nchi

  1. B

    Baba wa Joshua aomba serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki za HAMAS ili waachie mwili wa mwanae

    29 December 2023 Kilimanjaro International Airport Tanzania BABA WA JOSHUA AOMBA SERIKALI YA TANZANIA IONGEE NA NCHI RAFIKI ZA KUNDI LA HAMAS BABA MZAZI WA JOSHUA MOLLEL AMWAGA MACHOZI, AREJEA TANZANIA BILA MWILI WA MWANAE ALIYEUWAWA NA HAMAS https://m.youtube.com/watch?v=DTeLiUa7QVs Mzee...
  2. Kijana wa Kisrael aandika barua kugoma kujiunga na jeshi la nchi yake kupigana na Hamas. Hii imekaaje?

  3. D

    Ingekuwa kama nchi zilizoendelea, hili swala la umeme lingetosha kabisa Rais kujiudhulu

    Umeme imekuwa kero sana hapa Tanzania kiasi biashara haziendi kama saloon, mboga kama nyama, samaki nk ambazo zinapaswa kutunzwa kwenye friji. Sijui kwa nini Rais Bado Yuko madarakani tena naskia eti anapewa hata PhD bila aibu kabisa. Na sisi watanzania jamani tuamke maandamano siyo dhambi...
  4. Ni taifa moja tu duniani limekuwa na watu wajinga kiasi cha kukubali kutawaliwa na mtawala kutoka nchi nyingine

    Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala. So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi...
  5. Somo la jinsi ya kutongoza kuingizwa rasmi kwenye mtaala wa elimu nchi jirani

    Habari wanajamvi! Katika pitapita zangu nimekutana na kitabu cha daktari mmoja anaitwa Dkt. Dyaboli. Kitabu kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA. Sasa wakati nafuatilia kutaka kumjua zaidi huyu daktari kuna jamaa zangu wako Kenya huko wakaniambia huyu daktari ni mkenya, na...
  6. Baada ya kama miaka mitano nchi za Afrika(Ikiwemo Tanzania) zitaanza kwenda kununua na kuomba msaada wa chakula Afghanstan.

    Sema tulivyo makauzu hata aibu hatutaona. Afghanstan kwa sehemu kubwa ni jangwa. Lakini bahati nzuri upande wa Kaskazini imepitiwa na mto mkuwa wa Amu Darya ambao inashare na nchi kadhaa. Sasa ili kuzalisha chakula utawala wa Taliban umeamua kujenga mfereji mkubwa wa umwagiliaji kutoka mto huo...
  7. Baada ya January 30, 2024 Jerry Silaa ataendesha operesheni ya kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima?

    Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024. Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata...
  8. Hongera sana Jerry Silaa. Naona mwanzo wa nchi yetu yote kupimwa na kupangwa chini yako

    Kama kuna jambo linalonifanya kila siku niseme inawezekana nchi yetu tulilaaniwa ni namna ambavyo nchi yetu imejengwa vibaya bila mpangilio. Yaani namna watu wanavyojijengea hovyo hovyo tu bila mpangilio na kupangwa. Kila siku tumekuwa tukiandika humu na kusema humu huku titicaca Serikali...
  9. T

    Poland na Ukraine waungana na Nchi za Afrika Kupingana na Waraka wa Papa kuhusu Kubariki Ushoga Kanisani

    Baada ya nchi za Malawi, Cameroon, Nigeria na Zambia kupinga waraka wa Papa Francis unaoelekeza kanisa katholiki kubariki ama kuwapa baraka watu wanaojihusishwa na mapenzi ya jinsia moja ama mashoga, sasa nchi za Ulaya Mashariki kama Ukraine na Poland wameupinga huo waraka. Nchi hizo za Ulaya...
  10. Tuwe na umeme wa gridi ya taifa, lakini pia tusisahau kuwa na vyanzo vya kikanda, kwa sasa shida ikitokea sehemu moja, nchi nzima inaathirika

    Nadhani sasa ni muda muafaka kuwa na gridi za kikanda. Kalemani alikuwq ananichekesha alipokuwq anakaza fuvu kufunga mitambo ya mafuta kwa badhi ya mikoa. Usalama wa umeme ni usalama wa taifa. Hatuwezi kuuweka usalama wa nchi nzima kwenye njia moja bila ya kuwa na njia mbalimbali. Inatokea...
  11. Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi shtuka hakuna kiongozi hapo

    Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi. Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo; ....uongozi duni. ....huduma za jamii kulemaa. ....upungufu wa umeme. ....ufisadi kutamalaki. ....ubinafsishaji wa mashirika ya umma ki ufisadi...
  12. L

    Kuwa na kilimo cha kisasa ni lengo la pamoja la China na nchi za Afrika

    Mkutano Mkuu wa Kazi Vijijini wa China ulifanyika wiki hii mjini Beijing. Katika miaka ya hivi karibuni, imekuwa desturi kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC kuitisha mkutano kama huo baada ya mkutano mkuu wa kazi za kiuchumi kila mwezi Desemba ili kupanga kazi kuhusu kilimo, vijiji na...
  13. Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

    Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa. Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume...
  14. R

    Matapeli na wahalifu kutoka nje ya nchi wameanza kuongezeka Tanzania; wananchi msiwape imani wageni chukueni taadhari

    Ndoa za kitapeli zimekuwa nyingi kwa sasa nchini ambapo wazee kutoka Ulaya na maeneo mengine wamejikita kuwaoa au kuolewa na ndugu zetu. Wengi wanakwepa sheria za nchi za mgeni kuishi au kufanya kazi Nchini.Baadhi wanakwepa kodi ila wengi watakuwa wahalifu wanaosakwa huko kwao wameamua...
  15. Zipi faida na hasara iwapo nchi itaacha kutumia pesa yake na kuamua kutumia dola ya Marekani?

    Argentina wamemchagua Javier Milei kuwa Rais wao mpya. Ni jamaa mwenye msimamo mkali wa kulia. Moja ya malengo yake ya kukabiliana na hali mbaya ya uchumi na mfumuko wa bei ni kuiua pesa ya Argentina(Peso), kuvunja benki kuu na kuanzisha matumizi ya Dola ya Marekani kama pesa rasmi ya nchi...
  16. K

    Kuna watu wanamhujumu Rais Samia au nchi imemshinda?

    Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi. Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
  17. Tumemaliza mechi za pwagu na pwaguzi tunawakaribisha kwenye mechi za mabingwa wa nchi zao hapo kesho

    Leo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi! Bila kusahau ni mechi zinazohusisha mabingwa wa nchi watupu, Medeama bingwa Ghana, Aly ahly bingwa Misri, Yanga bingwa Tanzania...
  18. B

    Lissu ndilo tegemeo tulilo nalo kwenye kuikomboa nchi hii sasa

    Imeandikwa katika misahafu kuwa, Mungu hataliacha taifa lake. "The lord can't forget his people." Kwa hakika katika zama hizi ni kupitia kwa mja wake TAL: 1. Tofauti na wote, TAL anao usomi, uelewa, uungwaji mkono, wafuasi, charisma, uthubutu, nk unaohitajika kulikomboa taifa hili. 2. TAL...
  19. Raia Iran wafanya maandamano ya furaha, maana furaha ni haram kwa hiyo nchi inayooongzwa kidini

    Nchi ya Iran inayoongozwa kwa itikadi za dini ya kiislamu huwa imeharamisha vitu vingi sana ikiwemo kucheza kwa furaha, sasa raia wa Iran wameanzisha aina mpya ya maandamano ili kujitoa kwenye utumwa wa kidini, wanacheza kwa furaha nchi yote na kupachika video kwenye mitandao, japo pia...
  20. Tanzania ni kati ya nchi chache zenye usalama wa uhakika katika Aftica

    Sifa zote ni Kwa CCM. CCM ni chama imara. Tanzania ni Urusi ya Africa. Karibuni k vant kutoka leo mpaka 31 December.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…