nchi

  1. E

    JamiiForums Tanzania Zipo baadhi ya nchi zilizouza maeneo yao

    ukiingia google ukasearch kwa heading List of territory purchased by a sovereign nation from another sovereign nation Utaletewa nchi nyingi sana zimefanya biashara hii na wanakuletea mpaka bei walinunua Mifano michache Louisiana - Marekani ilinunuliwa kutoka France kwa USD 15,000,000 Florida...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuwa na mabalozi wawili katika nchi moja?

    Wajuzi habari za mchana wa leo. Juzi nimemsikia Raisi wa Zanzibar akiagana na mabalozi wanaokwenda kuwakilisha ktk nchi mbalimbali. Ila sikujua kama ni hawahawa wa Tz alikuwa akiagana nao au amefanya uteuzi wa mabalozi kutoka ZNZ. Nilishangaa zaidi baada ya kuona kuna balozi anakwenda Brazil...
  3. JamiiForums Tanzania Anguko la Ndugai: Somo la Katiba, viongozi na nchi

    Hatimaye Spika aliyeongoza kwa 'mkono wa chuma'' anguko lake limetimia. Mh. anaondoka akiacha historia ya Spika wa kwanza kujiuzulu tangu uhai wa Taifa hili Spika asingeweza kutekeleza majukumu yake kwa fyongo yake na dhalili aliyopata Fyongo si alichosema ni kile alichofanya baada ya kusema...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kinachoiponza CCM ni katiba yao kuwa Rais wa nchi ndiyo mwenyekiti wao wa Taifa

    Kama CCM ingekuwa na Mwenyekiti wa Taifa tofauti na Rais wa nchi hali isingekuwa kama ilivyo sasa ya msuguano ndani ya chama. Ndugai kama Mkuu wa muhimili wa Bunge angekuwa na uhuru wa kumkosoa Rais na Rais angeweza kujibu hoja bila jazba. Aidha Rais angeweza kukosoa udhaifu wa Bunge na Spika...
  5. JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli kilidhihirisha mifumo ya nchi ilivyovuja 2021

    APRILI 4, 1841, usiku, Marekani kwa mara ya kwanza walimpoteza rais akiwa madarakani. Ni William Henry Harrison. Alikaa madarakani kwa siku 31 tu. Harrison, aliapishwa kushika madaraka ya urais Machi 4, 1841, kisha Aprili 4, 1841, akaitikia wito wa Mungu, kwamba kila nafsi itaonja mauti...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugai alivunja mila na desturi za CCM, siyo katiba ya nchi

    MHE NDUGA, SPIKA MSTAAFU ALIVUNJA MILA NA DESTURI ZA CCM NDIYO MAANA WENGINE IMEWACHUKUA MDA KUELEWA. Na Elius Ndabila. 0768239284 Kwanza nianze kwa kumpongeza Mhe Ndugai kwa kujiuzulu nafasi ya Uspika. Ametimiza moja ya nguzo mhimu kiongozi bora kuwa anapokosea anapaswa kuwajibika...
  7. JamiiForums Tanzania Licha ya mapungufu yake lakini Samia Suluhu tunamuheshimu na kumtii kama Rais wa nchi hii,

    Ni utamaduni wetu huu, Baada ya kula kiapo tayari anakua na mamlaka lazima tumtii na kumuheshimu kama Rais wa Nchi, Pasitokee mtu yoyote kujifanya ana madharau yake kisa nafasi aliyopo na kuleta upuuzi wake, imekua hivyo tangu zamani kwanzia Nyerere, Mkapa Mwinyi Kikwete na JPM na hata...
  8. JamiiForums Tanzania Kamwe tusiaminishane upuuzi wa Wahuni! Nchi inajengwa na sisi

    Inawezekana kabisa washauri na actors mbalimbali ndani ya Serikali kwa sasa ni waamini wa mikopo. They might have good sweeter arguments for now. Lakini wazalendo wa kweli tutabaki na msimamo wetu. Ni upuuzi kutegemea walami kutuneemesha watanzania. Hii ni fallacy. Jingalao atasimama daima...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

    TheGrio ya Marekani waitaja nchi ya Tanzania kuwa miongoni mwanchi tano zinazofaa zaidi kwa utalii 2022 barani Africa wakati wa kipindi cha baridi, TheGrio, Chaneli maarufu zaidi nchi Marekani wakitumia Mbuga ya Serengeti, bichi mbalimbali visiwani Zanzibar na makumbusho...
  10. JamiiForums Tanzania Hong Kong yahofia Wimbi la Tano la Corona. Yapiga marufuku ndege kutoka Nchi 8

    Hong Kong imetangaza marufuku ya wiki mbili ya Ndege kutoka Nchi 8 zikiwemo Canada, Marekani, India na Ufaransa kutokana na hofu ya Wimbi la Tano la COVID19 katika Jiji hilo Mbali na marufuku hiyo, Mamlaka zimetangaza kufungwa kwa sehemu za kuogelea, baa, klabu, makumbusho na vituo vya michezo...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kama Nchi ziliweza kutoa nguvu za Wafalme, iweje sisi wenye Rais

    Ndugai usikubali kufa kindezi (Misemo ya vijana), Wewe ni Kiongozi wa Muhimili wa Bunge na Kikatiba una nguvu za kusikiliza Hoja za kumtoa Rais au hata kuchana speech yake. CCM wachache wanataka nafasi ya Uspika ili na wao wale kama wewe ulivokula, lakini usikubali kuiacha kizembe. Sio Lazima...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ukali wa Rais Samia ni mzuri kwa nchi yetu kwa sasa

    Raisi ameanza kuamini tuliyokuwa tunamwambia kwamba asiwaamini wote wanao mzunguka. Lakini vilevile amegundua kuna watu walikuwa wana mfitini na kuwaelekeza upinzani kuhusu kukamatwa kwa Mbowe na kuhakikisha wapinzani anawaona kama wabaya. Ndugai " Sasa 2025 mtaamua mkitoa waliopo nao sawa waje...
  13. JamiiForums Tanzania Kuhusu Deni la Nchi yetu Tanzania

    Ndugu Mheshimiwa Rais, Mama Samia, najua unasomoga humu, au kama husomagi najua wapo wanaokusomeaga comments za humu za watapika nyongo. Niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari hapo juu... 1. Anzisha utaratibu mpya wa ku-service deni la taifa bila kusibiri liive ndio tuanze kutafutana...
  14. JamiiForums Tanzania Tupo tayari kuisaidia nchi yetu kukuza uwekezaji kutoka nje (foreign direct investiment)

    Habari wakuu, katika kuunga mkono juhudi za serikali za kuhakikisha tunakuza soko la uwekezaji nchini Tanzania, sisi vijana kupitia kampuni yetu ya BlU company ltd tunaongeza 'ubunifu' na maarifa katika nyanja mbali mbali lengo likiwa ni kumpunguzia muda na gharama mwekezaji kwa kiasi kikubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Angalizo: The state nyie ndio mtakaolaumiwa nchi yetu ikiyumba

    Kelele zimeanza kusikika mapema kabisa kuhusu deni la Taifa! Hadi sasa ndani ya miezi michache ya Mama tena tisa tu tayari trillion 10 na zaidi ya nusu ya mkopo huo ukielekea visiwani Zanzibar wakati bado kuna miradi mikubwa ya bara kama stiglers na Bwawa la umeme haijakamilika Hadi sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Waliodukua na kubadili hotuba ya Spika Ndugai wasakwe na kukamatwa maana huo ni uzandiki wa kumchonganisha na mkuu wa nchi

    Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na...
  17. JamiiForums Tanzania Ndugai shughulika na Tanesco Wanakata umeme hovyo pasipo ratiba Kibaigwa achana na malumbano ya mikopo ya nchi

    Wanabodi salaam, Nianze kwakusema natambua maelekezo tunayopewa kwamba nchi yetu inakumbwa na tatizo la umeme kutokana utegemezi wa umeme wa maji na kwa sasa nchi imekumbwa na hali ya ukame hivyo kuathiri upatikanaji wa umeme maeneo mengi nchini. Hata hivyo kinachoendelea kwenye Jimbo la mh...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama binadamu ana mapungufu ila ana sifa zote za kuwa Kiongozi wa Nchi yetu

    Hakuna binadamu aliyekamikika, hivyo hata Mama Samia hajakamilika. Ila kiuongozi nitakuwa wa mwisho kukosoa na kusema Hana sifa ya kuwa Rais wa Nchi. Urais wa Nchi unaongozwa na sifa Moja kuu, Rais ni Mzazi Kwa Taifa bila kujali ana umri Gani. Mama anasimama kama mzazi kwetu. Jambo la pili...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuwaunganisha Watanzania na ajira nje ya nchi warejeshwa

    Jamaa nchi inazidi kufunguliwa hukuu. Fursa hiyoo kwa watafutaji. Wale mawakala wa dubei, Qatar n.k na wale watafuta kazi nje ya nchi mambo yamenoga huku. Mimi nataka nikafanye zangu kazi dubei, nimechoka kupambana na wachina na wahindi wa Bongo 😁😁 Habari Kamili πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ======== SERIKALI...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi hii, kiini cha kila tatizo tulilo nalo inaonekana ni katiba mbovu; mlio kwenye system, naomba mtujuze, inabadilishwa lini?

    Kiuhalisia ni vyema kila kiongozi aliye madarakani akawekewa guidance ya namna ya kuendesha serikali na muongozo huo uwepo kwenye katiba, isiwe utashi au mapenzi yake binafsi, bali katiba iseme hivyo na awajibishwe endapo hatoifuata. Mfano leo ukaniambia kwamba tunakupa madaraka fulani, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…