nchi

  1. Kabla ya kushinikiza Law School wafaulishe 'sub-standard advocates', njooni saiti muone wanasheria wasioiva wanavyotia hasara

    Tunapambana sana ili law school iruhusu "chakula ambacho hakijaiva" kiingie meza ya chakula. Jibu liko wazi, walaji wataharisha, wataumwa matumbo. Nchi yetu imekuwa ikilia kuhusu mikataba ya hovyo inayosainiwa baada ya kupitishwa (vetted) na wanasheria. Nchi yetu imekuwa ikilia kuhusu kushindwa...
  2. Hii ndio sababu kwanini Nchi hii hatutaendelea hata Miaka Milioni 1 ijayo

    Kuna mwanajeshi mhaya alisema yeye Kwenye Kozi hakupiga doso(mazoezi makali), baba yake alikuwa mstaafu wa jeshi, alitoa fungu mtoto wake akawa anadoji doso tu. Sasa najiuliza tu, Vita vikizuka mwanajeshi Kama huyo si atakuwa wa kwanza kufa? Chuo nilichosoma Mimi, Kuna mzee(Dean of students)...
  3. L

    Ethiopia ni mfano wa kuigwa kwa nchi zenye migogoro katika Afrika Mashariki

    Serikali ya Ethiopia hivi karibuni imefanya hafla ya kushukuru watu, makundi na serikali zilizochangia mchakato wa amani nchini humo. Tangu serikali ya Ethiopia na Jeshi la Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF) kufikia makubaliano ya amani mwishoni mwa mwaka jana, mchakato wa maafikiano nchini humo...
  4. Hivi TBS wana kazi gani mpaka wasubiri bidhaa zilete madhara ndio waanze uchunguzi au ni Rushwa tu?

    Inafika mahala hii nchi inakera Sana, tuna mamlaka zinazolipwa na kuendeshwa na fedha za walipakodi lakini kazi yake haionekani, mfano hivi karibuni kumekuwa na matukio ya uingizaji wa bidhaa ya powder zenye viambata sumu zinazosababisha saratani lakini wao wapo tu, mpaka nchi zingine waamke...
  5. T

    Pale tunapotakiwa tukasirike tunacheka, na pale tunapotakiwa kucheka eti tunakasirika! Nchi ya ajabu sana hii!

    Nilitarajia kuona kila mtanzania amekasirika na kuonyesha hisia zake hasaa kwenye mambo yafuatayo; Ufisadi Kwanini kuwachekelea waliopewa mamlaka kusimamia haki za wananchi pamoja na kulinda kuhakikisha hakuna shilingi ya Mtanzania inakwapuliwa na mafisadi? Anatokea mtu mmoja tu kusema hili...
  6. Urusi yapendekeza makao makuu ya UN yaondolewe Marekani na kuhamishiwa nchi nyingine

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema pendekezo la kuhamisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York hadi nchi nyingine ni wazo zuri na linafaa kuzingatiwa. Sergei Lavrov, ambaye yuko mjini New York, amewaambia waandishi wa habari kando ya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la...
  7. Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ianze kuboresha vigezo vya usajili wa taasisi za dini, hasa makanisa

    Sijui kama wizara Ina maono gani kuhusu usajili wa taasisi za dini, hasa makanisa. Kwa upande wangu naona ni muda muafaka Sasa kupitia upya vigezo vya usajili wa makanisa kabla hatujachelewa. Naona kabisa matapeli wote wa mjini wamevamia usajili wa makanisa. Nashauri kwamba kwa kuanzia Sasa...
  8. WHO: Tanzania Kinara Wa Utiaji Chanjo za Uviko-19 Barani Afrika

    Kutoka kukataa chanjo Hadi kuwa Kinara, shujaa ni SSH aliyeongoza na kuzindua zoezi Hilo. ===== Until early 2021, Tanzania was a Covid-19 denier, but two years later, the World Health Organisation (WHO) now ranks the country as the best performer in Africa in increasing Covid-19 vaccination...
  9. Ndugu yetu yupo kwenye mtego nchi moja ya hapo Ulaya, tunamtoaje?

    Ushauri kwa ndugu yetu ambaye yupo masomoni nchi za Ulaya. Ndefu ila nafupisha kwa kadri ya uwezo. Bro.Wangu anasoma nchi moja hapo Ulaya! Huyu ni brother alienda Europe 2020 kimasomo katika fani ya afya hivyo amefanikiwa kupata chuo kizuri na kuanza kuishi maisha ya hostel. Hivyo baadae...
  10. I

    Nchi zenye waislamu wengi barani Afrika zinaongoza kwa unywaji pombe

    Je una habari kwamba baadhi ya nchi zenye waislamu wengi barani Afrika kama Libya, Algeria na Tunisia ndizo zinazoongoza kwa unywaji wa pombe katika Afrika? Hebu soma hapa chini...
  11. Mbunge: Kwanini mwananchi akileta TV Bara kutoka Zanzibar analipia kodi wakati nchi ni moja?

    Haiwezekani mwananchi amesafiri kutoka Zanzibar na TV moja used anakuja kutumia nyumbani anafika Bara anaambiwa alipe kodi na hii ni nchi moja, akini anayetoka Morogoro kwenda Dar halipi kodi, lakini anayetoka Zanzibar kuja Bara alipe kodi, hii ni kero kubwa,"- Bakar Hamad
  12. I am looking for a Housemaid job

    I'm Doto from Temeke Toangoma Dar es salam, 26 yrs old. I'm here looking for housemaid job please can you help me, I have 5 yrs experience for housekeeping and 1 yr babysitter. I know to cook, cleaning, washing, ironing and family careers and all the home surround work. Nisaidie please...
  13. T

    CCM, nani mwenye sababu za kwa nini Watanzania ni masikini wakati nchi imezungukwa na Utajiri kila kona?

    Kwanza tukubaliane sote kwamba, kila mwenye kutokukidhi mahitaji yake binafsi na ya familia yake, na kwamba umasikini alionao umechangiwa kwa asilimia kubwa sana na viongozi wa chama cha CCM ambao hawana ubunifu wowote wa kuwatoa wananchi kwenye umasikini uliopo. Wanakosaje Ubunifu? Ni kwa...
  14. I

    Nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani

    Hii ndio orodha ya nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani. Pamoja na wanasiasa wa Tanzania hasa wale wa ccm kutudanganya hasa miaka ya nyuma kwamba na sisi tulikuwa miongoni mwa mataifa hayo kumbe zilikuwa ni kiki za kisiasa tu. 1. China - 332 Tons 2. Russia -330.9 Tons 3...
  15. S

    Hivi unaaamini Waziri mmoja tu anaweza kufanya maamuzi ya kuingiza nchi hasara ya zaidi ya trilioni moja bila mabosi wake kujua?

    Kama mpaka leo hamjajifunza, basi wadanganyika mna laana. Mamba haya hayana tofauti na yale ya kuchota hela kwenye mifuko ya sandarusi na kelele zilipozidi, mkaambiwa na Mamlaka ya juu kuwa zile hazikuwa za umma. Poleni sana Wadanganyika.
  16. B

    Andika chochote kinachohusiana na nchi yetu, kivyetuvyetu

    Mi naanza na IDD yetu, kivyetuvyetu
  17. Kitendo cha Mahakama zetu kushughulikia kesi za ushoga na kuwaacha mafisadi ya matrilioni mtaani hiyo ni failure ya nchi kwa 100%

    Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili. Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa...
  18. Je, tatizo la nchi zetu za watu weusi ni kuwa na uwezo Mdogo wa fikra?

    Naomba mawazo ya Great thinkers yatumike hapa. Yaani unakuta mtu Katika familia hana uwezo wa kuwafanya watoto au kuwaandalia maisha kipindi akiwa Mdogo hadi kuwa mtu mzima yaani unazaliwa bila kuoneshwa njia yakupita na wapi utokee ili ufike salama. Mfano Mimi binafsi kipaji changu cha asili...
  19. R

    Tunaishi kwenye nchi yenye watu 60M+ ambayo wenye uhakika wa ajira ni Rais wa JMT na Zanzibar tu

    Mfumo wetu wa ajira nchini hasa ajira rasmi upo mikononi mwa wanasiasa. Leo wanasiasa wanaweza wakaamua Nani aajiriwe kwenye sekta binafsi au sekta ya umma. Wanasiasa pia wanaweza kuamua Nani afanye business Nani asifanye business. Kwa msingi huu wapo watu wawili Tu wenye uhakika wa ajira...
  20. Saudi Arabia, Oman na nchi nyingine Eid kesho Mwezi wa Shawwal ulishaonekana

    Kada Abubakar Zuberi na tawi lake la CCM (BAKWATA) kama kawaida watatufungisha siku ya Eid.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…