa madhehebu matukufu ya Shia nchini Tanzania. Ana busara, hekima na maarifa. Mahubiri yake yamejaa nasaha, elimu na mawahidha. Baada ya kusikia haya mahubiri yake amenifanya nijikite kusoma vitabu...
  5. M

    Simu Bora za Kununua nchini Tanzania kwa Mwaka 2026

    Ili kupata uzoefu wa simu za kiwango cha juu (flagship) nchini Tanzania kwa mwaka 2026, Samsung Galaxy S26 Ultra ndiyo chaguo namba moja. Inapatikana madukani kwa makadirio ya TZS 3,500,000 (GB 256) hadi TZS 3,900,000 (GB 512). Kwa wanunuzi wanaozingatia bajeti, mnaweza kuangalia Nothing Phone...
  6. Yoda

    Mgambo wa maadili wa Sharia wavamia lodge kutandika watu wakati wa Eid nchini Nigeria

    Mgambo wa maadili wa Sharia katika Jimbo la Katsina, Nigeria wakiwa na viboko na marungu wamevamia lodge mojawapo jimboni humo na kuanza kutandika wateja. Majimbo 12 kati ya 36 ya Nigeria yana utawala wa Sharia wa Kiislamu ambapo huwa na mgambo waitwao Hisba kuhakisha Sheria ya Kiislamu...
  7. Mshana Jr

    Niliiona hii laana ikiingia nchini

    Sasa hivi haya mambo yamekuwa ni ya Kawaida kiasi kwamba watu wakiyasikia hawastuki sana Haya mambo yalianza miaka ya 90.. Uumbaji ulipoanza kunajisiwa kwa kasi ya aina yake Wababa kutembea na mabinti zao mpaka wengine kuwapa ujauzito na kuzaa nao ama kufanya abortion Wamama kuingia kwenye...
  8. Pfizer

    Balozi Kaganda atembelea ofisi za TPA nchini Zimbabwe

    Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. CP Suzan S. Kaganda, ametembelea ofisi za Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA) zilizopo mjini Harare na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa TPA nchini Zimbabwe, Bi. Kulthum Boma. Ziara ya Mhe. Balozi Kaganda katika ofisi hizo ni sehemu ya hatua muhimu...
  9. O

    Iran imetekeleza hukumu ya kifo kwa watu watatu waliokamatwa kufuatia maandamano ya Januari akiwemo Mwanamieleka wa miaka 19

    Utawala wa Kiislamu nchini Iran leo umemnyonga Mwanamieleka (wrestler) wa miaka 19 aitwaye Saleh Mohammadi ambaye alikua mpingaji wa wazi wa utawala huo, pia alikua akihamasisha maandamano kupinga utawala huo. Iran imetekeleza hukumu ya kifo kwa wanaume watatu siku ya Alhamisi baada ya kutiwa...
  10. M

    Israel: Hotuba za chuki ni chanzo cha vurugu nchini, tuzipige marufuku

    Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, Bwana Ezra amesema kuwa vurugu nyingine zinasababishwa na vijana wanaotoa hotuba za chuki dhidi ya wengine. Aidha ametoa...
  11. L

    Bidhaa za China Zapata Umaarufu Katika Maduka Nchini Somalia na Kuchochea Ujasiriamali kwa Vijana

    Mjini Mogadishu, mji mkuu wa Somalia, bidhaa za China hazijadhibitiwi tu kwenye maduka halisi, kwani zinaonekana kwa wingi katika skrini za simu za mkononi, zikijaza vikapu vya manunuzi, na kupelekwa moja kwa moja mlangoni kwa wateja kupitia mtandao unaoendelea kupanuka wa maduka ya mtandaoni...
  12. T

    Kutoka rubani wa ndege nchini Marekani hadi muokota makopo nchini Kenya

    Hii ni hadithi ya maumivu ya ndugu Samuel Mawato, mkazi wa Mtwapa, Kaunti ya Kilifi, nchini Kenya. Samuel hakuwahi kufikiria kwamba siku moja angekuwa muokota makopo. Kwa miaka 15 aliyoshi Marekani, ambako alisomea urubani na baadaye kufanya kazi kwa muda mfupi katika shirika kubwa la ndege la...
  13. S

    Serikali kuzuia internet na kumwaga askari mitaani ilihofia uwepo wa mwakilishi wa UN kuchunguza 29 Oct 2025 watu wangeandamana tena akiwapo nchini?

    Kama umegundua, hivi karibuni kumekuwa na changamoto za upatikananji wa internet, na kwamba askari walikuwa wamewaga mitaani kwa wingi kuliko kawaida, wakiwa na silaha. Labda usichoelewa ni kwamba katika hizo siku, mwakilishi wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, Onanga-Anyanga, alikuwapo nchini...
  14. A

    KERO Tsh. Bilioni 500 zinatengwa kwa Mwaka kwa ‘package’ ya magari ya Viongozi wakati Ambulance ni chache nchini

    FIDELIS Mutakyamilwa bado ana uchungu wa kuona mama yake akifariki kwa kuwa alikosa huduma ya gari la wagonjwa wa dharura kumfikisha hospitali. Mama mzazi wa kijana huyo mwenye umri wa miaka 43, akiwa mfanyabiashara wa vinyago, eneo la Mwenge, Dar es Salaam, anasimulia kuwa miaka mitano...
  15. M

    Mwigulu: Fedha za miradi zilipwe kwenye akaunti zilizopo nchini

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi wa Karatu.
  16. Nyani Ngabu

    Duh! Bei ya mafuta yapanda nchini Marekani!

    Safari hii yawezekana kabisa kuwa Trump kayakanyaga. Hii vita inaanza kuonekana kwenda vile labda ambavyo hawakutarajia. Tayari wanajeshi wa Marekani washakufa na huenda wakaendelea kufa. Marekani ishapoteza ndege kadhaa. Wao Marekani wanadai zimetunguliwa na Kuwait kwa bahati mbaya lakini...
  17. Mad Max

    Paketi za sigara nchini Mexico zinakupa warning kibabe sana!

    Sio kama kwetu paketi za Sigara zinaurembo urembo. Wenzetu wanaweka picha za watu wako ICU, panya wamekufa, yaan fujo tu.
  18. and 998 others

    Maandamano ya Amani (Kinondoni Muslim hadi ubalozi wao Msasani) kupinga uvamizi nchini Iran

    Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
  19. Mkalukungone Mwamba

    Kuombaomba sasa kumewekwa rasmi kuwa ni kosa la jinai United Arab Emirates

    Kuombaomba kumeridhiwa rasmi kuwa ni kosa la jinai katika United Arab Emirates, huku mamlaka zikionya kuwa atakayepatikana na hatia anaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi mitatu jela na faini ya dirham 5,000 (AED 5,000). Tangazo hilo ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kudhibiti mwenendo...
  20. Q

    Hatimaye ICC kutua nchini - MwanaHALISI

    Mahakama ya kisheria ya Kimataifa inayohusika kusikiliza na kutoa hukumu kwa kesi za jinai ICC, kupitia Baraza la Wanasheria wake limeviambia vyombo vya habari kuwa litafika Tanzania kuanza uchunguzi na kukusanya ushahidi wa matukio yote muhimu yaliyotokea kabla na baada ya tarehe 29/10/2025.
Back
Top Bottom