nchi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Corona imerudi tutaisikia bungeni kwenye mkusanyiko wa nchi nzima!

    Nakumbuka ile Corona ya awamu ya kwanza ni mbunge Mtulia ndiye aliyetupa uhakika kuwa ipo na tukaambiwa ametoka nayo jimboni kwake Kinondoni. Ukifanya sampling bunge ndio chombo pekee kinachobeba watu kutoka pande zote za nchi hii bara na visiwani. Lakini wabunge ndio watu pekee ambao hukaa...
  2. JamiiForums Tanzania Hii nchi imepata viongozi walahi!!

    🤣🤣🤣
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli angekuwa ni Rais wa mojawapo ya Nchi Wahisani, angetoa misaada kwa nchi zinazoendelea?

    Ukweli ni kwamba, nchi zetu hizi zinazoendelea, hasa hizi za Afrika, hazipigi hatua kubwa kimaendeleo na kuondokana na umasikini kutokana na mambo kama rushwa, ubinafsi wa viongozi, kukosekana kwa utawala bora, demokrasia,katiba mbovu,vipaumbele vibovu, n.k. huku chanzo kikuu kikiwa ni nchi...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalia Jinsi hapa Afrika Mashariki Tanzania ndio imebarikiwa kupata mvua nyingi kushinda Kenya, Uganda

    Yaani wamebarikiwa sana na mwenyezi Mungu. Ukiangalia predicted rainfall patterns ya East Africa utagundua kwamba Tanzania ndio nchi pekee inayopokea mvua katika kila corner ya Tanzania. Nchi zingine hazipokei mvua katika kila kona. Lakini 100% ya Tanzania inapokea mvua. Sasa ni kwa nini...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

    Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika. Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo. Ukaguzi huo umefanyika mjini...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaingia katika recession; GDP yapungua, watu milioni 3 wakosa ajira

    Madhara ya covid 19 yameishambulia kenya na kuwa nchi ya kwanza kwa sub saharan africa kuingia katika recession tokea miaka 30 iliyopita. Miezi mitatu ya mwisho october mpaka december 2020, GDP ya Kenya ilishuka kwa 5.5% na uzalishaji katika sekta za usafirishaji, viwanda, biashara vilishuka...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

    Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa umechanjwa. Kwa sasa chanjo inayotakiwa ili usafiri au ukienda kuomba VISA ni chanjo ya homa ya manjano...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Rais Magufuli apunguze sauti. Nchi hii bila wazungu ni tajiri kwa kipi?

    Vitu vingi ambavyo Magufuli anaviona kama ni utajiri wa nchi hii vinamtegemea mzungu. Wazungu wakiacha kununua Tanzanite itageuka kuwa kete za kuchezea bao. Vivyo hivyo kwenye dhahabu, almasi, chuma, bati, n.k . Madini kama uranium hatuyawezi kabisa hata kuyatumia, achilia mbali kuyachimba...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Wanaomaliza vyuo vikuu kipindi hiki cha awamu ya tano mpaka nawaonea huruma. Ajira zote zimezimwa kana kwamba nchi imesimama

    Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe. Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa nchi hii mko wapi? Simameni muwaambie akina Mwigulu Nchemba ukweli kuhusu haki katika sheria zetu

    Law is an art, na sisi kama Taifa katika Sheria tumerithi doctrines mbalimbali kutoka common law na hivyo suala la kujua Kiingereza (English) haliepukiki! Tanzania tunajenga utamaduni wa ajabu sana kwamba kama mtu fulani au kikundi fulani hakijui jambo fulani badala ya kuwekeza katika kujifunza...
  11. JamiiForums Tanzania Yaelekea kuna mkanganyiko wa ufahamu baina ya wale wanaosema Tanzania ni nchi maskini na wale wanaosema ni nchi tajiri

    Yaelekea kuna mkanganyiko wa ufahamu baina ya wale wanaosema Tanzania ni nchi maskini na wale wanaosema ni nchi tajiri. Wote hawakukosea. Makosa yapo katika kinachokusudiwa. Miaka yote ya uongozi wa Mwalimu Nyerere alikuwa akisema Tanzania ni nchi maskini. Wakati mwingine alisema bara zima la...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa nchi za wazungu husikii njaa hovyo kama ukiwa bongo?

    Hello jf.. Nimebahatika kutembea nje ya bara la africa sehemu kama Sydney,London,Denver,New york,Istanbul,Melbourne na Madrid. Nimegundua ukiwa huko hata husikii njaa hovyo tofauti na bongo ukiamka tu asubuhi unaamka na ubao wa kufa mtu. Kwa nin iko hivyo?
  13. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ethiopia kutembelea Tanzania kwa ziara ya siku moja

    Rais huyo wa nchi ya Ethiopia Mheshimiwa Sahle Work Zewde atawasili nchini kesho Januari 25, 2021 kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku moja Taarifa kwa mujibu wa Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania bado nchi masikini sana, 90% ya magari yanayotimika Tanzania yana umri zaidi ya miaka 10

    Nashukuru mwaka jana baada ya uchaguzi waziri Mpango alikiri kua umasikini Tanzania ndio nyumbani kwao. Ukitaka kujua kama raia wa Tqnzania ni mafukara angalia, magari zaidi ya 90% yanayotembea Tanzania ukiachia magari ya serikali yana umri zaidi ya miaka 10. Maana yake ni kua watanzania bado...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi inaweza kuwa ya viwanda bila kuwa na chuma?

    Baada ya vita ya Korea, Korea kaskazini ikaanza kuhangaika kujenga uchumi wake. Ikagundua kuwa ili iwe na uchumi imara inahitaji viwanda. Ikagundua pia, kuwa viwanda haviwezekani bila kuwa na chuma. Ikasema ngoja iende Japan ikanunue kinu cha kufulia chuma. Marekani aliposikia habari hiyo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msisuse kuibua madhaifu ya CCM na Serikali yake kama yapo, Pamoja tutaijenga nchi yetu

    Ni wazi kuwa baada ya CHADEMA kubakiwa na wabunge 20 tu uwanja wa bunge hautakuwa rafiki sana kwao kutupasha taarifa "nzito nzito" kama ilivyozoeleka. Hivyo nawashauri CHADEMA kwa haraka watafute njia mbadala za kuhabarisha Umma makandokando ya chama tawala na Serikali yake kama yapo...
  17. JamiiForums Tanzania TBS: Kuanzia 01 Machi 2021, utaratibu wa kukagua magari kutoka nje ya nchi, utafanyikia hapa nchini

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawataarifu waagizaji na wauzaji wa magari kutoka nje ya nchi kuwa kuanzia tarehe 01 mwezi Machi, 2021, utaratibu wa kukagua magarikutoka nje ya nchi utafanyika baada ya kuwasili hapa nchini (Destination Inspection). Hivyo,magari yote yatakayosafirishwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nashauri kuwe na Database rasmi kwa ajili ya wote wanaofanya kazi zisizotegemea ujuzi wowote

    Hello JF, Kwa muda mrefu sasa malalamishi ya housegirls kunyanyaswa katika nchi za kiarabu kama Oman, Turkey, etc. yamekua mengi. Ninachoona hapa ni kutokua na taarifa ama records to identify those at risk. Kama ilivyo vitambulisho kwa wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga), then kuwe na...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania wapenda kusomesha nje ya nchi pelekeni watoto Ufilipino bei rahisi elimu kubwa inatambuliwa Marekani

    Vyuo vikuu vya ufilipino Ada nafuu haizidi dola 2500 kwa mwaka na elimu yao iko juu sana. Marekani na Canada wanaikubali sana
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kawafundishe Mabalozi wenzako, Wajifunze namna ya kuishi na nchi ya Tanzania ambayo hababaishwi

    Rais wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli amemtaka Balozi wa Uingereza hapa nchini akawaeleze mabalozi wenziye hasa wanaopenda ku-tweet tweet kwamba Tanzania ni nchi huru na inayojiamulia mambo yake yenyewe na kamwe haiyumbishwi na haitayumbishwa na yeyote! Pia, amempongeza Balozi huyo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…