nauza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Eti nauza dawa ya kuacha Pombe! Kha unataka niwe nakunywa kahawa?

    Nimekereka sana na huyu mmasai. Mbaya zaidi ananifuata ofisini kwangu! Niwe nashinda kwenye vijiwe vya kahawa ? Niache ugimbi kweli?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nauza earpods orijino

    Wireless Version : V5. 3Wireless profiles : A3DP/HFP/BSP/AVRCPTransmission Distance: 10MCharging Time:2 hoursStandby: 280 hoursMusic Play: about 5 hours (Earbuds)Output: 5V—1A PRICE/BEI: 7,000 Location: Kinondoni Phone: 0715610101 Free Delivery Kuanzia 100pcs Bei inapoa kidogo na Tunatuma Popote...
  3. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Nauza Bati zilizotumika (USED)

    Wakuu nina Bat ziko Karibu 100 nauza ni gauge 28 zimepigwa msumari mara moja tu hazina Kutu zinaonekana kama mpya kabisa. bei ni elfu nne, elfu tano na elfu kumi na nae na nyingine elfu ishirini. Zipo malamba mwisho Kituo cha Msikitini. Ukihitaji nicheki PM hapo kwa mawasiliano zaidi Mpigie...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu nna biashara nauza

    Habari za jioni wakubwa?Wakubwa nna biashara nauza,biashara hizo ni pamoja na,. (1)Focusrite Scarlett 18i20,hii ni soundcard for Professional recording studio naitakia 1,700,000. (2)Scarlett solo,hii ni kwa home studio naitakia 350,000 (3)Garmin Heart Rate Monitor,hii ni mikanda ya kuvaa...
  5. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu hivi kwa lugha ya kiswahili

    OFFER. OFFER, OFFER, OFFER... JIPATIE VITABU ZAID YA 74 Kwa nini kila siku upo kama ulivyo kwa sababu hutaki kuongeza maarifa na maarifa yamefichwa kwenye vitabu. Kama ulikua unaihitaji kuongeza maarifa jipatie Vitabu vilivyo Tafsiriwa kutoka kwenye ENGLISH vya waandishi mbali mbali kua...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo langu lenye nyumba tatu

    Nimehamia kibaha mji niupendao. Kwangu naona kuna fursa nyingi. Ningependa kupaendeleza zaidi. Nimejenga nyumba nzuri pale kibaha, Nina eneo kubwa ambalo nimejaribu kuliwekea fence. Ila bado Sina umeme na maji.. Kule nilikohama mbezi kwa msuguri nimeacha nyumba tatu: moja ni kumbwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nauza mlango wa aluminium

    Mlango umetumika kwa miezi minne tu Unafaa kwa matumizi ya frame Bei Tsh 200,000/= Location; Survey, Karibu na Ardhi university Mawasiliano; 0681249117
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Nauza friji, mtungi wa gesi na jiko kwa bei nzuri sana

    🧊 Friji zuri - Tsh 120,000 🔥 Mtungi wa gesi (full) + jiko lake - Tsh 120,000 Viko katika hali nzuri kabisa. 📞 Wasiliana nami kwa maelezo zaidi: 0685063688 📍 Mahali: [Tegeta] Karibuni wana.
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Nauza Friji, Mtungi wa gesi mkubwa na Jiko.

    🧊 Friji zuri - Tsh 120,000 🔥 Mtungi wa gesi (full) + jiko lake - Tsh 120,000 Viko katika hali nzuri kabisa. 📞 Wasiliana nami kwa maelezo zaidi: 0685063688 📍 Mahali: [Tegeta] Karibuni sana.
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nauza Wazo la Kampeni Litakalokufanya Upendwe na Jimbo Lako Ndani ya Muda Mfupi!

    Najua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao. Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote! Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Nauza godoro la 3 kwa 6 kwa 55k. Ni jipya halijatumika kabisa

    Nauza godoro la 3 kwa 6 inch 6 kwa 55K ni jipya halijawahi kutumika kabisa
  12. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania Nauza Ariston water heater ya bafuni (15lt)

    Nauza water heater brand ya Ariston ni kubwa na imara. Hii ilifingwa bafuni lkn sijawahi tumia kwa kutofikiwa na huduma ya maji ya dawasco nimeona niitoe niuze. Lete OFA Yako nikusikilize.. Location: Dar popote unafikiwa 📞 0792503090
  13. Baba ibrah

    JamiiForums Tanzania Nauza simu OnePlus 9RT

    OnePlus 9RT 256 STORAGE 8 RAM 350,000/= 0769681330 Dar Es Salaam
  14. F

    JamiiForums Tanzania Nauza mbao,nguzo,mirunda na fito zilizowekwa dawa(CCA PRESSSURE TREATED TIMBER)

    Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza nauza mbao,nguzo,fito na mirunda vyote vimewekwa dawa kwa pressure kwenye mtambo kwa ajili ya kuzuia wadudu waharibifu kama mchwa.Pia huifanya mbao/nguzo/fito/mrunda idumu muda mrefu. Napatikana Mafinga-Iringa. 0755885888. Karibuni sana tufanye...
  15. ommytk

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja makongo mwisho

    Nauza kiwanja makongo mwisho njia kwenda kanisa la katoliki kina ukubwa sqm 2231 bei ni ya kutupa 300m karibu sana eneo tambalale
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv Used - Ime tumika Miezi 2

    Aina: Hisense Inch: 55 4K Tv A6 Series Bei: 850,000 WhatsApp: 0718 380 277
  17. E

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza subwoofer

    Subwoofer aina ya aboader bei 47,000 Tsh
  18. Akili ya kubeti

    JamiiForums Tanzania Nauza simu yangu

    Infinix hot 30 play 6000 battery Used 150,000 Nipo Dar
  19. Big Fat Lady

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza Kiwanja - Chanika

    Nauza kiwanja. Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte. Ukubwa: mita 12 kwa mita 18. Bei: 7.5 m Mawasiliano: +255788745213
  20. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza BMW 5 SERIES (DYS) TZS. 8m

    Gari haina tatizo lolote Haijawahi kurudiwa rangi popote AC, Engine, Gear box vyote safi . Makumbusho - Dsm . 0717 650800
Back
Top Bottom