nchi

  1. JamiiForums Tanzania Nchi iko kwenye auto-pilot

    Ni wazi kuwa nchi sasahivi inajiongoza tu automatic, kila mtumishi wa serikali analamba asali kama walivyolekezwa na kiongozi wa Chama Chao tawala, wakurugenzi wanapiga, wakuu wa wilaya na mikoa wanapiga, wakandarasi na mafundi kwenye miradi wanajipigia tu, tunachosubiri ni kuona tunapoenda...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Qatar ni taifa la kuigwa kwa kusimamia maadili na misingi ya nchi yao. Kwanini tusiwaige?

    Pamoja na mgao wa umeme, nafuatilia kombe la dunia, na moja kati ya vitu nilivyofurahishwa navyo, ni namna hawa wenyeji Quatar walivyosimama kidete kutetea utamaduni na mila za nchi yake. Hili ni jambo zuri na huenda katika vitu vilivyosababisha nchi hiyo kuwa juu sana kimaendeleo ni misingi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China katika usafirishaji na ushauri wake kwa nchi za Afrika

    Na Gianna Amani Kampuni ya utengenezaji wa magari ya King Long iliyopo katika Mkoa wa Fujian imeeleza namna ilivyopenya katika soko la dunia na kuziambia nchi za Afrika juu ya magari wanayopaswa kuchagua hivi sasa. Kampuni hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1988, mbali na kutengeneza magari tofauti...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Utaratibu wa mwenyekiti wa chama cha siasa kuwa Rais wa nchi ufutwe

    Kwa utaratibu wa siasa za Kiafrika ninashauri haraka iwezekavyo katiba ya nchi ibadilishwe na kiongozi yeyote wa chama asiwe au asichaguliwe kuwa Rais wa nchi. Utaratibu uliopo ni ndoto nchi kupata maendeleo na ni ngumu kuondoa rushwa kwenye jamii. Kiongozi wa chama awe kiongozi wa chama ila...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme: Wa kulaumiwa ni CCM au mabadiliko ya tabia ya nchi?

    Watanzania tunaotumia mtandao huu wa Jamiiforums, tutoe maoni yetu ni nani anapaswa kulaumiwa kati ya CCM iliyokaa madarakani kwa miaka 62 sasa au ni mabadiliko ya tabia ya nchi. Karibuni kwa maoni mlioa tayari kushiriki.
  6. JamiiForums Tanzania Tunawahitaji akina Bashiru wengi katika nchi hii ili tuweze kuendelea

    Si kila kitu cha kusifia, kwani kuupiga mwingi ndio matokeo mazuri, au ndio kupata ushindi? Hata kwenye Football, unaweza uupigwe mwingi alafu ufungwe tu, yani unaupigwa mwingi alafu hupati matokeo! Wanaopiga kauli yake ni wasaka tonge tu, Kama ni mbunge wakonanakosoa bila maelezo sahihi ya Dr...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaitishwe nchi nzima kupinga upigaji madili kupitia mgao wa wa Umeme. Waziri Makamba alituambia tuna ziada ya MW 1400. Huu mgao wa nini?

    Hapa tunaibiwa kiwaziwazi kabisa. Yaani mkuu wa wizara anayehusika na umeme anatamka wazi kuwa tuna ziada ya Mw 1400. Halafu ghafla naibu wake anadai kuna upungufu! Halafu mgao unatamalamaki nchi nzima. Tuandamane kupinga huu wizi. Tuandamane watanzania.
  8. JamiiForums Tanzania Zijue kampuni kubwa duniani zinazotengeneza ndege na nchi zinazozimiliki

    Wadau mjue haya: 1. BOEING-MAREKANI 2. AIRBUS-(ULAYA-Ufaransa, Ujerumani, Hispania) 3. BOMBARDIER-CANADA 4. COMAC-CHINA 5. MITSUBISHI-JAPAN 6. UAC-RUSSIA 7. EMBRAER-BRAZIL Nawakilisha
  9. JamiiForums Tanzania Ile nchi ya kusadikika itakuwa imeuza vya kutosha majenereta kutokana na zoezi linavyoendeshwa, wameamua kutoa kadogo kama asante

    Nchi ya kusadikika imesikika ikitoa msaada kwa nchi fulani hivi ya kwenye uso wa Dunia ukizingatia hakuna cha bure lakini yote kwa yote watakuwa wanenufaika na yanayoendelea katika nchi ya kisiwa cha wami ambayo iko pande hivi za Dunia Wagawiaji wamenufaika na mikakati yao ya kuiweka Ile nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa hapa tulipofika, Rais Samia anatufikisha nchi ya Ahadi

    Hakuna tena more death threats kama ilivyokuwa kipindi kilichopita tulishuhudia vitisho vingi kuliko wakati wote ule wa vyama vingi vya siasa katika our political history. Rais Samia ni Kiongozi bora anafahamu umuhimu wa vyama siasa na vile vya Wafanyakazi hawezi kusema wapinzani wake...
  11. JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa TISS; Top 20 ya matajiri ndani ya nchi sharti itawaliwe na Wazawa; huko ndiko kujitawala

    UJUMBE KWA TISS; TOP 20 YA MATAJIRI NDANI YA NCHI SHARTI ITAWALIWE NA WAZAWA; HUKO NDIKO KUJITAWALA. Anaandika, Robert Heriel Utawala ni nguvu ya kiuchumi. Hata kwenye ngazi ya familia. Mwenye uchumi mkubwa ndiye mwenye utawala na ndiye mwenye maamuzi. Hilo wala halihitaji akili kubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kama tu French Revolution ya 1789 ilitokana na Bei ya Mkate kupanda hata Kwingineko Tozo, Mgawo wa Maji na Umeme unaweza Kuivuruga nchi

    Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
  13. JamiiForums Tanzania Nchi ya ovyo sana hii umeme hakuna, maji yanatoka kwa mashaka

    Nashindwa kuelewa kabisa Yani kwamba kuna mgao wa umeme au laaa. Tangu asubuhi huku Msasani hakuna umeme na hakuna taarifa zozote, hiyo haitoshi Jana maji hakuna leo yapo, umeme hakuna. Sasa haya Maji Sijui yanapandaje Kwenye tenki . Sometimes unashikwa na hasira hakuna shughuli yoyote Maana...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameonesha ushupavu na umadhubuti katika kuongoza nchi na kukabiliana na changamoto

    Ndugu Zangu Rais Samia Ameonyesha yeye Ni kiongozi shupavu sana, Asiye yumbishwa Wala kupelekeshwa na maneno maneno, Nikiongozi asiye fanya maamuzi pasipo kufanya uchunguzi wa kina, kiutafiti na kitaarifa, Ni kiongozi mwenye Msimamo usio yumba Wala kutetereshwa, Ni Kiongozi Mtulivu na mwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Tabia Nchi isiwe kichaka cha kuwanyima huduma muhimu wananchi

    Mtanzania ukimpa sababu, umemaliza, ataitumia sababu hiyo kila sehemu. Ukizungumzia umasikini wa bongo watasema ni kwa sababu ya ukoloni ambao umeisha miaka 60 iliyopita lakini bado hakuna hatua serious. Kwa sasa dunia ipo kwenye agenda ya Mabadiliko ya Tabia nchi, na Tanzania imeichukua suala...
  16. JamiiForums Tanzania Nauliza tu: Hivi ni kweli Mkuu wa nchi anashindwa kusimamia na kuwajibisha watendaji wake au anafanya makusudi kuwalea?

    Mimi huwa si mpenzi sana wa kuanzisha mada kwenye jukwaa la siasa, maana huwa naona vurugu ni nyingi sana humu, watu huwa hawajadili kwa hoja, bali ni kujibu jibu tu arguements kwa vijembe kama mataahira flani hivi. Ila leo nimeshindwa kuvumilia, inabidi niulize. Hivi inawezekanaje mtu amepewa...
  17. JamiiForums Tanzania Ukimya wa wapenda Nchi

    Bila Shaka sasa Nchi inaenda vizuri katika mwendo ambao tunauhitaji na tumeridhika nao, ishara ya hili inajionesha pale wakosoaji na wapenda nchi, yaani wazalendo nguli waliojitokeza kipindi cha hayati JPM kunyamaa Kwa kimya kikubwa. Nadhani sasa mambo yapo safiiii, kijamii, kiuchumi...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ukipokea pesa kutoka nje ya nchi kunamakato ya kodi? Ni lazima ukatwe kama mtu wa mshahara?

    Nahitaji kujua ni makato gani mtu anakatwa akiwa anapokea pesa illiyotumwa kutoka nje ya nchi? Na kama yapo, anaweza kufanya nini ili pesa isikatwe sana au isikatwe kabisa akiipokea..??
  19. JamiiForums Tanzania House Girl / House maids wanavyouzwa mtandaoni nchi za mashariki ya kati

    Kuna App inaitwa 4SALE. Humo unauza/nunua kitu chochote ikiwemo mtu. Kwa miaka kadhaa imetumika sana kuwauza kina dada mtandaoni. Kinachotokea ni kwamba; mabinti/dada walioenda nchi za mashariki ya kati kufanya kazi za ndani wanauzwa mtandaoni kama watumwa. Ukimtaka mfanyakazi unaingia kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Magufuli ndio alikuwa wa kuibadilisha nchi, kama ilishindikana basi hatokaa atokee mwingine

    Kwanza nataka niwaambie watoto mliovamia siasa kaeni mjifunze kuhusu nchi yetu ya Tanzania muielewe vizuri. Shida kubwa ya vijana walio na mzuka na siasa hawajui kabisa kuhusu nchi wala game ya siasa inavyokwenda duniani kote. Kubwa zaidi hawaijui dunia. Niende moja kwa moja kwenye hoja sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…