nauza

  1. Mtukutu Mkuu

    JamiiForums Tanzania NAUZA GAMING LAPTOP YANGU GTX 1650 HP PAVILION

    Wakuu kwema ninauza gaming laptop yangu ina speci hizi Core i7 gen 9 ram 16 hp pavilion gtx 1650 vram 4gb ssd 256 ssd sata tb 1 core i7 gen 9 battery 1hours windows 11 bei 680k serious buyer dm me au 0627796644 inafaa kwa gaming na graphic
  2. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Nauza Miti Ya Mbao Pines Ina miaka 14!

    Habari wana Jukwaa Nauza miti ya mbao yenye umri wa miaka 14 iko Wilaya ya Mufindi Kijiji cha Mapanda Iringa Tanzania Ukubwa wa Ekari 25 imetosha Kuvunwa ( mbao) inauzwa yote kwa pamoja bei ni Tsh 85,000,000/= Maongezi yapo… KARIBUNI SA Mawasiliano 📞 0750827076 ( WhatsApp Tu )
  3. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nauza Taser mashine ya kujilinda inapiga shoti vibaka wezi na watekaji usikose kwa usalama wako

    Nauza kifaa cha kukusaidia kujilinda yaani self defense 🔥 TASER GUN INAKUSAIDIA KUMPIGA SHOTI KIBAKA SHOT KUBWA KAMA YA UMEME WA GRID YA TAIFA 🔥 Unahitaji kujilinda na vibaka, majambazi, wezi na wabakaji? Taser Gun ni mashine ndogo ya kuchajiwa inapiga shoti ya umeme zaid ya gridi kubwa ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Nissan Dualis (EGY) TZS. 15.5m

    Haijawahi kurudiwa rangi 1990cc Kibamba - Dsm . 0717 650800
  5. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop kwa lengo la kujipatia mtaji

    Habari zenu Natarajia kupata mkopo wa 2.5m so nasubiria , nimesimama kuuza laptop kwa kutegemea huo mkopo, M/Mungu awaongoze wakopeshaji wanipe pesa hiyo kwa mkopo AMEEEN 🙏🏾 Asanteni sana
  6. A

    JamiiForums Tanzania NAUZA SIMTANK LITA 8,000 TSH. 900,000

    NAUZA SIMTANK LITA 8,000 TSH. 900,000 LILINUNULIWA KWA AJILI YA BIASHARA YA CARWASH ILA MRADI HAUKUKAMILIKA, KWA MAONGEZI ZAIDI KARIBU PM
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hatimaye NAUZA kwa Bei ya kutupa nipeni 2.8m Honda ace 150 mpya

    Wakuu nipeni hio hela nisolve changamoto niliyonayo 2.8m ( milioni 2 na laki 8 tu) Pikipiki Imetembea jumla ya km 367 tu number FRN... imetoka jana na kadi yake ipo full Leteni hio pesa Inafaa Kwa bodaboda, matumizi binafsi, kumpa mtu Kwa ajili ya mkataba n.k Ipo mbeya-Mbarali Phone 0789088982
  8. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza shamba bagamoyo bei 4.5M

    Nauza shamba bagamoyo yombo lina ukubwa wa heka 1. Bei ni 4.5m installment inaruhusiwa unaweza kuanzia kulipa Kidogo kidogo. Halina udalali mm ndio mwenyewe. Namba ya simu 0762405010 nicheck
  9. jT0078

    JamiiForums Tanzania Nauza accessories za Macbook/iMac

    Nauza Accessories za Macbook/iMac aina zote kama... Keyboard Charger Screen HDD connector Casing HDD & SSD Programs OSX Tupo ILALA - DSM call; 0767953873 Whatspp; 0639994549
  10. Mributz

    JamiiForums Tanzania Nipo Arusha nauza tv yangu sony bravia 190k

    Nipo Arusha nauza tv yangu sony bravia 190k 0718909429 Inch 32
  11. mzeemkavu

    JamiiForums Tanzania Nauza saa yangu ya Tommy Hilfiger Aiden Multifunction Watch

    Tommy Hilfiger Aiden Multifunction Watch Price 600,000 0758190229
  12. mozilla

    JamiiForums Tanzania Nauza nyumba bei 14M Vikindu

    NAUZA NYUMBA SIFA ZA NYUMBA 1: Ina vyumba viwili vyote master na sitting room 2: Ina umeme 3: Ina maji ya bomba 4: Ina hati ya serikali ya mtaa 5: Tyres vyumba vyote Gharama ya ukaguzi ni bure Location; Vikindu, kilomita moja na nusu kutoka lami, nauli ya bajaji Tsh 5,00 Ukubwa wa kiwanja...
  13. Bacore

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja king’azi Malamba

    Eneo lipo king’azi maeneo ya mbezi malamba, king’azi Dar es salaam, Sifa za eneo husika 1. Maji na umeme vipo mpakani 2. Muuzaji ni mimi mwenyewe naishi hapohapo 3. Ukubwa wa eneo upana ni hatua 14 na urefu ni 24 4. Sehemu ni nzuri sana Nitafute kupitia email yangu Email...
  14. monotheist

    JamiiForums Tanzania Nauza smart tv Alitop 43 inch

    Alitop smart TV frameless 43 inch Haina kipengele Ina risit, box na remote yake Bei tsh 340k Call 0692402211 Dar es salaam
  15. gonamwitu

    JamiiForums Tanzania Ofa!! Ofa!! Nauza iPhone 12, charger yake na earbuds vyote kwa pamoja laki 4 tu (400,000). Mali ipo Dodoma

    Nauza iPhone 12 Plain 128GB. Simu haina mchubuko wala mkwaruzo. Network: 5G Waterproof: Ina kiwango cha IP68 (dust na water resistance). Hailingizi maji, unaweza hata kupiga video call ukiwa ndani ya maji. Display: Super Retina XDR OLED, HDR10 na Dolby Vision. Kioo kina ubora wa hali ya juu...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine za kulanda na kuchana mbao

    Mashine mpya kutoka China Inch 12 million 3.5 na inchi 16 million 4.8. Zina kazi tofauti ikiwemo kulanda, kuchana, kutoboa n.k Piga 0626751473. Mbezi mwisho- barabara ya makabe Dar es salaam
  17. gonamwitu

    JamiiForums Tanzania Nauza iPhone 12 plain 128gb,charger,earpods na cover

    Nauza iPhone 12 plain simu haina shida yoyote ile iko pilu namba 0768073471 simu ipo dodoma.
  18. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Nauza camera za AI kama za Russian guy

    AI glass camera ✅Ina Camera ya 8mp na flash kwa ajili ya kupiga picha na kurecord video ✅Ina AI voice assistant kwa ajili ya image recognition na chatgpt ✅Inatumia app unaweza unganisha na simu ✅Ina earphone unaweza kuplay music kupokea simu ✅Unawez ubadilisha glass aina 3 tofauti ✅unganisha na...
  19. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Nauza hii Gari Nissan Pick-Up engine QD32

    Nissan Pick-Up Engine QD32 Cc 3153 Fuel Diesel ⛽ AC ipo Full Document. Location Dar Es Salaam Bei milion 25 maongezi kidogo. Nipigie simu boss ukague hii Chuma 📱0754693556
  20. Denis Dion

    JamiiForums Tanzania Nauza ALITOP smart 4K nchi 55

    ALITOP SMART 4K NCHI 55 BEI 650,000/= BADO INA KARATASI ZAKE 0794626090 0688942700
Back
Top Bottom