nchi

  1. Lissu: "Mimi huwa nachelewa kuamka asubuhi, naamka saa 4 asubuhi au zaidi." Je, akikabidhiwa nchi si italala kimaendeleo?

    Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi. Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka...
  2. R

    Hayati Magufuli alikuwa ni ASSET au LIABILITY kwa chama na nchi Kwa ujumla?

    Kwa namna mama anavyoliponywa Taifa, Kwa namna Makamu wa Rais wa Magufuli anavyopingana naye. Na Kwa kuzingatia namna waliokuwa karibu take kuanzia Mawaziri wasivyopenda kumtaja taja kwenye hotuba zao au mazungumzo; Je, Kwa upeo wako kama mwananchi unaamini Mzee Magufuli alikuwa asset Kwa Taifa...
  3. R

    Mke wa Makonda ni Raia wa nchi gani?

    Nimekuta sehemu mjadala ukizungumzia Makonda kuhamia Kwa wakwe zake nchi jirani nikataka kujua mke wake ni Raia WA nchi gani? Mwenye taarifa atusaidie may be amekimbia kumkwepa Lisu
  4. Umeshawai kusikia nchi iliyopo africa inaitwa Ambazonia

    Ambazonia ina patikana africa magharibi upande wa nchi ya cameroon ikipakana na nigeria chini au unaweza kuiita Southern Cameroons. Historia: Ambazonia inajulikana kama Ardhi ya Amba, ni jimbo lililojitenga lisilotambulika katika Afrika Magharibi ambalo linadai Kanda ya Kaskazini-Magharibi na...
  5. J

    Katiba mpya itatuletea matatizo haya 3 makubwa kwa nchi yetu

    Nchi yetu sio ya demokrasia, hili tuliseme wazi bila kudanganya Rais wa nchi hii anaamuliwa na kikao cha kamati kuu ya CCM na wazee, amboa ndio huamua nani akatwe jina na nani apitishwe kwenda kupigiwa kura na wajumbe wa chama Akishapitishwa na wajumbe ndio tayari ameshakuwa rais, sababu...
  6. Maono: Tuepuke siasa za vyama katika makao makuu ya nchi Dodoma

    Kuna wakati nakuwa sina uhakika sana na dhamira ya nchi hii kuhamia Dodoma ila ngoja nichukulie kuwa dhamira hii ni ya kweli na itadumu. Taifa la Marekani walifanya kitu kimoja unique sana wakati wa muundo wa Katiba yao. Katika majimbo yao yote 50, waliipa mji wao mkuu Washington DC utaratibu...
  7. J

    Tanzania ndio nchi yenye mfumuko wa Bei mdogo zaidi Afrika Mashariki

    Kati ya nchi za Afrika Mashariki, Tanzania ndio yenye kiwango kidogo zaidi cha mfumuko wa Bei Swala la mfumuko wa Bei ni suala la kidunia, wale waliojifungia wasiojua kinachoendelea duniani wafahamu hilo
  8. M

    Kumbe bidhaa kutoka Tanzania bara zikiingizwa Zanzibar inahesabika zimetoka nje ya nchi! Huu muungano haufai

    Ndizi tokan Tanganyka zazuiwa huko Zanzibar 👇 Waziri aeleza sababu mwanamke aliyezuiwa kuingiza ndizi Zanzibar Zanzibar. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Biashara wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis ametoa ufafanuzi kuhusu tukio la kutaifisha tenga 30 za ndizi za Veronica Mwanjala...
  9. Kwa kauli hii ya Rais Samia, Jaji Biswalo anapaswa kujiuzulu haraka

    Leo Januari 31, 2023 Rais Samia amezungumzia suala la Plea Bargain, utaratibu wa Makubaliano ya Kumaliza Kesi kwa Kulipa Fedha kwa Serikali ambao ulitumika wakati wa Utawala wa Hayati Rais Magufuli chini ya DPP Biswalo Mganga aliyeondolewa na kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu, huku akieleza...
  10. Nashauri Yanga itafute mtu wa sheria kutoka nchi za nje

    Kuna sakata kama tatu zimejitokeza kuhusu mikataba, Morrison, Fei toto, na sasa ni sportpesa. Sitaki kuchimbua sana lakini ukiangalia kwa umakini unaona kabisa mtu anayesimama kwenye kusainiana mikataba ni mtu asiye na maono, asiyekuwa na uwezo wa kufikiria na asiyejua kusimamia mikataba yenye...
  11. L

    Kuneemeka kwa China ndio kuneemeka kwa nchi za Afrika

    Watu husema mwaka mpya huleta matumaini mapya. Lakini kwa uchumi wa dunia wa mwaka 2023, inahofiwa kuwa matarajio hayo sio mazuri sana, wasomi wengi wanakadiria kuwa kasi ya ukuaji uchumi itaendelea kupungua. Kwa Afrika haswa ukanda wa kusini mwa Sahara, watu wanaendelea kulalamikia bei kubwa ya...
  12. R

    Mzalendo namba moja alikuwa wapi wakati nchi inapata nyufa za uadilifu? Au alijikita kupenyeza majina kwenye uteuzi akaacha jukumu mama?

    Ukimsikiliza Mhe. Rais na ukiona idadi ya maafisa wakuu wa Usalama waliotumbuliwa Kwa kipindi cha miaka Saba iliyopita utabaini hatuna maafisa sahihi kwenye nafasi za juu za menejimenti ya kiusalama. Mhe. Rais ni kama anakuwa na taarifa za ubadhirifu, uharibufu na upotevu wa Mali za umma badala...
  13. J

    Bashiru Ally: Heshima ya nchi yetu imeshuka, tunadhalilika kwa njaa

    "Njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, inatweza utu wa binadamu kwahiyo tatizo la mfumuko wa bei za vyakula ni tatizo ambalo tutake tusitake lazima tuongeze kiwango cha ubunifu kukabiliana nalo, hakuna ukomo wa ubunifu, wananchi wanakibiliana na tatizo hili. "Nilikuwa nazungumza na...
  14. CCM wameshindwa kuendesha nchi, huo ndiyo ukweli

    Hakuna wakati wowote ule, nchi yetu ya Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) imewahi kuongozwa na chama kingine chochote kile zaidi ya hapo awali kuongozwa na TANU (Tanganyika) na ASP (Zanzibar) vyama ambavyo viliungana na kuzaliwa CCM. Kwa ivo umaskini wetu, ujinga wetu uliotopea, maradhi...
  15. Tim Martins mmiliki wa pub za Weatherspoon ni mmoja wa walipa kodi wakubwa nchi Uingereza

    Tim hakua na uwezo mkubwa wa masomo darasani, kuna mtu alinisimulia kuwa jina la Weartherspoon lilikua jina la mwalimu wake aliyemtakia kwa hasira “Tim you’re good for nothing, you can not write essays nor manage solving mathematics questions “. Baada ya kuachana na masomo Ali hustle na pub...
  16. Rais wa nchi yoyote kutumiwa salamu siku yake ya kuzaliwa na vyombo vya habari nchini ni lazima au kujipendekeza?

    Nami GENTAMYCINE naomba nichukue fursa hii kuwatakia 'Hepibasidei' wale wote wanaosheherekea leo hata na yule aliyekuwa jana na aliyeko leo huko Dakar nchini Senegal. Ukiwa katika nchi yoyote ile duniani na ukakuta ama 99% ya Media zake au Media zote zinajikomba kwa mamlaka (Serikali) jua hilo...
  17. Kwanini nchi jirani wanakabiliwa na wingi wa Yesu feki?

    Nchi hii jirani yetu imekuwa ikikumbwa na wimbi la ongezeko la ma Yesu feki kila kukicha.
  18. M

    Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

    Maisha yamekuwa magumu. Degree zimetapakaa uraiani kama njugu. Ajira hakuna. Mabazazi wa CCM wanakula nchi na familia zao. Vijana mashujaa wanajilipua huko nje kusaka maisha.
  19. Nchi yangu nimeipenda bure. Leo vituo vingi vya redio vinamtakia Rais Samia heri ya siku ya kuzaliwa. Inapendeza Sana

    Si kila mara utapata upendo kutoka watu wako lakini hii ni dalili nzur na njema Kwa redio kulijua hili Mama ndiyo kila kitu. Sisi wengine kila mama ni mama yetu. Tunafarijika anapopendwa mama wa wenzetu Kwa kuwamama zetu wengine wapo mbele ya haki. Allah awape maisha yenye rehma. Ameen. Leo ni...
  20. Kama Lissu anapinga serikali isiweke Kodi yoyote ile kwa wananchi, yeye atatoa hela mfukoni kuendesha nchi?

    Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake. Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa wanalinda mikutano yake, kujenga uwanja wa ndege, kulipa mishahara, kujenga lami ambayo wafuasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…