naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni media ipi naweza peleka matangazo na yakaenda viral

    Habari Wana jukwaa, poleni na majukumu ya hapa na pale namuomba mungu awatilie wepes kwa Kila jema mfanyalo katika harakati zenu Kama kilivokichwa cha habari, Mimi ni mjasiriamali chipukizi Nina biashara yangu hivo naomba kupewa maoni na mawazo ni media ipi wanaweza kunitangazia biashara yangu...
  2. JamiiForums Tanzania Tujuzane Naweza Pata soko la ununuaji funza

    Tujuzane soko la ununuji funza lipo vipi
  3. JamiiForums Tanzania Unaweza kuangalia kama hela yako inawekwa NSSF kwa njia ya mtandao?

    Habari wakuu Hivi ni namna gani unaweza kuangalia kama mwajiri wako anaweka hela NSSF kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?. Naomba kujua na ni kwa namna gani
  4. JamiiForums Tanzania Nikitengeneza kozi inayohusiana na nini ? Naweza uza bongo

    Nilikua na kaplatform kangu ka kozi, hivyo nilikua nauliza nifundishe kuhusu nini angalau naweza Pata wateja kwa hili soko la bongo na pia budget yabei ikaaje ? Naombeni maoni yenu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kabisa kurudia tendo kwa mwanamke mmoja; lakini wakiwa tofauti naweza kwenda hadi mara nne. Nina tatizo?!!!

    Habarini wakuu! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nina changamoto hiyo; siwezi kamwe kurudia tendo nikiwa na mwanamke mmoja......yaani nakuwa mtu wa bao moja tu chali hata nifanye au anifanyie nini mwanamke. Yupo aliyenipenda na kutumia usiku mzima kunijaribu kwa kila hali ikiwemo kuloweka...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingine naweza pata mkopo wa hazina bila kupita halmashauri?

    Hii ni mikopo inayotumwa halmashauri, nipo kigoma ni mtumishi mwaka wa nne nafatilia sipati, nikiingia kwenye hazina portal wanaonyesha naweza pata million 20, nimejitahidi kweli kweli kuupata lakini naona mambo yamekua magumu kweli. Vipi Kuna namna nyingine naweza pata huu mkopo Ambao hauna...
  7. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata huduma ya Tractor kati ya maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe

    Wakuu habari za wakati huu? Nahitaji huduma ya tractor au grader kwenye maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe (Tanga) Kama kuna mdau yoyote anaweza kuniconnect na mtu au kampuni yenye tractor au grader naomba anisaidie tafaadhali, itakuwa vizuri kama nipata wasaliano yao ili tuwasiliane moja...
  8. JamiiForums Tanzania Je? Nikifaulu oral interview utumishi naweza kubaki database?

    Habari wanajf, kuna suala ambalo linanitatiza naomba wenye uelewa wanisaidie!! Iko Hivi Mimi nina Diploma ya Civil engineering (Civil technician) nikafanya Oral interview ya ( VOCATIONAL TEACHER II PLUMBING AND PIPE FITTINGS) ambayo ilihitaji mtu mwenye diploma ya civil nikafaulu ila kutokana...
  9. JamiiForums Tanzania Kufungua Bucha la samaki Dar kutoka Ziwa Victoria

    Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni. Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ?? Naomba mnielekeze
  10. G

    JamiiForums Tanzania Dully Sykes alinifanya nianze kujichua nikiwa na umri mdogo bila onyo la kusikiliza mashairi ya kiutu uzima, naweza kumshtaki?

    Ni mwaka 2002 nikiwa na miaka 12 nilikuwa nasikiliza nyimbo za Dully Sykes, Katika moja wa wimbo wake kuna unaoitwa "Nyambizi" kuna sehemu anaimba Nyambizi, nionee huruma mi sio kuchu, nipe japo kiduchu Mi nshachoka kupiga puchu! Kama mnavyojua zamani kaseti unaweza kuirudia hata mwaka mzima...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu gani ina rekodi sauti vizuri ambayo naweza kuitumia ku record content you tube?

    Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30. Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25. Nakumbuka mwaka 2017 nilinunua kisimu cha promotion pale Mlimani City cha VODAFONE. Nilikinunua sh elfu...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata shamba la kununua morogoro kwa installment!?

    Mm ninakipato Cha kawaida nataka nipate shamba ambalo ntalifyeka lakini nitalipa kwa installment
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada hii dawa naweza ipata wapi? Kwa hapa Dar na inauzwa bei gani?

  14. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ushauri jinsi ya kupata laini za uwakala

    Nahitaji laini za wakala Tigo. (TigoPesa) Halotel (halopesa) Vodacom (m pesa) Airtel (Airtel money) Kwa atakayeweza kunisaidia Nipo Dar es salaam
  15. JamiiForums Tanzania Wapi maeneo ya Pwani naweza pata ng’ombe wa maziwa wazuri?

    Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza? Wengi naona ni janda za juu na kaskazini. Nipe location au contacts kwa anaejua please!
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya huu ugonjwa na wapi naweza kupata huduma nzuri ya matibabu

    Habari wana jamii, Ninasumbuliwa na tatizo la miguu kukaza kuanzia unyayoni mpaka kiunoni na hata mgongoni kiasi kwamba nakosa balance, siwezi kusimama au kutembea muda mrefu mpaka nitumie nguvu kubwa mno pia kukimbia siwezi nikikimbia kidogo tu miguu hukaza na kubana. Naombeni ushauri tatizo...
  17. JamiiForums Tanzania Kama ilivyo Alibaba China ni app gani naweza kuitumia kununua vitu Dubai

    Wakuu kama Mada tajwa hapo juu inavojieleza, wakati napitia Facebook Marketplace nimegundua kuna bidhaa zina bei ya chini sana Dubai. Mfano: Hiyo tecno 106, ina 12k China alibaba, ina 25k up to 35k Bongo lakini kilichonivutia zaidi ni ina AUED 1 , sawa na Tsh.700 yaani 0.7k Dubai. Facebook...
  18. JamiiForums Tanzania Naweza kupata chumba Cha 20k Arusha

    Wadau wa Arusha mambo niaj vip nawez kupata Getto la 20k arusha. Kama lipo ni maeneo gani na vipi kuhusu swal la ulinzi
  19. D

    JamiiForums Tanzania Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali. Courses ni masters ya leadership na education leadership. Uingereza nimepata vyuo vinne. Sweden chuo 1 Finland 1 Poland 1 Tatizo ni uwezo wa kujisomesha. Naomba mwenye kufahamu taasisi ninayoweza kuomba full funded scholarship/sponsorship...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanangu amepata kigugumizi cha ghafla, msaada kama naweza kupata tiba

    Mtoto wangu ni mdogo ana miaka miwili na nusu. Ndiyo alikuwa ameanza kuongea ila alikuwa anaongea kwa kutoa neno vizuri kabisa, ila sasa kama wiki hivi naona amekuwa na kigugumizi kwenye kuongea kwake. Sasa nilikuwa naulizia kama kuna msaada anaweza kupata.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…