UAE imeweka masharti magumu kwa nchi za kiafrika
https://m.youtube.com/watch?v=jFr3iC4irFw
UAE na Abu Dhabi kuanzia January 2026 zuio hilo litaanza kutumika biashara, matembezi, kazi
.
Raia wa kigeni kutoka nchi zilizoorodheshwa ambao tayari wanaishi kihalali katika UAE wakiwa na viza halali...