"....... And a new religion shall sweep across the land."
Matukio ya watoto kuua wazazi, wanandoa kuua wenzi wao, haya mambo yanaonyesha mabadiliko katika falsafa za watu.
Watu wanajiuliza kama wanahitaji mke. Haya mambo Godbless Lema alikuwa anayazungumzia leo asubuhi. Kuna tatizo gani...
Nchi ya Australia, kwa mara ya pili imesitisha kibali cha kuingia nchini humo cha mchezaji maarufu wa tenesi, Novak Djokovic, kutokana na utata kuhusu haki ya kuendelea kubaki nchini humo bila ya kuwa amechoma chanjo dhidi ya UVIKO-19.
Uamuzi huu uliotangazwa na waziri wa masuala ya...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema atatumia wataalam wa elimu walipo ndani na nje ya wizara ili kuwa na maamuzi yenye tija kwa nchi.
Waziri Mkenda amesema hayo leo Januari 13, 2022 jijini Dodoma wakati akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo...
Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amekanusha tena “dai la mtego wa madeni” kuhusu ushirikiano kati ya China na Afrika alipokuwa ziarani nchini Kenya hivi majuzi. Alisisitiza kuwa China kamwe haijawahi kuzilazimishi nchi nyingine kufanya shughuli zisizotaka, na dai hilo ni kama “mtego...
Nimeshangaa sana kuona Mama katua Dodoma leo na mojawapo ya zile ndege kubwa (Airbus) za ATCL badala ya kutumia ndege maalalumu ya Raisi(5H-ONE) ambayo ilikuwa ni lazima inunuliwe hata kama watanzania tungekula majani.
Swali ni je, ndege ile haifai tena kwa safari za Raisi hata za humu nchini...
Bnafsi naamini kilichomfanya Ndugai ajiuzulu si mashambulizi(shinikizo) kutoka ndani na nje ya chama chake, bali ni baada ya kugundua Rais hana imani nae huku mhimili anaouongoza Rais ukiwa umejichimbia zaidi. Hivyo, bwana Ndugai akaona hana ubavu wa kupingana nae akaamu kujiuzulu.
Kwahiyo...
Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi.
Ukweli ni kuwa mamlaka ya rais wa Tanzania yako limited sana huko Zanzibar
Hata katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 iliyorekebishwa mwaka 2010 inatamka wazi kuwa Rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar.
Kwa hiyo...
Kwa jinsi alivyozungumza Tulia (NS) jana wakati wa kuapishwa viongozi/Mawaziri wapya ni dhahiri shahiri kuwa aliandaliwa makusudi kuongea vile baada ya kuhakikishiwa nafasi ya "Mzee wa nina file milembe mimi"'.
Ili halina shaka kabisa na ni wazi, ndio maana badala ya Tulia kuzungumzia...
Kwa wataalamu wa mambo ya sanaa pamoja na sayansi ya uandishi wa habari napenda mtujulishe kazi zao zina mipaka kiasi gani kwa viongozi wa nchi?
Habari zinazoandikwa na kuripotiwa ni zile zinazojitokeza zenyewe tu by nature hakuna habari za uchunguzi za kisiasa.
wanachunguza mambo ya afya za...
Jaji Mkuu wa Kenya amemtaka Mhe. Rais wa Kenya kuheshimu sheria na kite majaji sita wanaohitajika kikatiba. Aidha amesisitiza kuteuliwa kwa majaji wawili walimpinga wakati wa BBI. Hii ni mwendelezo wa uwajibikaji wa Jaji Mkuu kama mkuu wa mihimili. Jaji Mkuu aliyemaliza muda wake itakumbukwa...
Naibu Spika akiongea katika hafla ya kuwaapisha mawaziri, manaibu na viongozi wengine, amewapongeza wote walioteuliwa na kuwashauri wameteuliwa kufanya kazi za Rais nao wao wanamsaidia hivyo wazifanye kama wasaidizi wa Rais wa Jamhuri wa Muungano na si vinginevyo. Kuhusu Bunge, amesema kuna watu...
Watendaji wengi ambao hayati Magufuli alikuwa akiamka ama usiku wa manane akiwafurumusha hatimaye wengi wanarejeshwa kwa kasi tena wakipanda vyeo maradufu. Kwa uchache
1. Lawrence Mafuru alifurumushwa kutoka msajili hazina kwa kupinga kuwa hakuna mkurugenzi anayelipwa milioni 15. Leo...
Habari!
Huu uzi ninauandika nikiwa na jazba na ghazabu.
Nimefanya kazi mgodi wa GGM(GEITA GOLD MINE), kisha nikafanya Mgodi wa Bulyanhulu uliokuwa ukimilikiwa na Barrick kisha Acacia.
Ardhi yetu imemeza matrilioni ya fedha.
Nimefanya kazi kwenye hifadhi ya Serengeti kwenye hoteli ya kitalii...
Nimeona mkeka wa baraza jipya la Mawaziri, unajiuliza uchaguzi umeisha au bado tupo Kwenye kampeni? Watu waliopo Kwenye baraza la Mawaziri ni watoto wa familia zilezile zinazoelekea kustaafu au zilizostaafu.
Hakuna ufanisi, ubunifu wala mikakati ndani ya baraza bali wamewekwa watu wakumsaidia...
Askofu Mpemba hakutaka kukurupuka, aliingia huko huko alikoingia Makala wa CCM with facts.
Ametaja nchi kadhaa kwa ukubwa, mwaka iliuzwa, kiasi, na Wanunuzi.
Kwahio kwa hitimisho, tuna RC Kilaza saaana sana. Unaweza kufuatilia video hii.
ukiingia google ukasearch kwa heading
List of territory purchased by a sovereign nation from another sovereign nation
Utaletewa nchi nyingi sana zimefanya biashara hii na wanakuletea mpaka bei walinunua
Mifano michache
Louisiana - Marekani ilinunuliwa kutoka France kwa USD 15,000,000
Florida...
Wajuzi habari za mchana wa leo.
Juzi nimemsikia Raisi wa Zanzibar akiagana na mabalozi wanaokwenda kuwakilisha ktk nchi mbalimbali.
Ila sikujua kama ni hawahawa wa Tz alikuwa akiagana nao au amefanya uteuzi wa mabalozi kutoka ZNZ.
Nilishangaa zaidi baada ya kuona kuna balozi anakwenda Brazil...
Hatimaye Spika aliyeongoza kwa 'mkono wa chuma'' anguko lake limetimia. Mh. anaondoka akiacha historia ya Spika wa kwanza kujiuzulu tangu uhai wa Taifa hili
Spika asingeweza kutekeleza majukumu yake kwa fyongo yake na dhalili aliyopata Fyongo si alichosema ni kile alichofanya baada ya kusema...
Kama CCM ingekuwa na Mwenyekiti wa Taifa tofauti na Rais wa nchi hali isingekuwa kama ilivyo sasa ya msuguano ndani ya chama. Ndugai kama Mkuu wa muhimili wa Bunge angekuwa na uhuru wa kumkosoa Rais na Rais angeweza kujibu hoja bila jazba. Aidha Rais angeweza kukosoa udhaifu wa Bunge na Spika...