nauza

  1. Website design

    JamiiForums Tanzania Nauza Vioo vya laptop (2) vizima kabisaa pamoja na keyboard ya dell inspiron 15

    Je una laptop iliyovunjika kioo Nina laptop mbili za Dell inspiron 15 Zote zimeharibika nauza vifaa kwa bei cheee. Vimebaki vioo viwili vya laptop 15.6" (inch 15.6) bei ya kioo nitakufaanyia kwa 90,000 tu pamoja na kukufungia pia nina keyboard nzimaaa Keyboard nauza 40,000...
  2. 0

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Dodoma Nala-Lugala

    Kiwanja kimepimwa..ni kwaajili ya shule (nursery) kina ukubwa wa square meter 2786. Bei ni 6000@square meter 1 (maongezi yapo) kwa yoyote alokua interested anicheki watsap no 0755322896
  3. Mwenda pole hajikwai

    JamiiForums Tanzania Nauza kingamuzi cha dstv

    Kipo DSM Kina HDMI Tsh 50000 0693179844
  4. Wangari Maathai

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa wa Mwanza

    Heri ya mwaka mpya. Ninauza dagaa wa Mwanza, ukitaka kuwa wakala nicheki tufanye biashara kwa bei nzuri sana na wale wanaoagiza gunia chache chek na mimi Natuma mikoa yote Tanzania Dagaa hawana mchanga kabisa, wapyaa. Mawasiliano: 0688 590080 Airtel 0626 740265 Halotel
  5. Zillionaire_tz

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku wa mayai (layers)

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Nauza kuku wa mayai wapo 540 (mia tano arobaini), bado wiki mbili waanze kutaga. Nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3. SABABU: Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi. LOCATION: DODOMA
  6. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza Kiwanja

    Wadau nauza Kiwanja changu, kipo wilaya mpya ya Kigamboni, Kimepakana na viwanja vya Kisota. Kiwanja kinaangalia barabara ya kutoka Ugindoni kuelekea Kisota. Kipo sehemu tambarale hakuna maji yanayotuama. Ukubwa wa Kiwanja ni Sqrms 576. Atakaekuwa anahitaji tuwasiliane kwa namba 0713851751, Bei...
  7. PARESSO 043

    JamiiForums Tanzania Nauza mashuka ya cotoon

    Nauza I ya cotton yapo mawili na foronya mbili bei ni elfu ishirini yu
  8. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Adsense

    Nauza Adsense pamoja na website yake ina $17 nicheki whatsapp +255765505717 bei tunaelewana
  9. titho joel

    JamiiForums Tanzania nauza laptop mpya aina ya dell latitude

    Nauza laptop aina ya dell Inter core i3 RAM GB 4 Internal storage GB 300 Generation ya 3 Charge masaa 4 Bei 350,000 Karibu kwa mawasiliano piga 0715796040 au follow WhatsApp
  10. Jededaya

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Tecno camon 11 pro

    Imetumika miezi miwili tu nauza kwa bei ya TSH 270,000 ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote napatikana Mabibo Mwisho Dar es Saalam wasiliana nami kupitia 0767324191 au 0679318693.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nauza mabati used Mbweni JKT

    Mabati yaliyotumika mwaka mmoja yanauzwa elfu 9 kila bati. Yapo 17 na yanapatikana Mbweni JKT. Yanafaa kwa banda la mifugo, nyumba za site, etc. Nauza pia nguzo 4 za chuma kwa elfu 20 kila nguzo. Unachukua barabara ya vumbi kutoka Boko Magengeni. Karibuni Mawasiliano 0625 536 529 (usitumie...
  12. Heri lee

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi mabichi, maalum kwa ajili ya kuchoma

    Ndugu wana jamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nauza mahindi mabichi mahususi kwa ajili ya kuchoma.. Ninayo heka tatu ni yale makubwa mbegu DK 8031, Napatikana Moshi, nahitaji dalali au mtu anayeweza kuchukua yote kwa jumla, AU at least kuanzia heka moja..Huku wananunua matatu sh 1000...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nauza madini haya (Rubi gemstone na Alexander lite)

    Habari nauza madini yafuatayo. Hii ni rubi gemstone gram 2 ya winza bei 150,000,000/= Hii ni Alexander lite (change color) gram 23 ya winza 600,000,000/= Napatikana mkoa wa Singida, kwa mawasiliano nipigie namba 0687808357 au nitate PM. Karibuni wateja wote mnakaribishwa kuja kuona...
  14. DEALFORREAL

    JamiiForums Tanzania Nauza Samsung NX30 Camera with 18-55mm IOS + 50-200mm IOS + 30mm f/2.0 Pancake

    Nauza Samsung NX30 camera system . camera body ipo katika hali nzuri kabisa original box, CDs and camera strap. Na inauzwa pamoja na lens zake 3 kama unavyoonekana katita picha Samsung 18-55mm f/3.5-5.6 OIS III Samsung 50-200mm F4-5.6 ED OIS III Samsung 30 mm f/2.0 is pancake lens External...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nauza sangara

    Habari ndugu zanguni ZAYAD CREATIVES New Offer! Offer! Offer! Ndugu mpendwa, Tumekuletea suluhisho bora kwa watu wa majumbani, maofisini, mamalishe na babalishe, mahoteli, migahawa na makampuni yote na ofisi zote binafsi na serikali na kila anayehusika kuwa kitengo cha Zayad Butchery wanatoa...
  16. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Nauza funguo aina zote za magari, kwa wale mnaotaka kuning'iniza kwenye suruali au kubeba mkononi

    Najua wengi tuna malengo ya kumiliki magari lakini shida yetu ni kwamba bado channel za pesa hazijakaa vizuri kuokoa muda na wakati hatujui kesho yetu unweza ukazima leo paap hujaendesha hata hilo gari,sasa mkombozi nimekuja Haina haja ya kusubiri sana wakati unaendelea tafuta pesa uje miliki...
  17. Boyla

    JamiiForums Tanzania Nauza Pikipiki aina ya TVS HLX125

    Wadau wa jamii forum nauza pikipiki yangu aina ya TVS star hlx 125.. Napatikana Ukonga Dar es Salaam. Price Tshs.920,000/= Hakuna udalali Mhusika ni mimi mwenyewe Call 0652015525
  18. rasomaka

    JamiiForums Tanzania Nauza Toyota Mark X 2006

    Make: Toyota Mark X 2006 Cc: 2490 Mileage:130,000 Seat: Leather seat 5, both front electronic Airbag; 9 Sound and Radio: touch screen and subwoofer Mirror: side mirror indicator Key: push start Price: 8,200,000 Location: Mbezi Beach Tanki Bovu Tel: 0653 029400
  19. Aidanna

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya nazi kwa ajili ya kupikia

    Wakuu habari, nauza mafuta ya Nazi kwa kupikia, ni mazuri sana hayajachanganywa na chochote. Lita ni Elfu 30000/= Mawasiliano 0655800252 Unaletewa popote ulipo Tanzania
  20. T

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza sony xperial model z4

    simu in nzima kabisaa bein ni tsh 150,000/= maelewano yapo kdogo nipo DSM 0622 237 444
Back
Top Bottom