nauza

  1. INTERLOCKING BRICKS

    JamiiForums Tanzania Tunauza na kufyatua tofali imara za kisasa na zenye gharama nafuu

    Tunauza na kujenga kwa kutumia Tofali za Interlocking zenye ubora wa hali ya juu. Bei zetu . Dar es Salaam – TSh 700/= kwa Tofali Mikoani – TSh 800/= kwa Tofali Tunakuja kufyatulia site kwako, hivyo inapunguza gharama za usafirishaji. Site iwe na MAJI tu Wasiliana nasi:📞 0764 635 014
  2. jT0078

    JamiiForums Tanzania Nauza accessories za macbook

    Nauza accessories za MacBook na kufanya repair Keyboard Chargers Battery Screen Connector za HDD Ssd Ram memory Wireless keyboard & Mouse Softwares mbalimbali Nipo ILALA - DSM 0767953873
  3. Amour_9

    JamiiForums Tanzania Nauza iPhone 8 Plain

    Nauza iphone 8 used, iko kwenye hali nzuri haina tatizo lolote - 64gb memory Bei 350,000 tzs Location-mbagala mission 0656970469
  4. Its Jensen

    JamiiForums Tanzania Forex imenifilisi, nauza monitor yangu 🙏 naombeni msaada wenu

    ...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nauza kabati la biashara la Aluminium kwa bei rahisi

    Inafaa kwa wenye maduka ya vipodozi, dispensary, tigo pesa, m-pesa n.k Bei 170k Contact: 0779037093 WhatsApp: 0654537771
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nauza kitanda na godoro lake kwa 250k tu

    Napatikana Kivule kwa makonde, simu namba 0779 037 093
  7. Mr_positive

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja changu mwenyewe kigamboni kisarawe II LINGATO

    Tajiri wahi kiwanja hiki utanishukuru badae..Nimepata shida tu ukubwa 20 kwa 20 kikubwa kizuri sana bei milion 10 nicheki 0756038510 Kimepimwa ila hakina HATI bado
  8. the ultimatum

    JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Habari za wakati huu. Picha nilizoweka hapo ni mitiki yangu ipo kwenye shamba langu jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Natafuta mteja anaefanya shughuli za mazao ya miti au mfanyabiashara wa mazao hayo. Miti yote ina umri sawa ilipandwa mwaka 2007, ina miaka...
  9. jT0078

    JamiiForums Tanzania Nauza na kubadilisha 'housing' za Laptop!

    Laptop yako imeharibika housing? Lete tukubadilishie kwa haraka na kwa bei nafuu. ✅ Tunazo housing za aina mbalimbali za laptop ✅ Pia tunafanya fix ya housing iliyopo bila kubadilisha 📍 Tunapatikana Ilala, DSM 📞 0767953873
  10. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Ilala DSM center kabisa mil 60

    Nauza kiwanja kivule center kabisa Heka 1 Mil 60. Maongezi kidogo yapo Mark ukifika Kivule Muungano pub eneo linaitwa mnarani ndio kiwanja kilipo ni eneo lililojengwa nyumba za kifahari ukipaona utapapenda. Pako tambarare, eneo limekamata barabara kuu. 0743 257 669
  11. Mtukutu Mkuu

    JamiiForums Tanzania NAUZA GAMING LAPTOP YANGU GTX 1650 HP PAVILION

    Wakuu kwema ninauza gaming laptop yangu ina speci hizi Core i7 gen 9 ram 16 hp pavilion gtx 1650 vram 4gb ssd 256 ssd sata tb 1 core i7 gen 9 battery 1hours windows 11 bei 680k serious buyer dm me au 0627796644 inafaa kwa gaming na graphic
  12. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Nauza Miti Ya Mbao Pines Ina miaka 14!

    Habari wana Jukwaa Nauza miti ya mbao yenye umri wa miaka 14 iko Wilaya ya Mufindi Kijiji cha Mapanda Iringa Tanzania Ukubwa wa Ekari 25 imetosha Kuvunwa ( mbao) inauzwa yote kwa pamoja bei ni Tsh 85,000,000/= Maongezi yapo… KARIBUNI SA Mawasiliano 📞 0750827076 ( WhatsApp Tu )
  13. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nauza Taser mashine ya kujilinda inapiga shoti vibaka wezi na watekaji usikose kwa usalama wako

    Nauza kifaa cha kukusaidia kujilinda yaani self defense 🔥 TASER GUN INAKUSAIDIA KUMPIGA SHOTI KIBAKA SHOT KUBWA KAMA YA UMEME WA GRID YA TAIFA 🔥 Unahitaji kujilinda na vibaka, majambazi, wezi na wabakaji? Taser Gun ni mashine ndogo ya kuchajiwa inapiga shoti ya umeme zaid ya gridi kubwa ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Nissan Dualis (EGY) TZS. 15.5m

    Haijawahi kurudiwa rangi 1990cc Kibamba - Dsm . 0717 650800
  15. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop kwa lengo la kujipatia mtaji

    Habari zenu Natarajia kupata mkopo wa 2.5m so nasubiria , nimesimama kuuza laptop kwa kutegemea huo mkopo, M/Mungu awaongoze wakopeshaji wanipe pesa hiyo kwa mkopo AMEEEN 🙏🏾 Asanteni sana
  16. A

    JamiiForums Tanzania NAUZA SIMTANK LITA 8,000 TSH. 900,000

    NAUZA SIMTANK LITA 8,000 TSH. 900,000 LILINUNULIWA KWA AJILI YA BIASHARA YA CARWASH ILA MRADI HAUKUKAMILIKA, KWA MAONGEZI ZAIDI KARIBU PM
  17. C

    JamiiForums Tanzania Hatimaye NAUZA kwa Bei ya kutupa nipeni 2.8m Honda ace 150 mpya

    Wakuu nipeni hio hela nisolve changamoto niliyonayo 2.8m ( milioni 2 na laki 8 tu) Pikipiki Imetembea jumla ya km 367 tu number FRN... imetoka jana na kadi yake ipo full Leteni hio pesa Inafaa Kwa bodaboda, matumizi binafsi, kumpa mtu Kwa ajili ya mkataba n.k Ipo mbeya-Mbarali Phone 0789088982
  18. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza shamba bagamoyo bei 4.5M

    Nauza shamba bagamoyo yombo lina ukubwa wa heka 1. Bei ni 4.5m installment inaruhusiwa unaweza kuanzia kulipa Kidogo kidogo. Halina udalali mm ndio mwenyewe. Namba ya simu 0762405010 nicheck
  19. jT0078

    JamiiForums Tanzania Nauza accessories za Macbook/iMac

    Nauza Accessories za Macbook/iMac aina zote kama... Keyboard Charger Screen HDD connector Casing HDD & SSD Programs OSX Tupo ILALA - DSM call; 0767953873 Whatspp; 0639994549
  20. Mributz

    JamiiForums Tanzania Nipo Arusha nauza tv yangu sony bravia 190k

    Nipo Arusha nauza tv yangu sony bravia 190k 0718909429 Inch 32
Back
Top Bottom