naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Kwa milioni 2 kama kianzio naweza kupata bajaji ya mkopo

    Habari? Nina milion2 kama kianzio naona nitafute bajaji ya mkopo, vipi inawezekana na inautaratibu upi? Hii pesa nimekosa wazo zuri la biashara naona itaisha tu. Au kama kuna mtu ana wazo zuri wakuu anisaidie. Natanguliza Shukurani.
  2. monotheist

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata mkopo wa bajaji kwa marejesho nafuu kwa siku

    Kuna taasisi nimewapigia wakanipa utaratibu wao kianzio ni milioni moja na marejesho kwa wiki ni 177,800 kwa miezi 24 haya marejesho ni gharama mno
  3. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Je, naweza badili matumizi ya monitor ya computer na kuitumia kama screen ya kawaida na kuiunganisha na king'amuzi?

    Swali langu ni hilo tu, sina mengi. Awali ya yote natoa shukurani kwa watakaochangia.
  4. Brave_Idiot

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi hii artwork naweza kuiuza?

    Habarini za mda huu, nilikua nahitaji kujaribu kuanza kuuza art works, lakini ndo hivyo sijiamini amini, ebu let's take ndo wewe unaiona hii picha, unaweza inunua? Au haijakaa Mkao! Na vipi hapo ni rahisi mtu kujua kama ni Dar es Salaam au? Pia ni bei gani nzuri kuiuza hii kazi ili itoke ?
  5. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata Toyota Rumion Kwa Tsh milion 6?

    Wakuu wote habar zenu... Nauliza kama naweza kupata gari tajwa Kwa bei hiyo. iwe namba D Kama kuna atakayekwazika natanguliz samahani. Naleta Kwa hatua yenu.
  6. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Sijui nimtulizeje Maana nahofia naweza kuja kufa kwa sonona, Mliofanikiwa katika hili nipeni siri mlifanyaje?

    Niliambiwa, Bro, kummudu huyo yataka moyo. Nikajiwazia tu, shujaa hatelezi anapanda milima mingi mpaka kufika kilele, hawa waniache. Nikamtafuta kweli nikaanza kummiliki taratibu japo hakuwa mwingi kwangu. Jamaa na ndugu walipoanza kuniona nae tu, wakaniijia haraka na maswali yenye...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Kadi za CHADEMA?

    Nataka kujiunga na Chama cha Demokrasia na Makamanda. Kadi zinapatikana wapi?
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Je naweza kuishtaki mahakama?

    Wanasheria je naweza kuishtaki mahakama?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Soko lipi naweza kupata mazao aina ya mizizi.

    Salaam, Wakuu, naomba muongozo wa uzoefu kwenu. Soko lipi nitapata bidhaa kama Mihogi, Viazi(vya aina zote ), Magimbi......etc. Vipimo vikoje kwa kila zao. NB; Nahitaji kwa ajiri ya kuuza rejareja gengeni. Nawasilisha.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza napata original boot za Salomon?

    Habari wakuu, ni wapi Tanzania hii naweza kupata viatu / boots za Salomon original, kuna vya mtumba madukani, ni original kabisa lakini shida vinakuwa vimechakaa. Nataka kiatu kipya.
  11. Fazzah5x

    JamiiForums Tanzania Naweza pata gari za kwenda Morogoro usiku huu kutokea hapa Dar?

    Habari hivi naweza pata usafiri huo kwa usikuu huu? Na shida kidogo kwenda Morogoro
  12. Wa Katutura

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata zao la Arabic Gum (inta)?

    Hili zao linasemekana lina patikana sana katika mikoa ya Tabora haswa Mpanda mpaka Kigoma, ni bei gani kwa Kilo au kwa gunia?
  13. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kisa changu naweza kupata madai yangu NSSF?

    Habari wakuu! Nilikuwa nafanya kazi mkoa wa kusini Songea ajira ya mkataba wa muda baada ya mkataba kuisha nilienda kuulizia taratibu za kufungua madai wakaniambia mimi bado kijana nitapata kazi nitaendelea kuchangia.. Imepita almost miaka miwili nikiwa Sina kazi nikakumbuka Kuna hela nilikuwa...
  14. Mkongwe03

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza nikapata sigara.?

    Habari zenu? Mimi ni mfanyabiashara ajaye nipo mkoa wa Lindi nilikuwa naulizia ni wapi ninaweza kupata sigara ili mimi nije niuze kwa jumla.?
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: CHADEMA ikiondoka kwenye misingi iliyonifanya nijiunge nacho, nitaondoka. CHADEMA siyo mama yangu wala dini yangu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA- Bara, Tundu Lissu amsema iwacha CHADEMA itaacha misingi yake ailiyomfanya ajiunge na chama hicho basi ataondoka katika chama hicho na sio dhambi kufanya kuvyo kwani Chama cha Siasa sio mama yake wa dini yake Akizungumza kupitia Mtandao wa Clubhouse amesema "Mwalimu...
  16. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi bachelor degree?

    Habari wana JF, Mimi ni mwanachuo wa diploma mwaka wa pili nilikuwa naulizia kwa wazoefu kuwa naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi kusomea bachelor degree na kama ni ndio, vigezo vyake na sites za ku'apply ni zipi?
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Je naweza kuweka injini ya IST kwenye alteza?

    Nina rafiki yangumambo yamemkalia kombo,anataka kuigeuza altezza yake kuwa bolt. Lakini kwa injini iliyomo hawezi kupata faida,je anaweza kuweka injini ya IST? Is it compatible??
  18. E

    JamiiForums Tanzania Je naweza je kutengeneza Koni(Ice cream) bila machine kwaajili ya biashara?

    Wadau naomba mnielekeze namna naweza kutengeneza ice cream za koni bila kutumia machine
  19. H

    JamiiForums Tanzania Msaada. TRICHLOROACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto

    TRICHLOACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto
  20. Baba Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua hardware?

    Habarini wote, naomba kujua ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua duka la vifaa vya ujenzi, pia mwenye pia anaeweza nisaidia kupata na fremu itakuwa poa..
Back
Top Bottom