nchi

  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Fun Fact: Tanzania ndiyo nchi pekee ya Afrika inayomwaga maji yake kwenye bahari tatu

  2. W

    JamiiForums Tanzania inakuaje Nchi zinaungana kuipiga Israel lakini inashindikana, Yemen, Iran, Lebanon, Syria, Palestina hawaoni aibu?

    Na hapo kumbuka Israel inapigana kwa tahadhari ku target zaidi magaidi ili kupunguza casualities za civilians zisizokwepeka, ni tofauti na nchi hizi zingine ambazo hushambulia zaidi raia wa kawaida wa Israel, lengo lao huwa ni kuua raia wa Israel wengi kadri inavyowezekana. Hii sio mara ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Iliyokua Sodoma na Gomora ndio nchi gani siku hizi?

    moja ya hadithi ya kusisimua kwa biblia ni hii ya sodoma na gomora Raia /wakazi wa hii mitaa walikua watenda dhambi wa kutupwa. mapenz ya jinsia moja /ushoga kwao ilikua sio story manake walifanya na biblia imesema wazi. unaambiwa Mungu alicheki sodoma na gomora akasema kama kuna watu 50...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka enzi zile za nchi nzima kukutana uwanjani kupokea na kushangilia ndege mpya, huwa nacheka sana

    Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka. Nchi imetoka mbali hii. Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo zile hii nchi ingekuwa ya masela.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za kiafrika zinazoongoza kwa wananchi wake kuunga mkono mapinduzi ya kijeshi.

    Wengi wa Waafrika wanasema wangekubali kunyakua serikali kama viongozi waliochaguliwa wanatumia vibaya mamlaka, utafiti uliofanywa katika nchi 39 na Afrobarometer ulionyesha. Kulingana na ripoti hiyo, iliyopewa jina la "African insights 2024 Demokrasia hatarini" - mtazamo wa watu, kuna tofauti...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Mifumo ya Miundombinu ya Treni katika nchi Kubwa na Tajiri 'imehujumiwa' sijui ya kule kwa wale Masikini wamejiandaa vipi kwa 'hujuma' za mbeleni

    Hata hivyo yawezekana kule wa Mataifa Masikini kabla ya Safari zao kuanza kulifanyika Matambiko makubwa sana tu.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: TLS ni Kiungo wa kuifanya Nchi yetu kushamiri Kiuchumi, Kisiasa na Demokrasia

    Ameyasema hayo leo Julai 26/7/2024 baada ya kushinda kesi yake Baada Mahakama kutengua maamuzi ya Kamati ya Rufani ya TLS, na kumrejesha Wakili Mwabukusi kugombea Urais wa TLS Hapo awali, Wakili Mwabukusi aliondolewa kwenye mchakato huo ambapo aliamua kufungua shauri la kupinga maamuzi ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Biteko anastahili kupewa nafasi yakuongoza nchi; ana hofu ya Mungu na anaheshimu mawazo, utu na maoni ya wasiompenda na wanaompenda

    Katika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra. Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna wakati kulikuwa na wachuna ngozi za binadamu nchi hii?

    Miaka ya tisini nilikuwa nasikia sana stori za uchunaji ngozi maeneo mbalimbali ya nchi, stori zenyewe zilikuwa za kutisha sana kwamba watu wanamkamata mtu hasa watoto wadogo wanawachoma sindano fulani ngozi yote inaumuka kisha wanaichana na kuivua tu. Hizi story za uvunaji ngozi ya binadamu...
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania CCM kudai kuwa vyama vya upinzani bado havijawa tayari kukabidhiwa nchi, ni uzalendo au ubinafsi?

    1. Kwani TANU ilikuwa tayari kukabidhiwa nchi na Wazungu hasa ikizingatiwa kuwa ilikuwa ikiongozwa na "kijana" wa miaka thelathini na nane tu? Mbona aliweza kuiongoza kwa "mafanikio" makubwa? 2. Kwa kusema vyama vingine havijawa tayari, kunamaanisha nchi haina mifumo imara ya kiuongozi hadi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuwe na adabu Kwa Jakaya, yaani wewe kijana wa misungwi , mbinga, kibondo unajua mipango ya nchi kuliko jakaya hadi umzodoe?

    Ifike hatua tuwe na adabu, Jakaya kikwete ndio Rais mstaafu tuliyenaye, huyu ni msaada Kwa nchi yetu, angeamua kua kama uhuru anaweza lakini katulia na amebaki akiambiwa panda pikipiki wala hajali, Nawapa hizi dondoo chache, fedha za SGR hadi dodoma aliacha ametafuta Jakaya, ile kijazi...
  12. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania AFYA: Kwa nini nchi zenye ulaji mzuri wa vyakula sio wapenzi wa nyanya?

    Ukienda china, japan, korea, nigeria, ghana na nchi ambazo mtakuwa mashaidi swala la matumizi ya nyanya sio kapumbele sana kama huku kwetu. Pili wenzetu ni watumiaji wa pilipili ambazo hapa Tanzania unakuta kwenye masoko adimu sana. Tatu ni wapenzi wa viungo ukilinganisha na Tanzania yani...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini taasisi nyeti inayoongoza nchi inadanganya wananchi wake?

    Ikumbukwe Mei mosi ilivyofanyika siku ya wafanyakazi mkoani Arusha, ambapo ilitangazwa Mgeni rasmi angekuwa Rais Samia, ila haikuwa hivyo na wala haikutangazwa wazi sababu za yeye kutokuhudhuria, ila baadae ilielezwa alikuwa nchi nyingine kutekeleza majukumu yake! Kauli mbiu ya siku ile ilibeba...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia ahitimisha ziara yake nchini India, akutana na Rais wa nchi hiyo

    Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 24 Julai, 2024 amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini India kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Droupadi Murmu Ikulu Jijini New Delhi. Katika...
  15. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Dini ina mchango gani katika maendeleo chanya au hasi ya nchi?

    Toa mifano kutoka katika moja ya nchi zifuatazo: 1. Iran 2. Vatican 3. Saudi Arabia 4. Marekani 5. Oman 6. Uingereza 7. Zanzibar 8. Tanganyika 9. Misri 10. Nigeria
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni CCM! Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu?

    Inawezekana Freeman Mbowe amejiunga na CCM indirectly kutokana na his selfish ambition ya kutaka kuwa Mwenyekiti wa milele chadema. Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu vipi Halima ya John Heche..?
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee tukio la uvunjaji wa sheria linakuwa back up na tukio lengine la uvunjaji wa sheria

    Kuna mambo mengi hutokea katika hivi viwanja vya mfumo wa kisiasa,kimsingi hua ni hitilafu/utata wa sheria au uvunjaji wa sheria unaofanya na moja watendaji wa kiserikali may be kwa kujua au kutokujua. Kwa bahati mbaya zaidi,hutumiwa propaganda za wasanii,timu za mipira au uvunjaji wa sheria...
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ukitaka wakufunge kirahisi nchi za wenzetu ukwepe kodi, ila kodi yao inafaida kuliko hapa

    Ambao mjasafiri na mnataka kusafiri niwajulishe wenzetu kodi yao ni rafiki sana na inakwenda sawa sawa na utofauti wa vipato na hakuna mtu anaweza kulalamika. sio hapa tanzania bar ya mtaani inauza bia 1500 alafu bar nyengine anauza 3000 leseni sawa. Wenzetu kodi zao unaona kabisa imetenda haki...
  20. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Bunduki za Marekani zatishia usalama wa nchi hiyo na dunia nzima

    Rais wa zamani wa Marekani, ambaye pia ni mgombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu nchini humo, Donald Trump, hivi karibuni alipigwa risasi na kujeruhiwa huko Pennsylvania alipokuwa akihutubia katika kampeni ya uchaguzi, jambo ambalo kwa mara nyingine tena...
Back
Top Bottom