nchi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Polisi ni rafiki kipindi hiki cha awamu ya sita

    Nilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano yaliyofanywa tunaona polisi amerejea kwenye kazi yake ya kulinda amani ya mwananchi. BEFORE...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mloganzila imeanza kupokea wagonjwa kutoka nje ya nchi

    Kutokana na juhudi za serikali kuboresha huduma za afya nchini, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila imeanza kupokea wagonjwa kutoka nje ya nchi wanaofuata huduma za kibingwa, ikiwemo huduma tiba ya kuweka puto kwenye tumbo la chakula (Intragastric balloon), ili kusaidia watu wenye uzito...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hela inayotumwa na Wakenya walio nje ya nchi yapita mapato mengine yote

    Uraia pacha unazidi kuinemeesha Kenya, Wakenya wanapiga hela huko na kuzituma balaa, yaani wamepitiliza kila aina nyingine ya mapato ya nchi... Kenya is now earning more foreign exchange from diaspora remittances than each of its major exports – coffee, tea and horticulture – in spite of...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya maeneo ya nchi fulani ingekuwa inawezekana ningewashauri wauzie hata nchi jirani wagawane fedha

    Nchi nilipo sasa hivi kweli Ni kubwa lakini watu waishio huku wanapata tabu maji shida, barabara taabu, Afya shida, umeme ndo kabisa ukiwauliza habari ya matumizi ya gesi ya kupikia hawaelewi kabisaa. Jamani kuna maeneo bado loh! Picha nimekatazwa kupiga.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo idadi ya watu inatarajiwa kupungua

    Nchi nyingi -- haswa za Ulaya na Asia -- zitaona idadi ya watu ikipungua katika miongo ijayo, ikiwa utabiri wa 2100 uliochapishwa na UN Julai iliyopita utathibitishwa. Katika maeneo mengine, idadi ya watu tayari inapungua. Idadi ya watu tayari imepungua Nchi nane zenye wakazi zaidi ya milioni...
  6. JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) alikuwa sahihi, Rais Samia anaendesha nchi vizuri

    Januari 12,22023 , Mbunge mstaafu wa Mbeya kwa tiketi ya CHADEMA , Joseph Mbilinyi alitweet" Nchi inaenda, so far so good. Hakuna tena kuokota viroba Coco, wala raia kutekwa ovyo na state. Mengine yote yanazungumzika,na tutakutana kwenye mikutano ya hadhara soon. Mungu aendelee kuwapa busara...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania imetumia Hekta Milioni 10.8 tu kati Milioni 44 za ardhi inayofaa kwa Kilimo hadi sasa

    Akizungumza na Vyombo vya Habari, Msemaji Mkuu wa Serikali amesema Tanzania ina hekta Milioni 44 za ardhi inayofaa kwa kilimo na kati yake ni hekta Milioni 10.8 ndizo zinalimwa na kuongeza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita kwa kutambua kuwa kilimo ndicho kinaajiri zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Ugumu wa Maisha: CHADEMA hamasisheni tuandamane nchi nzima

    Kwa ufupi sana Nimesoma mikutano itaanza hivi karibuni. Katika mikutano yenu mtaeleza ajenda mbalimbali ikiwemo katiba mpya na ugumu wa maisha. Hayo yote tunayajua. CCM wanajua vyote hivyo ila wamekaza mashavu. Kwa hiyo kusema tu haitoshi inatakiwa twende extra miles. Hamasisheni maandamano...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wa vijijini ndiyo huwa wanalipa mikopo nchi hii, wanatakiwa kupewa kipaumbele kwenye matumizi ya hiyo mikopo

    Karibu asilimia mia moja ya mikopo ya nchi hii inalipwa na toka uhuru imekuwa inalipwa na watu wa vijijini. Unapoenda kulipa mikopo lazima utumie fedha ya kigeni, yaani dola. Sasa nchi yetu inapataje dola? Ni kwa kuuza bidhaa nje ya nchi. Wazalishaji wa viwanda vya ndani ambao wanauza humuhumu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kuhimiza ufuatiliaji wa nchi za Magharibi kwa Afrika

    Siku chache baada ya waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang kufanya ziara ya siku tano barani Afrika, Waziri wa mambo ya nje wa Fedha wa Marekani Bibi Yellen Jaret ameanza ziara yake ya siku 10 barani Afrika itakayomfikisha Senegal, Zambia na Afrika Kusini, akiwa na ujumbe kuwa Marekani...
  11. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Nimezunguka nchi nzima, hakuna sehemu wanauza mchele Tshs. 3,500 kwa kilo

    Kiongozi mkubwa wa CCM amewataka wananchi wapuuze uzushi unaonea mitandaoni kuwa mchele umefikia 3500 kwa kilo sababu yeye mwenyewe ametembelea masoko yote makubwa nchini na hajakutana na bei hiyo tajwa. Ameenda mbali zaidi na kudai Kuna kona kadhaa za nchi mchele upo hadi sh 1000 kwa kilo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli mnaombea mabaya nchi hii? Tuwatangaze maadui wa Taifa?

    Kwa utafiti wangu mtandaoni na mtaani nimegundua kuna kundi hili linaiombea sana hii nchi ipate mkwamo ili wafurahie. Nitatoa mifano 5 1. kulipokuwa na ukame uliosababisha mgao wa umeme na mgao wa maji, watu hawa walikuwa wakifurahia sana, walipata sababu ya kuanzisha nyuzi kila dakika hapa JF...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 5 zilizo juu katika fani ya uhandisi duniani

    Hii hapa ni orodha ya mataifa 5 zenye kutamba katika fani ya uhandisi duniani. Ebu iangalie vizuri uone nchi yako ni ya ngapi katika orodha hiyo. === 5 Countries That Produce the Best Engineers in the World In this article, we discuss the 5 countries that produce the best engineers in the...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kinana aendelea kukutana na mabalozi wa nchi mbalimbali rafiki wa CCM, akutana pia na Balozi wa Algeria kwa mazungumzo Ofisi ndogo ya CCM Lumumba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 17, 2023.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anazidi kuifungua nchi kimataifa. Tanzania kunufaiki na fursa za kongamano la Uchumi duniani

    Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu ni moja ya viongozi 50 duniani walioalikwa kuhudhuria kongamano la Uchumi duniani linalofanyika nchini Uswisi lakini viongozi kutoka bara la Afrika waliolikwa ni wawili ambao ni yeye na Rais Ramaphosa. Pamoja na mambo mengine, kongamano la mwaka huu lililoanza Januari...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna nchi mkate ukipanda bei ni ishara kuwa nchi ipo kwenye tatizo

    Sio kwetu huku hata tuongezewe matozo, makodi na masababu ila tutaishia kumudu tukilalamika moyoni na kumuwachia mungu. Kwa sasa hakuna penye unafuhuu kuanzia kile kilicho kuwa kinaliwa na maskini nacho kinaonekana kuwa sawa bei moja na kinacho liwa na matajiri au wanaomudu. Vipato vyetu na...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi nchi jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania ni ipi?

    USA wana Canada, Nigeria wana Ghana, Australia wana New zeeland. Namaanisha yule jirani ambaye hata ukienda kumtembelea unahisi uko nyumbani tu haubaguliwi. Mila zinaendana. Kwa Tanzania ni nani? Kenya? Uganda? Rwanda? Burundi? Malawi? Msumbiji?
  18. JamiiForums Tanzania Nikikumbuka enzi zile ndege ilinunuliwa moja halafu nchi nzima inahamia uwanjani kuilaki na kuiombea, nacheka sana

    Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa. Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa. Jamani, hivi huyu mtu angekuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Vilabu vingi Vikubwa Afrika vikisafiri 'Pre Season' hasa nchi za 'Kitajiri' huwa zinasafirisha Dawa za Kulevya

    Sijajua kwa Vilabu vya hapa Kwetu Tanzania ( na nahisi havina Upuuzi huu kwa Matajiri wake ni Watu na Wafanyabiashara Waaminifu na Wacha Mungu mno ), ila kwa Vilabu vingi Vikubwa vya Soka ( Mpira ) Barani Afrika ambavyo viko chini ya Matajiri ukiona tu Vinasafiri ama ndani ya Msimu wa Ligi au...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kwa walioyafanya wanaojiita wanamapinduzi kwenye hii nchi ni dhahiri kabisa hii nchi itaendelea kuwa na laana ya milele

    Waliuwa watu karibu 20,000 kwenye mapinduzi yale na wanendelea kuua na kutesa watu hadi hi leo. Ni ngumu sana hii nchi kuendelea kwa Laana hii, hata tungekepewa rasilimali za ulimwengu mzima tungekua maskini tu. Kinachosikitisha zaidi ni kuona common Men wakishabikia mambo ya kikatilia kama haya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…