nchi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kama nchi tunapitia wakati mgumu na baada ya uchaguzi hali itakuwa mbaya

    Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni. Kimsingi tuna safari kubwa. Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Polepole ni CCM na CCM ni Polepole hakuna jipya

    Ukiwa na akili na uelewa wala huulizi nini anafanya polepole kwani iko wazi anachofanya ni kuwahamisha wananchi kutoka kwenye umakini na kuwachanganya wasahau yanayowasibu. Polepole hana jipya labda kama lakini kwa mdomo mtu kama Lissu,Silaa,Rungwe,nk t
  3. B

    JamiiForums Tanzania List ya wanamtandao "wahuni" wanaotikisa nchi ile ya ahadi..........

    Umuofia kwenuuuu!! Mapama wanaotikisa chi ile ya kusadika kwa uchache ongezeni wengine 1. Aziz 2 .6(Marehemu) 3. Edward (Marehemu) 4. Mzee wa Msoga 5. Makamu mtarajiwa 6. Amos 7. Mzee wa tai ya taifa 8. Bashiaae 9. Mauzi au mathread(Junior) Arafu nyie.... isijekuwa nayo hii platform...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wakigawana Mavuno ni rushwa nje nje hii ni hatari kwa Nchi

    GʻT Hawa wanaonunua uongozi kuna biashara gani wanaenda kufanya huko kwenye ofisi za umma ili pesa zao zirudi. Taifa lipo katika hali mbaya sana chini ya wanamtandao TAKUKURU nao wameng'olewa meno.
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tukiwaambia kuwa enzi za Magufuli na Polepole nchi ilikuwa totally crazy muwe waelewa. Haya hiki ni nini?

  6. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa aliitoa mbunge wa jimbo la Mbulu Mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay inatisha; wakati TAKUKURU wapo, vyombo vingine vipo; nchi imetekwa!

    Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: "Offspring" (mtoto) wa mwanamtandao ambaye ni waziri anazunguka nchi hii kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030

    Leo katika mazungumzo yake na wananchi, Polepole ameeleza kuwa wahuni wameanza kuzunguuka nchi hii na kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030. Akasema mmoja wa wanaofanya hivyo ni mtoto/offspring wa Mtu mzito sana ndani ya Wanamtandao. Hii ngoma ni hatari sana.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Pole pole livestream ina 6.5k current watching viewers wakati aliko mkuu wa nchi kuna 12viewers. Hii vita ni kali sana 😂

    Press conference ya H Polepole Ina viewers zaidi ya 6K wakati hayo maonesho na nane nane Yana watazamaji 12. All the best enewei
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tukatae Tabia ya kutakiana vifo na umauti. Hii inachafua angahewa la nchi

    Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo. Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu. Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliobaki na akili zao tuwakatae Wahuni waliotupoka Nchi yetu

    Tuungane hapa kuihitaji nchi yetu tuliyopokwa na wahuni, mashetani na maharamia. Hawa wamerudi kutunyang'anya kidogo kilichokuwa kimebaki. Tusikubali tuungane na polepole kuwakimbiza wahuni. Na mtandao wao kuanzia 1st Gen hadi 2nd na 3rd Gen. Tusikubali. Kwa sasa tuwe na common enemy. Ambaye...
  11. KENZY

    JamiiForums Tanzania Nilichelewa kulijua hili, Kumbe kwenye nchi kuna wananchi na wenye nchi? halafu kuna hadaa na kuhadaiwa?

    Kumbe kwenye nchi kuna wananchi na wenye nchi!, halafu kuna hadaa na kuhadaiwa!. Hadaa ni pale wewe mwenyewe unakuwa mchovu wakufatilia mambo kiundani ili ujue ukweli halafu ndo uchague upande!, na kuhadaiwa ni kutokana na huo uzwazwa wako wenye akili wanakuhadaa ili waendelee kula na kunywa...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rostam hawezi kuwa mzalendo wa nchi hii kamwe

    Rostam kwa rangi yake TU hawezi kuwa mzalendo wa nchi hii kamwe na nitakuwa wa MWISHO kumuita mzalendo muhindi yule. Polepole leo amecheza clip ULITONESHA kundi la wahuni walivyopanga kulitafuna taifa ili huku wakimplekea Jakaya taarifa ya kumtaka agombee urais wa nchi. Mtandao huu...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 IGP Wambura: Anayefikiria kuleta vurugu atafute nchi nyingine ya kwenda

    Wakuu IGP Wambura ametoa onyo kali kuhusu amani kipindi hiki cha Uchaguzi. Kasema kama unataka kuleta vurugu hama nchi nenda nyingine ukapeleke hizo vurugu Source: Uhondo TV
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu na gulf mnashindwa kweli kuwasaidia wapalestina wanakufa kwa starvation dunia tunaangalia

    Tutajuta viumbe wote wa huu ulimwengu kwa kukaa kwetu kimya hata kama hamas walifanya ugaidi kwa majirani zao Israel ila sio kwa malipo haya ya hawa watoto wa Gaza nimetazama video Instagram za ma photographer waliopo ukanda huo ambapo kwa sasa NI kama nusu jehanamu Hali inatisha Sana watu...
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Utulivu: Niende nchi gani yenye watoto wazuri?

    Uzi tayari.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Kikwete 2015 Rais Samia hutaweza kumuweka unayemtaka 2030, safari ya wazalendo kudai nchi yao imeanza

    Mwana mtandao wa muda mrefu na mtoto wa mjini Rais msitaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete alishindwa kumwachia urais anayemtaka 2015 baada ya wazalendo wa nchi kuchukua hatua kali za kulinda nchi yao na wakafanikiwa kumleta kutoka kusikojulikana Hayati Magufuli na kumfanya awe Rais wa awamu ya...
  17. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Kumbikizi: Mengi alivovichua mafisadi papa wanaoitafuna nchi

    Polepole hajakosea, Marehemu Mzee Mengi huyu hapa. https://www.youtube.com/watch?v=aSNSXYBsV1M
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi wa SADC waanza Madagascar na kikao cha kujadili mpango wa maendeleo

    Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04, 2025 jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi cha kupitia Utekelezaji wa Mpango Mkakati Elekezi wa Maendeleo wa Kikanda 2030 (Regional Indicative...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tunaomba sheria na taratibu za nchi ziheshimiwe

    Katika hotuba ya Bajeti 2025/26 iliyosomwa na Mhe. Waziri wa Fedha Ndugu Mwigulu Nchemba ilitamka wazi kuwa kuanzia Bajeti mpya HOTEL LEVY imepunguzwa kutoka asilimia 10 mpaka asilimia 2. Wengi wa Wafanyabiashara hawana taarifa hii lakini wanapoenda Halmashauri bado wanalipishwa Hotel Levy kwa...
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania Watu wa TCRA wakikata Internet nchi nzima hadi masaa mawili je huduma muhimu yaani Critical Services huwa salama kwa kiasi gani?

    Katika nchi yoyote ile huduma za internet ni huduma nyeti sana kwa maana kwamba mahospitali, miundombinu kama usafiri, njia za reli na sehemu zingine nyeti hii ni huduma muhimu isohitaji hata nukta ya sekunde kuhujumiwa. Kitendo cha TCTA kukata mtandao wa internet nchi eti kwasababu ya kuzuia...
Back
Top Bottom