nchi

  1. Kesi ya Mbowe na wenzake inaanika hadi 'mambo ya siri za nchi'. DPP hujachelewa kuifuta

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mkubwa mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu. Nafuatilia kwa kwenda mwenyewe Mahakamani. Hata sasa nipo Viunga vya Law School of Tanzania ilipo Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwa ajili ya...
  2. CCM Kuweka misingi madhubuti kuendeleza sanaa nchini

    CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI Dar es Salaam 25 Septemba, 2021 Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
  3. J

    Askofu Konki aiombea nchi na Rais Samia

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki amewaomba Watanzania kila mmoja kwa nafasi yake kufanya maombi kwa ajili ya taifa la Tanzania na rais Samia Suluhu Hassan Mungu aweke walinzi juu ya ufahamu wake ili uamuzi atakaoufanya katika nchi uwe wa busara na wenye tija kwa...
  4. Kenya na Tanzania zinazidi kupunguza vikwazo vya biashara baina ya nchi hizi mbili

    Baada ya Rais Uhuru na Samia kutoa agizo kwamba mazungumzo yafanyike ili kuondoa vikwazo vya kibiashara, juzi wakuu wa serikali hizi mbili walifanya kikao cha siku tatu huko Mombasa na kukubaliana kuondoa vikwazo 12 zaidi. Sasa vikwazo 18 pekee ndio vimesalia na vitaondolewa kabla ya mwaka huu...
  5. L

    Kama nchi inakuthamini, urafiki unakuwa wa kudumu

    Na Fadhili Mpunji Niliposoma maoni ya Rais Xi Jinping kwenye barua aliyoiandika tarehe 14 Septemba kukumbuka mchango wa Bw. Edgar Snow, Bw. Shafick George Hatem, Bw. Louis Eli, na Bw. Israel Epstein nilifarijika sana. Kilichonifanya nifarijike ni kwamba bila kujali wewe ni nani, uliotoa mchango...
  6. TRA tuacheni Watanzania tukuze uchumi wa nchi yetu mnatubana sana punguzeni njaa zisizo na tija kwa Taifa

    Sio kwamba msikusanye kodi hapana ila Kuna mambo mengi TRA wanafanya ambayo yamekua ni kero kwa wafanya biashara unakuta mtu katoka na mzigo China Ile kutua tu AirPort anakutana na msururu wa TRA apo na wapo serious vibaya mno wanakagua mzigo mmoja baada ya mwingine. Unakuta mtu kabeba simu...
  7. Mapinduzi ya Guinea conacry yametufundisha kwamba wenye nchi ni wanajeshi

    Nimetafakari Sana mapinduzi mengi duniani na hasa haya ya hivi karibuni ya Guinea conacry kumbe kimsingi kabisa wenye nchi ni wanajeshi na sio hawa wanasiasa wanaotusumbua kwa vimidomo vyao. Dombouya alipompindua rais wake aisee rais alikuwa mpole Sana alikaa kwenye Kochi kwa utulivu Kama...
  8. Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

    Wanaukumbi. Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN. Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu...
  9. Mkutano wa UN ni gulio la kununua viongozi wa nchi zinazoendelea

    Utashangaa viongozi waliopatikana kwa njia za kidemokrasia, wizi wa kura, mapinduzi na ving'ang'anizi madarakani eti wote wanajiita marais waliostahili kutumia kodi za mataifa yao kuhudhuria mkutano. Wakubwa wanachojali pale sio ulipatikanaje kuwa Rais wa nchi yako, bali nitapata nini kutoka...
  10. Nchi 15 zisizo na maambukizi ya COVID-19 duniani

    Tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa UVIKO19 katika jimbo la Wuhan nchini China, maambukizi ya virusi hivyo yamepindukia visa milioni 200 huku zaidi ya watu milioni 4.5 wakipoteza maisha. Kubadilika kwa aina za virusi vya corona kama Alpha, Beta, Delta nk., kunaongeza chumvi...
  11. Mabadiliko ya Katiba ya nchi si takwa la watawala, hulazimishwa na wananchi

    Kuna mtu anaweza kuja na nadharia zake dhaifu kupinga lakini huu ndio ukweli. Hakuna mtawala aliyewahi kukubali kukaa chini na kupendekeza mabaliko ya katiba bila msukumo kutoka kwa wananchi kupitia matukio magumu yatakayomlazimu kukaa kupatanishwa na mahasimu wake. Alipata kuyasoma haya...
  12. Tanzania ni nchi ya kodi na matumizi ya kodi?

    WanaJf, Salaam! Nimefanya utafiti mdogo kwenye sekta ya viwanda nikagundua mrundikano wa tozo, kodi, na ushuru vinavyotozwa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa mfano kwa wilaya ya Bukoba mmiliki wa kiwanda cha kuongeza tofali za block hukutana na kodi, ushuru na tozo hizi:- (i)...
  13. F

    Nchi haijengwi kwa ubazazi na visasi

    Aidha ripoti ya maendeleo ya binadamu ya mwaka 2013 iliyozinduliwa na Umoja wa Mataifa, ilibainisha zaidi ya nchi 40 zinazoendelea zilifanya vizuri zaidi ya matarajio katika maendeleo ya binadamu ndani ya miongo iliyopita karibuni, huku mafanikio yao yakiserereka pasina kushuka kasi na viwango...
  14. G

    Vodacom Mnakiuka Agizo na makubaliano mliyofanya na Serikali

    Wanajukwaa kuanzia leo nimeona mabadiliko kwenye Akaunti yangu ya Mpesa upande wa Tozo za kutuma Pesa kwenda Mitandao mingine na kwenye Tozo za lipa kwa Simu Ndo kusema kuwa vodacom wanapuuza Makubaliano waliyoyaweka, Watanzania wanyonge Tunalia na Tozo hizo!
  15. Mpenzi wangu amenichoka, amehama kabisa nchi

    Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa.. Nifanyeje wanazengo na bado nampenda?
  16. Endapo 1985 Nchi yetu ilikuwa imeendelea kwa kiwango Cha kuruhusu vyombo vya habari kuripoti kesi ya uhaini kesi ya Mbowe ina nini?

    Kesi ya uhaini hukumu yake Ni kifo na Ugaidi hukumu zake Ni hafifu zaidi Ni kitu gani kinaipa serikali yetu hofu ya kutaka watu wasijue kinachoendelea mahakamani? Ingekuwa nchi za wenzetu kesi hii ingekuwa live luningani hapa kwetu Kuna shida gani? Kama mnabisha ushahidi upo hapa kesi...
  17. Mtazamo wa raia wa nchi za Afrika wanaoishi Ulaya na Marekani juu ya Hayati Rais Magufuli

    Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM. Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha...
  18. T

    Maafisa Uhamiaji walioko mkoani Sumbwawanga(Kanongo) wanaongoza kwa kuwadhulumu wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi

    Maafisa uhamiaji mkoani Sumbawanga (Kanongo) wanaongoza kwa kuchukua rushwa na kuwasumbua wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi. Leo nikiwa kwenye gari nimeshuhudia wakongo mani waliokuwa na vibali vyote kupita nchini Malawi wakisumbuliwa na kulipishwa fedha nyingi dola 300 kila mmoja...
  19. Rais wa kwanza mwanamke kutoka Tanzania kuhutubia Baraza Kuu la Usalama la 76 New York, tarehe 23|9|2021, fahari iliyoje kwa nchi yetu

    Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma wawakilishi marazote. Nikwamara ya kwanza Rais wa JMT anafika mwenyewe Baraza Kuu la Umoja wa...
  20. Kwanini ufuate bidhaa au mzigo nje ya nchi?

    Huu ni ujumbe mahsusi kwa wawakilishi wa makampuni, viwanda na biashara zote wakiwemo wajasiriamali. Hakuna sababu ya kuhangaika na safari za nje ya nchi kufuata bidhaa au huduma. Ni upotevu wa muda, gharama na kujiingiza kwenye hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa hatari wa Uviko19...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…