Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 227
- 393
Nilikua na kaplatform kangu ka kozi, hivyo nilikua nauliza nifundishe kuhusu nini angalau naweza Pata wateja kwa hili soko la bongo na pia budget yabei ikaaje ? Naombeni maoni yenu
Ni app ndio boss, ila bado naona kama itakua ngumuHakuna wa kununua kozi online wanahisi ni utapeli bora ingekua app, ukaifanya kama ya mange. Inshort utachoka bure tu kibongobongo haitoboi hio