nchi

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa DRC arudi aja Kenya tena kujadili usalama wa nchi yake

    Tumsaidie masuala ya usalama kwenye hiyo nchi yake kubwa maana humo tunakwenda kuwekeza kichwa kichwa. ======= DR Congo President Félix Tshisekedi arrived in Nairobi late Wednesday evening two weeks after his last trip to the city. He was last in Nairobi early this month for the signing of...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi unapokaa muda mrefu kwenye Nchi ya Mtu mwingine unadharaulika

    Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua. Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi 2000 wa Kenya wana matatizo ya kiakili

    Hiyo ndiyo habari ya kiuchunguzi inayosambaa Duniani kwa kasi mno! Mapolisi elfu 2 ya Kenya ni mehu/machizi. ==== Mkuu wa huduma ya kitaifa ya Polisi nchini Kenya, Inspekta Jenerali Hilary Mutyambai amesema takriban maafisa 2,000 wa Polisi nchini humo hawana uwezo wa kiakili kufanya kazi yao...
  4. JamiiForums Tanzania Tuziombe nchi rafiki na taasisi za fedha hususani World Bank na African Development Bank waahirishe au kutusamehe baadhi ya madeni wanayotudai

    Rais wetu anakubalika sana kimataifa na ameweza kutufungua kimataifa. Ni rais pekee, executive president, mwanamke barani Afrika na wengi wako tayari kumsaidia ili kuonesha ulimwengu hasa wa Afrika kwamba wanawake wanaweza, tena sana tu kuliko wanaume wengi. Wengi wanapenda kuona rais wetu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani huwa zinatumiwa na viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kuomba hata msibani

    kati ya vitu vinavyonishangaza ni kitendo cha viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kutembeza bakuri huko kwa mabeberu hata kama na wao vyuma vinakuwa vimewakazia nakumbuka mwaka 2007 kipindi kile cha financial crisis ya kule marekani mzee wa msoga hakukoma kwenda kuomba omba pesa kule kwa Obama...
  6. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa kujenga sanamu la Magufuli. Tukubaliane kama nchi tulijenge wapi?

    Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso. Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Urusi yaunda nchi ya tatu ndani ya Ukraine

    Serikali ya shirikisho la Urusi inaandaa kura ya maoni itakayolifanya jimbo la Kherson kuwa nchi kamili Mpaka sasa kura hiyo inatarajiwa kuungwa mkono na wapiga kura zaidi ya 95% kutokana na ukweli kuwa wakatoliki-waukraine wa eneo hilo kwa sasa washasepa zao. Endapo kura hiyo ikienda kama...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

    Ndugu zangu, Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali. Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio. Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje...
  9. JamiiForums Tanzania Simba Sport Club mkapambanie nembo na nchi yetu huko Afrika Kusini

    Wachezaji wa Simba nyie ndio mnaoiwakilisha Tanzania, serikali ipo nyuma yenu, wananchi wapo nyuma yenu hivyo ushindi wenu ni ushindi wa nchi! Pirate ni timu ya kawaida sana na mtawamudu mpaka hawataamini! Do or Die in South Africa! .Manula .Kapombe .Inonga .Shambalala .Onyango .Kibu .PO Sacko...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi ya Tanzania Mkuu wa nchi anapotutoka kunakuwa na ratiba nyingi sana

    Nchi yetu ina makao makuu mawili, ina nchi mbili,ina mkoa anapotoka rais,ina nyumbani kabisa anapotoka mkuu.Sasa unakuta huku kote kunatakiwa kuwe na ratiba na pilika nyingi ambazo zinakula muda na gharama nyingi sana. Msiba ni mkubwa shughuli zote za serikali zinasimama karibu wiki nzima...
  11. JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea: Samia analiunga daraja la WAMI bila kelele, kutukanana na watu au kutafuta kiki. Kuongoza nchi ni sayansi

    Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa. Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa. #SHH2025/30 #MamaMaendeleo.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Nchi za Afrika

    University of Zambia
  13. JamiiForums Tanzania Makonda akajisafishe mahakamani, he is a diplomatic embarrassment, nchi isibebe mzigo wa mtu huyu mmoja, Rais Samia fanya uamuzi mgumu

    Ndicho anachotaka USA, Makonda apelekwe mahakamani peleka stoo huyu mtu, mahusiano ya nchi yetu na USA ni muhimu kuliko huyu mtu mmoja asiye na faida yoyote. Juzi kanusa ziara ya mama kwenda kwa wabaya wake akaanza kujiliza liza Downgrading ya kidiplomasia inatokana na makonda, who is he...
  14. JamiiForums Tanzania Wapinzani 2025, nchi iko wazi

    Endapo vyama vya upinzani mtajipanga vizuri na kuacha blah blah mkatuletea wagombea wanaoeleweka uchaguzi wa mwaka 2025 utakuwa mwepesi Sana kwenu Fanyeni haya yafuatayo Andaeni wagombea watakaokua na sera nzuri kwa wananchi Vipaumbele vyenu viwe Ni kuwainua na kuwapambania wananchi wa Hali ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi zenye rasilimali nyingi Duniani

    Hizo propaganda zakusema Africa tuna rasilimali nyingi zimetoka wapi?
  16. JamiiForums Tanzania Nani ameleta wazo la kununua nguzo za umeme nje ya nchi? Ni January Makamba?

    Naona Wabunge wa CcM hasa wanaotoka maeneo yanayozalisha nguzo za umeme hasa Mkoa wa Iringa wanapiga kelele juu ya hii ishu. Nani kaleta hili dili linalopigiwa kelele ambalo litasabaisha wananchi kutoaka maeneo haya kukosa kipato? ... Nguzo za hapa nchini hazina ubora?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kama Uhamiaji matendo ndio kama hayo. Je Nchi yetu ni salama kiasi gani?

    Hii issue imenishtua na kunisikitisha. Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2. Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Finland yaanza maandalizi ya vita

    Nchi ya Finland inayoshare mpaka wa ardhini na nchi ya Urusi imeanza maandalizi ya vita kwa kile kinachoonekana mpaka sasa kama wasiwasi wa kutokea uvamizi muda wowote kutoka kwa mbabe wa mchongo(mrusi) mpaka sasa zaidi ya vijana elfu 55 wazalendo wa Finland wamekwishajiunga na mafunzo ya hiari...
  19. JamiiForums Tanzania Nchi zipi ambazo kwa passport ya Tanzania unaingia bila viza?

    Wana Jf nilisikia taarifa kuwa kuna nchi 68 ambazo ukiwa na passport ya Tanzania unaingia bila viza ila sijapata orodha ni zipi? Mwenye orodha aweke hapa nataka niuze vi asset vyangu vyote niangalie ka nchi kenye afadhali nikaanze maisha mengine,maana nchi inamilikiwa na mtu mmoja tu na genge...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu kajifunze kwa Mzee Msuya na Mtei. Bajeti ya nchi haiwezi kuchezewa

    Mh Mwigulu nakushauri uende kuwaona wazee wawili- mzee Msuya na mzee Mtei ambao nina hakika unajua walikuwa mawaziri wa fedha kama wewe wakati ule wa shida kuliko hizi za leo- ila walisimamaia bajeti na kutoa maelezo ilipobidi. Unaendeshaje uchumi wa nchi namna hii- yaani ni unazidiwa na mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…