nchi

  1. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu, nakupenda kwa moyo wangu wote

    Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kisa kinene ,yapo mengi hatuyajui yapo mengi tunahaso tuyajue Elimu haina mwisho,Tuendelee kijifunza tupo kwenye nchi ya Dunia ya tatu ipo nyuma Kwa mambo mengi tu yaani, Siasa,uchumi,na maendeleo ya mtu mmoja mmoja ,ni nchi ambayo mtu akimikiki Jiko la...
  2. JamiiForums Tanzania UNABII: mwaka huu nchi itapigwa tetemeko kubwa la ardhi , pamoja na ulimwengu kwa ujumla

    Amani iwe kwenu watu wa MUNGU Serikali ijiandae kwa janga kubwa ambalo liko mbele yetu ndani ya mwaka huu Kuna tetemeko kubwa sana la ardhi litaipiga inchi yetu litaipiga Dunia EARTHQUAKES EARTH POWER EE BWANA YESU KRISTO tusaidie AMINA SAYUNI BOY
  3. W

    JamiiForums Tanzania Marekani kasimamisha michango mashirika ya afya kwanini nchi nyingi zinalaumu, kwanini nchi nyingi zinazonufaika na misaada zinakwepa michango ?

    Marekani inachangia kila mwaka dola milioni 500 (shilingi Trilioni 1.2) kwenye shirika la afya duniani. mataifa mengine yana watu wengi zaidi mfano China, ina watu zaidi ya bilioni 1 inachangia Dola milioni 20 (shilingi bilioni 50) . Marekani baada ya kuona pesa zao zinafujwa, Trump kaamua...
  4. JamiiForums Tanzania USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

    Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa programu za msaada wa nje zinazofadhiliwa na USAID utakapokamilika. Wakati mchakato wa kuhakikisha msaada...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Nchi za Niordicc wakifanya mkutano nyumbani kwa kiongozi wa Udanish jana 26.01.25

  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  7. JamiiForums Tanzania Marais 24 wa Afrika. Rais wa Bank ya Dunia, Rais wa Bank ya Afrika, n.k na Wengine 2600 kuhudhuria Mkutano Nishati Kesho

    ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—˜: ๐— ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ก๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ (๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ ๐—˜๐—ป๐—ฒ๐—ฟ๐—ด๐˜† ๐—ฆ๐˜‚๐—บ๐—บ๐—ถ๐˜) ๐Ÿฎ๐Ÿณ-๐Ÿฎ๐Ÿด ๐—๐—ฎ๐—ป๐˜‚๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ, ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 โ€“ 28 Januari, 2025. Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kesho mkutano wa wakuu wa nchi kuhusu nishati huku Arusha-Arumeru tumekesha na Giza: Tatizo ni Nini?

    Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati anatuambia nchi Ina umeme wa ziada, Cha ajabu kukatika kwa umeme kupo pale pale. Huku Arusha wilaya ya Arumeru halmashauri ya Meru tangia usiku mpaka sahizi hakuna umeme tuko gizani shida ni Nini? Wakati huo KUANZIA kesho Marais wa nchi za Africa wanaanza...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali imeimarisha sekta ya madini kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi

    Serikali imeimarisha sekta ya madini kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Katika kipindi cha miaka minne, Serikali imedhibiti na imesimamia uchimbaji wa madini na kutoa leseni tano kwa kampuni za Sotta Mining Corporation Limited (SMCL)-Wilayani...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu kwa CHADEMA kufanya matembezi ya mshikamano nchi nzima kuunga mkono uongozi mpya na demokrasia ndani ya chama

    Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi. Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote kupongeza juhudi hizi kwa njia iliyotukuka kupitia matembezi ya mshikamano nchi nzima.
  11. JamiiForums Tanzania Thailand imehalalisha rasmi ndoa za watu wa jinsia moja. Ni nchi ya kwanza Kusini-mashariki mwa Asia kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja

    Aisee, Hata unakosa cha kuandika, upuuzi wa kiwango kilichopitiliza.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso Capt Ibrahimu Traore anatarajiwa kuja Tanzania January, 2025. Je, atatingisha jukwaa kama alivyofanya nchini Ghana?

    Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake. Natambua Watanzania siyo wafuatiliaji wa siasa za nje, ila naamini ujio wa Traore ukifanyiwa matangazo...
  13. JamiiForums Tanzania Noam Chomsky na Demokrasia katika nchi za dunia ya tatu

    Noam Chomsky ana mtazamo wa kina na wa kukosoa kuhusu demokrasia, hasa jinsi inavyotekelezwa na kuathiri nchi zinazoendelea. Kwa Chomsky, demokrasia mara nyingi haina maana halisi ya kuwa sauti ya watu, lakini badala yake inakuwa chombo cha kudhibiti tabaka la chini kwa masilahi ya tabaka...
  14. JamiiForums Tanzania Yesu aliumba Mbingu na Nchi

    Maandiko haya yote yanathibitisha nafasi ya Yesu Kristo katika kazi ya uumbaji. Yohana 1:1-3 "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwa kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika." Wakolosai 1:15-17 "Kwa kuwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Faida ya Kikwete ni zipi kwenye uangalizi wake wa chaguzi za nchi nyingine?

    Faida ya Kikwete ni zipi kwenye uangalizi wake wa chaguzi za nchi nyingine? Huyu mzee ni wa ajabu sana akienda huko Kenya na mataifa mengine anajifanya ni wa kisasa na ni mtu wa demokrasia. Akirudi Nyumbani ni kujifungia Dodoma na wana CCM na hakuna demokrasia yeyote kwa manufaa ya tumbo lake na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zinazoweza kupelekea nchi kubadili sahihi ya Waziri na Gavana kwenye fedha?

    Naomba mtusaidie sababu na utaratibu unaotumika kuweka sahihi ya Waziri na Gavana katika noti za nchi. Je, ni sheria inataka hivyo au maamuzi ya utawala uliopo madarakani? Je, kuna gharama kwenye zoezi hilo? Pia soma > Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu...
  17. JamiiForums Tanzania Usiende ughaibuni kutafuta maisha

    Katika mapambano ya maisha muda mwingine watu tunakata tamaa, kukata tamaa huanzia ngazi ya mtu binafsi hapo utasikia nafsi inakwambia jiue๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ, mtu huyo huyo anaweza kuikatia tamaa familia yake kwasababu haimsaidii wengi wao hujitenga na familia zao, Kisha anaikatia tamaa nchi yake kua...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Je Nchi haina wazee wakushauri na neno lao likaogopwa na watawala? Tumechoka na Karma

    Nawaza sana Nawaza sana nawaza nasipati majibu. Nani alimtonya Mh Mpango abwage manyanga na akamsikia mapema nakung'atuka? Alafu akakosekana Mzee wakukishauri kiti badala yake akasogeza kiti kweli? Ina maana Mzee wangu Kikwete na weลตe ukatoa ushauri ambao umetuacha na giza nene kuliko mwanga...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Godfrey Malisa: Nitakwenda mahakamani kupinga kuvunjwa kwa katiba ya CCM na ya nchi kwa yaliyotokea Dodoma

    Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli. "Sasa hivi tayari inafahamika kwamba Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wake Mkuu kilipitisha kwa kauli moja na kumtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, jambo hili nilipolisikia sikuamini kwamba tumefikia hapa...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna Rais wa nchi hii atakayekuja kumzidi kikwete.

    Wakati wa JK uhamiaji ulikuwa makini. Kwa sababu tu kikwete mwenyewe mtoto wa mjini. Kwa sasa raia wa mataifa jirani wengi sana wamejaa nchini. Wale wanaojitia wa iq kubwa na yule mkuki wao alikuwa hafukuruti kwa JK sasa hivi wanyaroo wamejaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ