nchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu ina wakosoaji wengi na wasifiaji wengi mitandaoni kutokana na ukosefu wa ajira

    Nimejaribu kufuatilia Kwa ukaribu wengi wa wakosoaji na wasifiaji wengi Kundi kubwa ni Vijana,na shida kubwa ya ulimwengu huu tulionao wa sayansi na teknolojia,Vijana wengi wanamiliki simu janja,wao Kila siku ni kuisema Vibaya Serikali na wengine ndio waimba mapambio Kwa wingi pia,Ila Chanzo Cha...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ukurasa Maalumu wenye picha za Rais wa Urusi, Vladimir Putin

    Yuko kikazi zaidi. Kama wanadhani ana-beep, basi wasubiri kupigiwa. Russian Prime Minister Vladimir Putin rides a horse during his vacation outside the town of Kyzyl in Southern Siberia on August 3, 2009. AFP PHOTO / RIA-NOVOSTI / ALEXEY DRUZHININ (Photo credit should read Alexsey Druginyn/AFP...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi

    Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi. Nikianza na marekani: Whitehouse PRESIDENT BIDEN IMPOSES SEVERE COSTS ON RUSSIA FOR ITS INVASION OF UKRAINE FEBRUARY 22, 2022 Full blocking sanctions on two large Russian financial...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema anarejesha mahusiano na nchi za Ulaya. Je, kukopa ndio njia bora ya kufanya hivyo?

    Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha. Observation yangu ndogo ya matendo...
  5. JamiiForums Tanzania Tuipende Nchi yetu ukisikia popote wanatoa Mikopo mstueni aende akakope

    This is what we do...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupata ufadhili wa masomo nje ya nchi

    Wakuu hivi fursa unafanyaje kuzipata? Una-apply moja kwa moja kwenye chuo husika au kupitia serikalini? Au kwa yeyote mwenye ufahami
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa rahisi kwa CHADEMA kuchukua nchi wakati wa Magufuli, huyu wa sasa amebow kwa mabeberu they will protect her position

    Kama alivyokuwa Mobutu Seseko na Rais wengine wa Afrika, Wazungu ukiwapa access na resource zako, ukifanya vyote wanavyotaka kamwe hawatakutoa madarakani, hii ndiyo Afrika ilivyo. Sie tunajua Magufuli alivyopambana na Mabeberu na kuwapiga pliers kwenye interest zao, hivyo hawakutaka Magu...
  8. JamiiForums Tanzania Wengi wa wakimbizi duniani wanatoka katika nchi 5, Afghanistan, Myanmar, Sudan Kusini, Syria na Venezuela

    Wengi wa wakimbizi duniani wanatoka katika nchi 5, Afghanistan, Myanmar, Sudan Kusini, Syria na Venezuela. Na nchi hizi ndizo zimo hatarini zaidi na athari za mabadiliko ya tabianchi. =========== Since the 1990s, we have become increasingly committed to protecting the environment and of the...
  9. JamiiForums Tanzania Nukuu za Katibu Mwenezi CCM Taifa akiongea baada Rais Samia kuwasili akitokea ziara nje ya nchi, Jumapili 20 Februari 2022

    NUKUU ZA KATIBU MWENEZI TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA AKIONGEA BAADA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWASILI AKITOKEA ZIARA, JUMAPILI 20 FEBRUARI 2022 " CCM inaridhishwa na juhudi za kisera zitokanazo na upeo, uthubutu na juhudi zinazochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika medani za Kimataifa"...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa bidhaa za photovoltaic za China nje ya nchi wapanda kwa asilimia 60 mwaka 2021

    China imeshuhudia uuzaji mwingi wa bidhaa zake za photovoltaic (PV) nje ya nchi mwaka jana wakati dunia inaongeza juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda na TEHAMA, mwaka 2021 uuzaji nje wa bidhaa za PV za China ulipita dola za kimarekani bilioni 28.4...
  11. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais: Ndani ya nchi vs Nje ya nchi

    Hangaya leo karudi toka huko Ulaya alikokuwa. ‘Wenyewe’ wamefurahi sana. Wanadai anaupiga mwingi. Sasa hebu tuliangalie tena suala la ulinzi wake, kwa kiasi na kiwango ambacho tunaweza kukijadili kutokana na kile tunachokiona. Akiwa huko nje ya nchi, ulinzi wake huwa ni wa kawaida sana. Hawa...
  12. JamiiForums Tanzania Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

    Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Athari za kiuchumi zitokanazo na nchi kuwa na mfumo mbovu wa utoaji haki ikiwemo ukosefu wa Uhuru wa Mahakama

    Nitaandika kidogo lakini kwa mwandiko uliokolea , nitaandika Kwa ajili ya watu wenye akili zakupambanua mambo na siyo kwa wanaosubiri siku zipite wazeeke. Naandika kwa watu wenye macho ya ujasusi wa kidiplomasia na siyo wenye ujasusi wa jinai unaoongozwa na nguvu nyingi akili kisoda. Twende KAZI...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania haitakuwa Nchi ya kwanza Duniani kwa Viongozi ku-sacrifice mambo kadhaa kwa ajili ya manufaa ya Taifa na Wananchi wake

    Tanzania Haitakuwa Nchi ya Kwanza Hapa Duniani kwa Viongozi Ku Sacrifice Mambo Kadhaa Kadhaa kwa Ajili ya Manufaa Mapana ya Taifa na Mwananchi Wake. 1. Kambarage alipokubali na kuwashawishi wenzake kukubali kura tatu mwaka 1958 njia ya kuelekea kupata uhuru ilianza kuwa nyepesi. 2. De Clerk...
  15. JamiiForums Tanzania Panapo majaliwa mwakani nitajiunga rasmi na siasa za nchi hii. Je, ungependa nifanye siasa na chama kipi?

    Kwema Wakuu! Baada ya kuzifuatilia Siasa za nchi hii Kwa takribani miaka kumi sasa, nachelea kusema mwakani Mungu akipenda nitajiunga na mambo ya Siasa. Nitafanya Siasa za kuibadilisha nchi hii naam kuikomboa nchi hii pale walipoishia wakombozi wengine. Nitafanya Siasa za kubadilisha fikra za...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa China na nchi za Afrika ni wa kusaidiana na kunufaishana

    Na Caroline Nassoro Mara nyingi kumekuwa na kauli zinazodai kuwa, China inazipa nchi za Afrika mzigo wa madeni, na hii inatokana na misaada na mikopo yenye riba nafuu inayotolewa na nchi hiyo katika miradi mbalimbali ya maendeleo ya nchi za Afrika. Lakini tukifuatilia kwa undani zaidi, kauli...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Dutch Disease: Ugonjwa unatokea kwenye nchi ambayo imebarikiwa na rasilimali

    DUTCH DISEASE Huu ugonjwa ni effect ya resource curse. Dutch disease ni ugonjwa ambao unatokea kwenye nchi ambayo imebarikiwa na rasilimali kama mafuta, gesi, madini nk Huu ugonjwa unatokea kama ifuatavyo Nchi ikigundua imebarikiwa na rasilimali flani, nchi ambazo hazijabarikiwa na hiko kitu...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi masikini ya mwisho Duniani wants to save the World!

    Maajabu, Tanzania ni moja kati ya nchi masikini zaidi Duniani, inaishi kwa handouts, raisi wake anafunga safari kusafiri Mabara kutafuta mkopo wa dola milioni 100 USD, hapo hapo inafanya kila inalowezekana kuokoa Dunia isiangamie na climate change, hii ni nchi ambayo mchango wake kwenye CO2...
  19. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu

    My Take 1 Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi. My Take 2 Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya ujambazi haisafishiki ====== Kamanda Sirro: Ni viongozi ambao tunawategemea kwenda kuwasaidia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yatamba kuwa miongoni mwa nchi chache ulimwenguni zenye uwezo wa kuitisha na kuiogofya Marekani

    Korea Kaskazini imetamba ktk jumanne ya wiki hii kuwa nchi hiyo ni moja ya nchi chache duniani zenye silaha za nyuklia na makombora yenye ubora wa hali ya juu. Ikaendelea kutamba kuwa nchi hiyo (Korea Kaskazini) ndio nchi pekee yaweza kuidindia Marekani kwa 'kuitikisa dunia' kupitia majaribio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…