Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani.
Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.