nchi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anadanganywa, kutawala nchi kuanzia 2026 ni mzigo

    Hii nchi ya mitandao na Watanzania pamoja na kwamba wapo slow wamesha anza kugawanyika hasa vijana. Haitakuwa rahisi kama mnavyofikiria na tatizo sio chadema bali watanzania wamenadilika. Askari pekee hawatatosha
  2. JamiiForums Tanzania Netanyahu: Israel ipo Tayari kuisaidia Iran Maji nchi nzima, kila jiji kila kijini Wananchi wa Iran waamue

    Alikumbuka kuzindua chaneli ya Telegram ya lugha ya Kiajemi karibu muongo mmoja uliopita ili kufundisha usimamizi wa maji, ambayo ilivutia haraka wafuasi 100,000. "Kiu ya maji nchini Iran inalingana tu na kiu ya uhuru," alisema. Netanyahu aliahidi kwamba "wakati nchi yako iko huru, wataalam...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Katoliki imesimamia nchi. Wapewe maua yao

    Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi...
  4. JamiiForums Tanzania Uongozi na Mali, huja na kuondoka, ni vitu ambavyo kufumba na kufumbua unavyo au vinapotea

    Niliwahi Wauliza , Haya Matendo yenu ambayo ndio njia mloichagua , Hayatawahukumu huko mbele Kwa namna ambavyo mmezalisha MAISHA YA KISASI Kwa Manufaa yenu tu ?. Uongozi na Mali, huja na kuondoka, ni vitu ambavyo kufumba na kufumbua unavyo au vinapotea . Watanzania yamewafundisha nani hasa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kulikoni website ya Utumishi haipost tena nafasi za mafunzo nje ya nchi

    Website ya Utumishi ilikuwa msaada kwa watumishi kuona nafasi za mafunzo yenye ufadhili nje ya nchi. Lakini mwaka huu hakuna mafunzo yanayoonekana kwenye sehemu ya mafunzo, post ya mwisho ni ya december 2024. Matangazo ya nafasi za mafunzo wamehamishia kwenye kurasa zipi?
  6. JamiiForums Tanzania Kwenye nchi fulani ya mbali....

    1/ Nchi fulani, mvua inanyesha kwenye paa lililovuja, lakini mwenye nyumba anajisifu kununua mwamvuli mpya kwa marafiki zake. 2/ Wamepanda miti mingi ya kivuli katikati ya jangwa, lakini wamesahau chanzo cha maji kiko mbali sana na wenye kiu. 3/ Wameleta farasi na punda wa miguu minne kwa kila...
  7. JamiiForums Tanzania CCM walisambaza BAISKELI na PIKIPIKI Nchi nzima ili waje kukusanya hela kwa Wananchi hao hao

    Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa. Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori. Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Chama cha Kijamii (CCK): Tukichukua nchi kila mtumishi tutamjengea nyumba

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Kijamii (CCK), David Daud Mwajojele, amewasili katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma, akiwa ameambatana na mgombea wake mwenza, kwa ajili ya kuchukua fomu za kuteuliwa kugombea nafasi ya Rais na...
  9. JamiiForums Tanzania Ukeketaji unaendelea kutekelezwa hasa katika nchi za Afrika kama vile Gambia

    Kuna uhusiano gani Kati ya mambo ya Imani na Ukeketaji kwa maana Ukeketaji umepigwa marufuku katika nchi zaidi ya 70 duniani kote lakini unaendelea kutekelezwa hasa katika nchi za Afrika, kama vile Gambia
  10. JamiiForums Tanzania Utofauti wa speed nchi kavu, angani na baharini

    Iko wazi, kwa kila mtumiaji wa map zinazopatikana ktk simu zetu amewah kupima speed pale anapokuw safarini. Sasa swali langu ni. Ikiwa uko baharini(boti/meri) au angani(ndege/parachuti) hii map itaendelea kufunction km kawaida au kutakuwepo na mabadiliko? Nauliza hivo maana sijawahi panda...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

    Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza. Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Nchi ina utani hii. Huyu ndo alitaka kwenda kugombea Urais huko CUF?

    Wakuu Nimekutana na video hii huko mtandaoni. Huyu ni mgombea wa Urais kupitia CUF anaitwa Mkunyutila Siwale hapa ndo alikuwa anawashawishi wajumbe waweze kumpigia kura ili aweze kugombea Urais kupitia chama cha CUF Sasa inavyoonekana sijui ni uzee au kukosa confidence lakini kashindwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ninaishauri CCM irudie upya kura za maoni nchi nzima

    Kuna malalmiko mengi nchi nzima kuhusiana na kura za maoni zilizopigwa hivi karibuni. Wengi wamelalamika kuwa rushwa ilitawala sana na hasa wale walioshika namba moja hawakushika namba moja kwa haki. Ninaishauri CCM irudie zoezi hili kwa mara ya pili ili haki ipatikane. CCM inapiga vita...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Tanzania wanapenda sana bia za nje ya nchi?

    Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi? Au ni ulimbukeni tu?? Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa offer. Kituko zaidi unakuta mwanamke ni masikini kapuku wa kutupwa lakini anakazana kunywa bia ya elfu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kama nchi tunapitia wakati mgumu na baada ya uchaguzi hali itakuwa mbaya

    Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni. Kimsingi tuna safari kubwa. Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Polepole ni CCM na CCM ni Polepole hakuna jipya

    Ukiwa na akili na uelewa wala huulizi nini anafanya polepole kwani iko wazi anachofanya ni kuwahamisha wananchi kutoka kwenye umakini na kuwachanganya wasahau yanayowasibu. Polepole hana jipya labda kama lakini kwa mdomo mtu kama Lissu,Silaa,Rungwe,nk t
  17. B

    JamiiForums Tanzania List ya wanamtandao "wahuni" wanaotikisa nchi ile ya ahadi..........

    Umuofia kwenuuuu!! Mapama wanaotikisa chi ile ya kusadika kwa uchache ongezeni wengine 1. Aziz 2 .6(Marehemu) 3. Edward (Marehemu) 4. Mzee wa Msoga 5. Makamu mtarajiwa 6. Amos 7. Mzee wa tai ya taifa 8. Bashiaae 9. Mauzi au mathread(Junior) Arafu nyie.... isijekuwa nayo hii platform...
  18. JamiiForums Tanzania Wajumbe wakigawana Mavuno ni rushwa nje nje hii ni hatari kwa Nchi

    GʻT Hawa wanaonunua uongozi kuna biashara gani wanaenda kufanya huko kwenye ofisi za umma ili pesa zao zirudi. Taifa lipo katika hali mbaya sana chini ya wanamtandao TAKUKURU nao wameng'olewa meno.
  19. JamiiForums Tanzania Tukiwaambia kuwa enzi za Magufuli na Polepole nchi ilikuwa totally crazy muwe waelewa. Haya hiki ni nini?

  20. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa aliitoa mbunge wa jimbo la Mbulu Mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay inatisha; wakati TAKUKURU wapo, vyombo vingine vipo; nchi imetekwa!

    Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…