nchi

  1. Wazimbabwe waandamana kupinga vikwazo vya Marekani na EU kwa nchi hiyo

    Maelfu ya wananchi wa Zimbabwe jana waliandamana kumuunga mkono Rais Emmerson Mnangagwa kupinga vikwazo vilivyowekwa na Marekani pamoja na Umoja wa Ulaya dhidi ya nchi hiyo. Marekani na Ulaya imewawekea vikwazo maafisa wengi waandamizi wa Zimbabwe pamoja na Rais Mnangagwa kwa madai ya kukiuka...
  2. Chozi la nchi yangu Tanzania

    Tanzania ni Jamhuri, na ni muungano wa nchi 2, yaani Tanganyika na Zanzibar,kabla ya mwaka 1884, hapakuwa na historia ya nchi iliyoitwa Tanzania, isipokuwa zilikuwa ni tawala cha kichifu, kitemi kutegemeana na makabila ya maeneo mbali mbali yalipopatikana katika eneo ambalo hapo baadae liliitwa...
  3. J

    IGP Sirro awaonya watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020

    Inspekta Jenerali wa polisi Simon Sirro ametoa onyo kali kwa wote watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020. Kamanda Sirro amesema jeshi lake limejipanga sawasawa kukabiliana na sintofahamu yoyote endapo itajitokeza. IGP Sirro ameyasema hayo jijini Mwanza...
  4. Pale Gerezani Mukamira Rwanda wapo kila raia kutoka nchi zote A.Mashariki, hasa wakosoaji wakuu wa utawala na utalazimishwa kukiri kosa au kuuawa

    Pale Gerezani walinambia kwamba bora ukili kosa ama unauwawa hapa hapa, anasimulia mtekwaji "Nakumbuka ilikuwa usiku wa manane wakaja watu nisiowajua wakaingia Nyumbani kwangu, wakakagua simu yangu na mawasiliano nayofanya kwa kila mtu , bahati mbaya Sana walikuta nawasiliana na wanaharakati...
  5. CCM: Tunayataka mataifa yote duniani yaliyoiwekea vikwazo nchi ya Zimbabwe kuondoa vikwazo hivyo mara moja

    Makamu Mwenyekiti wa CCM BARA ataongea na umma juu ya msimamo wa chama na diplomasia ya kimataifa kutokea Ofisi ndogo za CCM - Lumumba. UPDATE Itakumbukwa kwamba Mkutano wa 10 wa Vyama vya Ukombozi vya Kusini mwa Afrika uliofanyika Zimbabwe tarehe9-12 Septemba 2019 uliazimia Vyama kupaza sauti...
  6. Rais Magufuli akutana na viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika

    viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika hapa nchini kwa siku 5 ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbalimbali. Viongozi wa AALCO waliokutana na Mhe. Rais Magufuli ni Rais wa AALCO...
  7. Rwanda na Urusi waingia kwenye makubaliano ya nyuklia

    Hongera sana Rwanda, kainchi kadogo kiasi cha mkoa lakini kanaskika na kutikisa... Raisi wa Urusi, Vladmir Putin amesema kuwa nchi yake inaweza kuisaidia Afrika bila masharti ambayo huambatanishwa kwenye misaada ya mataifa ya magharibi. ''Tunaona jinsi mataifa ya magharibi yanavyotoa...
  8. Tuelimishane: Malengo ya kuteua balozi bila kumpa nchi ya Ubalozi ni nini hasa

    Wakuu Waasalam. Naomba tujaribu kuelimishana kidogo hasa kwa wale wajuzi wa masuala ya kidiplomasia. Malengo ya Kuteua Balozi Bila Kumpa Nchi ya Ubalozi ni Nini Hasa? na majukumu yake yanakua yepi? na je anakua na mshahara wa ziada kwa kazi hiyo na boss mwengine pia wizara ya mambo ya nje...
  9. Kuwe na somo la katiba na sheria za nchi kuanzia kidato cha kwanza hadi chuo kikuu

    Wakuu mimi nashauri tui"shape" vizuri vizazi vijavyo vya JMT kwa kuwafundisha katiba na sheria za nchi na umuhimu wake. Hii itawasaidia watoto kuelewa vizuri hata wakiwa watu wazima, mithali inatufundisha hivyo. (A) Itawasaidia watoto wetu kuelewa: 1.wakati wa kusema mambo fulani yahusuyo...
  10. Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    UPDATE: Fuatilia LIVE coverage hapa: Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila ========== Heshima kwenu wakuu, Heshima kwenu wakuu, Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza...
  11. Hizi ndio nchi 10 pekee Afrika ambazo hazijawahi kuwa na mapinduzi ya Serikali.

    Habari za wakati wanajamvi, Leo nimekuja kwenu na orodha ya nchi 10 Afrika ambazo hazijawahi kuwa na mapinduzi ya serikali ya aina yoyote. Nchi nyingi za kiafrika baada ya uhuru ziliangukia katika wimbi kubwa la mapinduzi ya serikali zilizoachwa na wakoloni, kwa kipindi hicho sababu kuu za...
  12. Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?

    Wanabodi, Makala za Kwa Maslahi ya Taifa na Pascal Mayalla Naendelea na Makala zangu ziitwazo Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la kila siku za Jumatatu. Hizi Makala zitafuatiwa na Kipindi cha TV chenye jina hilo hilo ambacho kitaanza kutoka kwenye vituo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…