nchi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, teuzi za sasa ndio chanzo cha matatizo ya nchi?

    Siku hizi kumekuwa na teuzi nyingi ambazo hazionyeshi, kuwa zimetokana na uwezo au weledi wa aliyeteuliwa. Chanzo kikuu kikiwa ni katiba inamruhusu mteuzi kufanya huo uteuzi, na matokeo yake tunaona kwamba mifumo ya utendaji na kauli za baadhi au wengi ya viongozi hao kuwa ni za magomvi na...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa Mfuatilie DC wa Wilaya ya Chunya

    DC huyu haonekani ofisini, hasikiliza kero za wananchi, Kinyume chake amebadili gia angani sasa ni mchimbaji mdogo na anamiliki maduara na makarasha ya kusaga dhahabu kwenye maeneo ya wachimbaji wadogo na kwenye hifadhi ya misitu TFS.
  3. JamiiForums Tanzania Mtu kuondolewa uraia wa nchi yake: siasa zetu ni za maendeleo?

    Dkt Slaa kapokwa hadhi ya ubalozi Askofu Niwemugizi alipokwa hadhi ya uraia Askofu Zachary Kakobe akapokwa hadhi ya uraia wake Generali Ulimwengu akapokwa hadhi ya uraia wa nchi yake Sasa hizi siasa ni za maendeleo au kukomoana? Je, viongozi mjao mna la kujifunza ili kesho ya watanzania iwe...
  4. JamiiForums Tanzania Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika

    Bei za Mafuta mwezi Agosti 2023 kwa baadhi ya nchi za Afrika
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi nchi zinavyo endelea ndivyo ndoa na kuzaa sana zinapoteza nafasi ndani ya jamii

    Kutokana na utafiti uliofanywa na vyombo vya kimataifa kama New York times kuhusu utamaduni wa kufunga ndoa. Unaonesha utamaduni wa kuoa au kuolewa unapoteza nguvu ndani ya jamii zile zinazo endelea na zilizo endelea kwa kasi. Utafiti uonesha vijana wa mataifa yaliyo endelea na yanayo endelea...
  6. JamiiForums Tanzania Wito kwa TEC: Waraka wa Maaskofu usomwe makanisani nchi nzima hadi 2025 ipite

    Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake. Japo ukisema Tanganyika imeuzwa wanakwambia lete ushahidi kwamba nchi imeuzwa, sasa tujiulize, lengo la kutaka kubadili sheria ya kulinda...
  7. JamiiForums Tanzania Kati ya TEC na BAKWATA, nani kasimamia vyema maslahi ya nchi katika sakata la DP WORLD?

    Hello JF. Katika purukushani za kusimamia ulinzi na usalama wa maliasili za nchi yetu, tulisikia hoja nyingi kutoka kila kona ya nchi. Mojawapo ni ni mchapano wa Mabaraza haya mawili, Baraza la Maaskofu, TEC lililoleta hoja kali kinzani kwa serikali. Pili, Baraza Kuu kabisa la Waislamu...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna Nchi iliyowahi kufanikiwa kwa Teuzi za kulenga Chaguzi badala ya Maendeleo

    Kichwa cha Habari Chajieleza , Uongozi wowote wa Umma Duniani kote ni dhamana ya muda mfupi sana , tena ni dhamana ya kusaidia kuboresha maisha ya jamii husika (BOTTOM UP) , ni fursa kwa aliyechaguliwa kuongoza kuonyesha Uwezo wake wa kuisaidia jamii yake . Maana yake ni kwamba viongozi wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Siku Rais wa nchi akianzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mkewe au mumewe kuwa Mfalne/ Malkia, si pia atakuwa sahihi?

    Kama Raia wa nchi anaweza kuanzisha ofisi yoyote na ikawa halali kikatiba, vipi siku Rais akiamua kuanzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mwenza wake au mtu mwingine yoyote yule kushika wadhifa huo, si pia atakuwa sahihi? Hata kama Katiba yetu inatambua Tanzania sio nchi ya kifalme...
  10. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Upinzani waitisha Maandamano Nchi nzima kupinga Matokeo ya Uchaguzi

    Kiongozi cha Chama Kikuu cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change (CCC), kimetangaza kuchuka hatua hiyo kwa maelezo kuwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa Ushindi Rais Emmerson Mnangagwa ni Batili. Maandamano hayo yatafanyika katika Majimbo 10 huku CCC ikiwaomba Wanaharakati kusambaza...
  11. JamiiForums Tanzania Alipotumbuliwa kwa fitina na Zengwe mlifurahia na kumkebehi Ayubu Ndugai. Leo hii mnazunguka majukwaani na kumuona Shujaa aliyetabiri nchi kuuzwa.

  12. L

    JamiiForums Tanzania Visiwa na nchi zinazopakana na bahari zaingiwa na taharuki baada ya Japan kumwaga majitaka yenye sumu ya nyuklia baharini

    Hivi majuzi Japan ilianza kuyaachilia maji taka yanayotoka kwenye kituo cha nyuklia cha Fukushima na kuyamwaga kwenye baharini ya Pasifiki, licha ya kwamba nchi zake nyingi jirani zilionesha wasiwasi mkubwa juu ya hatua hii, na hata kupinga kitendo hicho. Japan inadai kwamba eti maji haya...
  13. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Tuombe Nchi ya Marekani Ituletee Watu 100 kuja kuongoza Nchi yetu

    Maendeleo hayana ubaguzi, kwakuwa ndani ya miaka zaidi ya 60 tumeshindwa kufanya mapinduzi kwenye sekta hata 1 niombe kwa heshima na taadhima tuiombe nchi ya Marekani itupatie vichwa 100 vitusaidie kutengeneza mfumo utakaoleta matokeo haraka na kutengeneza katiba mpya yenye tija. Kwanza hao...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

    Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ina la kuwaambia wananchi juu ya kutokupatikana kwa mtandao kipindi cha Uchaguzi 2020?

    Mmoja wa washiriki kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2020 amerusha swali kwa wawasilishaji Mike Mushi na Ayoub Rioba pamoja na meza ya Mgeni Rasmi Waziri Nape Nnauye kwanini serikali haijatoa ufafanuzi juu ya kupotea kwa internet kipindi cha uchaguzi mwaka 2020 kama serikali hivi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania BRICS yaibua shauku ya nchi nyingi zinazoendelea kutaka kujiunga nayo

    Viongozi wa nchi wanachama wa BRICS ambazo ni kundi la nchi zinazoibukia kiuchumi, wamemaliza mkutano wao kilele wa 15 wa kila mwaka uliofanyika huko Afrika Kusini. Katika mkutano wa safari hii ambao umeanza Agosti 22 na kuendelea hadi Agosti 24, umekuwa ukifuatiliwa zaidi na watu mbalimbali...
  17. JamiiForums Tanzania Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  18. JamiiForums Tanzania Jeuri za Ufaransa ni kama hizi kwenye nchi walizowahi kuzitawala

    Raisi Macron wa Ufaransa amesema balozi wake nchini Niger, Sylvain Itte ataendelea kubaki nchini humo japo muda aliotakiwa kuongoka na watawala wa kijeshi kumalizika.na kwamba hata matamshi yake hayo balozi huyo alikuwa akiyasikiliza akiwa yumo ndani ya Niger. Akaongeza kwamba nchi yake itaunga...
  19. JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yake

    Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi za huyu kijana mzalendo na kupata moyo kwamba nchi bado ina vijana wazalendo. Komredi Lucas mwashambwa bila kuchoka amekuwa akishusha nondo nzito nzito na kuwaacha wapinzani wa Dr Samia Suluhu Hassan wakitapatapa. Hii inaashiria nini...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

    Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa. Afrika jamani shida ni nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…