nchi

  1. Mkuu wa nchi lazima awe mkali na aogopwe. Asipoogopwa kila kitu kitakwenda mrama. Hata hayati Julius Nyerere aliogopwa na alikuwa mkali

    Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania. Kwamba watumishi wa umma wakiharibu atawabembeleza? Nimekaa na wazee wengi waliofanya kazi na hayati Julius Nyerere wanasema wazi kuwa Mwalimu...
  2. Raila Odinga apigwa mawe huko kenya, Ruto kuchukua nchi

    Hakika Kenya haiko na unafiki! Raila hatakiwi na wakenya mpaka wameamua kumpiga mawe kwamba hawamtaki Hii inaonesha dhahiri kwamba Ruto anaenda kujichukulia kiti cha urais kiulaini
  3. K

    Je, Kinana bado ana uraia wa nchi mbili?

    nilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe Sasa kama mtu ana uraia wa nchi mbili na bado anakabidhiwa nafasi kubwa kabisa kwenye chama dola je...
  4. J

    Kuna hatari ya ukabila inaienyemelea nchi, Rais Samia inabidi aongoze kwa mkono wa chuma kuepeusha hili

    Mimi ni muumini mkubwa wa demokrasia na utawala wa sheria, na ndiyo ni moja ya sababu iliyonifanya kuvutiwa na uongozi wa Samia kuliko uliopita Lakini kuna kipindi demokrasia hutumiwa vibaya na kuigawa nchi kwa udini au ukabila, hapo ndipo nasema demokrasia inabidi iwekwe pembeni Kumekuwa na...
  5. Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

    Sikiliza mwenyewe.
  6. Deni la taifa linadaiwa kuongezeka kwa 13% na kufikia Tilioni 64+

    Hii ni zaidi ya hatari! Japokuwa wanaendelea kujitetea kwamba deni la taifa bado ni himilivu lakini ukweli kama Nchi tunadaiwa pesa nyingi sana na hali hiyo lazima inaipa wakati mgumu Serikali kukusanya mapato yake. Sipati picha ongezeko hilo lingetokea wakati wa Utawala wa JPM!
  7. Naomba kuelimishwa juu ya nchi ya Qatar.

    kwa sasa, na kwa mwaka huu wote nchi ya Qatar imetrend na itatrend sana sababu ya fainali za kombe la dunia kufanyika huko. naomba kuelimishwa kuhusu hii nchi. Historia yake, utamaduni, watu wake, jiografia yake, uchumi wake nk nk. natanguliza shukrani.
  8. Kusherehekea sikukuu ndani ya nchi yako kuna raha yake

    Ni raha sana kusafiri kwenda likizo nchi za nje na kutalii. Lakini kuna raha pia kama utaweza kwenda maeneo ambayo hujawahi kufika hapa hapa bongo. Kwa mfano, Tanzania siku hizi imebadilika sana. Kuna sehemu nyingi sana unaweza kwenda kwa bajeti ndogo na ukafurahia sana moments ukiwa mwenyewe...
  9. B

    Nchi nyingine zinapowahami watu wao, sisi tunakwama wapi?

    Matatizo duniani hutokea. Ni wajibu wa Serikali kuwahami watu wake kwenye nyakati za shida: Kama si hivi serikali itakuwa na umuhimu gani? Wenzetu kama sisi hawa hapa: Kwetu pamoja dhahabu yetu kuendelea kupanda bei: Mafuta kupanda bei vilio, kwanini si vicheko Dhahabu ikipanda? Mama...
  10. Poland: Jiji la Lublin lenye wakazi 350,000 lasifiwa kwa kuwahifadhi na kuwatunza kwa kila kitu vizuri wakimbizi 40,000 toka Ukraine

    Kwa mujibu wa BBC Jiji la Lublin ,Poland lenye wakazi 350,000 lasifiwa kwa kuwahifadhi na kuwatunza kwa kila kitu vizuri wakimbizi 40,000 toka Ukraine Wamewapa wakimbizi makazi mazito,chakula mavazi na wameamua kuwa wabaki tu kwenye jiji lao wataishi vizuri tu Dar es salaam tuko zaidi ya...
  11. L

    Nchi za Magharibi na vyombo vya habari vinashindilia pamoja msumari kwenye mzozo wa Ukraine

    Hassan Zhou Tangu kuzuka kwa mzozo wa Ukraine mwishoni mwa Februari, nchi za magharibi na vyombo vya habari vimeshirikiana kushindilia pamoja msumari na kujaribu kugeuza macho ya watu wanaotaka kujua chanzo cha mzozo huo, na pia kuzipaka matope baadhi ya nchi ambazo zinataka kufikiwa kwa amani...
  12. Raia wa nchi zisizo rafiki na Urusi kuzuiwa kuingia nchini humo

    Moscow inaandaa hatua za kuzuia kuingia nchini Urusi kwa raia wa nchi "zisizo rafiki", Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema. "Rasimu ya amri ya rais inaandaliwa kuhusu hatua za visa ili kulipiza kisasi katika kukabiliana na vitendo visivyo vya kirafiki vya mataifa kadhaa ya...
  13. Rais Zelensky azilaumu nchi za Magharibi kwa woga

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amezishutumu nchi za Magharibi kwa woga, wakati ambapo nchi yake inapambana kuzuia uvamizi wa Urusi. Akilihutubia taifa jana usiku baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kusema hataki mabadiliko ya utawala Urusi, Zelensky amekemea kigeugeu cha nchi za Magahribi...
  14. L

    Mgogoro wa Russia na Ukraine umeonyesha unafiki wa nchi za magharibi

    Fadhili Mpunji Wakati dunia inaendelea kutafakari kuhusu changamoto zinazosababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine, kumekuwa na maswali mengi yanayoibuka, na kufanya watu watafakari udhati na kinachoitwa maadili ya nchi za magharibi (western values), na hata msimamo wa nchi...
  15. L

    Nchi za Afrika zina haki ya kuamua kuunga mkono au kupinga upande wowote kwenye migogoro

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya nchini Tanzania walikutana na waandishi wa habari kwenye makazi ya balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, na kutoa mwito wa nchi za Afrika kuunga mkono msimamo wa Umoja wa Ulaya kwenye mgogoro kati ya Russia na Ukraine. Wakati huo huo...
  16. G

    Nchi ya kwanza duniani iliyozikwa ikingali Hai

    Umekuwa ni msiba mkubwa ambao ulilikumba Taifa hili lililobarikiwa utajiri wa kupigiwa mfano na unaotamaniwa na wapenda vinono duniani kote, Sasa yapata takriban miaka 58 imezikwa na hadi Leo inasadikika kuwa bado inapumua kwa shida shimoni(Kaburini). Hii nchi ya kipekee duniani, hakukuwa na...
  17. Kwa hali hii Zelensky akubali yaishe, kuokoa nchi kuwa magofu. Ila Putin amepata fundisho

    Kuanzia tarehe 24 Urussi imekuwa ikashambulia ukraine kwa makombora toka kila upande (Angani, ardhin na baharini), hii imetokea baada ya vita ya ardhini kupata upinzani mkubwa toka kwa majeshi ya ukraine na washirika wake baada ya kupokea shehena ya siraha toka nchi za magharibi. Sasa Urussi...
  18. S

    Putin sio tu ni tishio kwa usalama wa nchi za Ulaya na Marekani, bail sasa ni tishio kwa uchumi wa hizi nchi, hivyo ikibidi wataungana kumuondoa

    Mwanzoni Putin alionekana ni tishio zaidi kwa usalama wa nchi za Magharibi na Marekani, ila sasa anaonekana ni tishio pia kwa ustawi wa maisha ya watu katika mataifa haya(kiuchumi na kijamii) kupitia swala la gesi na hili halitomuacha salama. Hili swala la gesi linaongeza sababu za mataifa...
  19. J

    IGP Sirro: Wale wachache wanaotaka nchi isitawalike kwasababu ya kukosa madaraka hatutawapa nafasi

    ..Dah!! ..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.
  20. Njoo uufahamu mji wa Ninawi alipotumwa nabii YONA

    Ninawi ni wapi? Ninawi ni mji uliokuwepo kaskazini mwa Taifa la Iraq kwasasa. Mji huu kwasasa haupo, ila mahali pale ulipokuwepo mpaka leo pako!. Na mji huu ndio uliokuwa mji mkuu wa Taifa la Ashuru. Ashuru ilikuwa ni nchi iliyokuwepo maeneo ya Iraq, Uturuki, na Syria..Mataifa haya matatu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…