nauli

Nauli is one of the kriyas or shatkarmas, preliminary purifications, used in yoga. The exercise is claimed to serve the cleaning of the abdominal region (digestive organs, small intestine) and is based on a massage of the internal belly organs by a circular movement of the abdominal muscles. It is performed standing with the feet apart and the knees bent.The 15th century Hatha Yoga Pradipika claims that Nauli (magically) removes all diseases.Nauli is an exercise of classical hatha yoga; it is not often taught in yoga as exercise. There are four steps, which are learned one after another:
the abdominal lock, uddiyana bandha: the lungs are emptied, and the abdomen is pulled inwards and upwards under the lower edge of the ribcage
madhyana nauli: only the central muscles of the abdomen are contracted
vama nauli: only the left muscles of the abdomen are contracted
daksina nauli: only the right muscles of the abdomen are contracted.

View More On Wikipedia.org
  1. Morogoro - LATRA: Kulikoni nauli ya Dumila Kilosa kubakia juu wakati barabara ni lami?

    Hivi karibuni imeelezwa kuwa barabara ya Dumila Kilosa imetiwa lami katika kipande cha kilomita 20+ zilizokuwa zimebaki kutoka Rudewa hadi mjini Kilosa, kabla ya kukamiilika kwa barabara hiyo nauli ya Dumila Kilosa Km 65 ilikuwa ni Sh 5000, na sasa bado nauli ni hiyohiyo pamoja na njia kuwa lami...
  2. Nimetapeliwa nauli na mrembo niliyekutana naye mtandaoni

    Mnavyojua tena, maisha ya harakati huwa hayana mwisho. Wiki tatu zilizopita nilikuwa nachat na mrembo mmoja matata, niliyekutana naye katika mtandao mmoja wa kuonyesha sura. Nilitokea kumpenda sana huyo binti, na tukafahamiana vizuri tu. Yeye yuko kwenye mambo ya mitindo. Tatizo yeye anaishi...
  3. Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

    Kama umetuma nauli Na mwanamke hajaja ghetto basi wewe ndio mwenye makosa Na sio mwanamke ambae hajaja ghetto. IPO namna ya kutuma nauli ambayo uki I apply mwanamke lazima aje ghetto. ( HAPA NAMZUNGUMZIA MWANAMKE AMBAE NDIO ANAKUJA GHETTO KWAKO KWA MARA YA KWANZA. ) Kabla sija elezea mbinu...
  4. Kupanda kwa nauli za mabasi yaendayo mikowani: Mamlaka zinazohusika zimeridhia?

    Naweza kuwa nimepitwa na habari kutoka Mamlaka zinazodhibiti gharama za usafirishaji. Hivyo, naomba kufahamu endapo Kuna tangazo la Mamlaka yeyote kutangaza ongezeko la nauli za mabasi nchi Tanzania. Hali imekuwa mbaya, Kuna makampuni ndani ya wezi huu wamepandisha nauli Mara mbili. Nawasilisha
  5. Tofauti ya Nauli Air Tanzania Dar to Kenya

    Mwenye experience ya Kusafiri na Air Tanzania kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi Kenya, Naona utofauti wa Nauli kati ya TWIGA BASIC na TWIGA BUSINESS ni MKUBWA SANA. Naomba Kujua kuna nini katika TWIGA BUSINESS ambacho hakipatikani katika TWIGA BASIC?
  6. Dear Nyerere hatujalipwa mafao yetu na nauli zetu toka mwaka jana mwezi wa kumi na moja

    Dear Nyerere tunakukumbuka Baba yetu, ulale mahala pema peponi. Baba PSSSF chini ya Serikali iliyopo madarakani haijatulipa MAFAO yetu sisi na ma Askari Polisi tulio staafu mwezi wa 11 Mwaka jana hadi leo hii tarehe 14/10/2021 zikiwemo na Nauli ambazo zipo kisheria kwamba tupewe turudi...
  7. Viongozi wafuatao kauli zao zimegomewa na watendaji.

    1. Waziri mkuu..alitaka UDART waachane na ticket za vishina...mpaka Leo vishina vinaendelea kama Kawa. 2. Mkuu wa mkoa wa Dsm- Nahisi huyu sijui wanamchukuliaje maana anamatamko mengi sana mpaka mengine nimeyasahau..moja wapo kubwa ni la Wamachinga...hapa kauli zake (yake) huwa hazisikilizwi...
  8. M

    Nauli za daladala na uelewa wa wananchi katika jiji la Dar es Salaam

    Shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa wote tulio na afya njema na poleni kwa wote wenye changamoto za kiafya kwa umoja wetu tunawaombea ili muwe na afya njema mrejee katika majukumu yenu ya kimaisha. Wakuu kuna hili suala la wafanyakazi wa daladala za jiji la Dar es Salaam kuchukua nauli kwa abiria...
  9. Makato ya kutuma Shilingi milioni moja ni nauli ya kutoka Morogoro Mjini mpaka Mwanza

    Hebu tuwe serious na maisha nyie Wana ccm hivi mnaona sahihi haya MAKATO ya MIAMALA? Imagine nikitaka kufanya transaction ya milioni moja ni 40,000/= hii ni nauli ya Msamvu mpaka Nyegezi stand au stand ya Nato.
  10. M

    Huenda Rais Samia anawaamini wasaidizi wake walioshiba wanapowasemea wenye njaa

    Nachukua fulsa hii kumpongeza mama kwa kazi kubwa anazo zifanya kwa taifa hili tena ukizingatia amepokea kijiti kama mpira wa krosi ya kubabatizwa, lakini anajaribu kuutuliza mpira utulie hili aweze kuucheza. Nikirudi katika mada Hili lilionekana zaidi ile siku alipokuwa akihojiwa na Idhaa ya...
  11. Nauli na mafao ya askari wastaafu kucheleweshwa ni mateso

    Si kila askari alijiandaa kuwa na kitega uchumi akiwa kazini lahasha, lakini sasa kwanini anapostaafu asipewe nauli ya kumrudisha kwao kwa wakati ili aende apambane na mashamba? Swala hili viongozi na Waziri wa mambo ya ndani alitolea ufafanuzi lakini hamna utekelezaji sijui ni kumbembeleza...
  12. M

    Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

    Wadau nina demu wangu tuna kama miez 6 sasa alisafiri kwenda mkoa kikazi! Siku moja kabla ya kuja mjini alinipa taarifa kuwa anakuja na kuniomba nimfate stend nikampokee. Ila alipokuwa njiani tuliwasiliana kama mara 2 Tatizo ni kwamba muda aliokaribia kufika simu yake kila ukimpigia inatumika...
  13. Jinsi mwanamke anayejiuza alivyogeuka kuwa wife material

    TAWILEEE HUMU NDANI!!...Habari za muda huu wana JF, mim s mgeni Jf bt ni kijana mkongwe , na sijawahi kupost chochote zaid ya kukoment ktk majukwaa mbalimbali JF, hususan jukwaa la siasa, great thinkers, jamii intelligence na MMU. Sasa ktk pitapita zangu jukwaa hil kwa kipind kirefu bila kupost...
  14. Wale wote tuliwahi kutuma nauli na Mwanamke hakuja tukutane hapa kupunguza machungu

    Mie niko dar ila nilienda kurefresh akili mkoa wa Arusha kama week 1 nikakutana na mdada mrembo sana. Kama kawaida yang kidume nikajisemea lazma uyuu mtoto nimsajili kwenye team yang tukabadirishana number vzr tuu. Baada ya mapumzko yang ya week moja kuisha nikarud zangu Dar Nikawa nachati na...
  15. Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

    Kwa Haya mambo ndugu Watanzania tunasemaje? MAMA BADO ANAUPIGA MWINGI? NAULI MPYA ZILIZOPANGWA NA SUMATRA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI KUTOKEA DAR: BEI ZOTE NI KWA SHILINGI YA TANZANIA.; DAR - ARUSHA; å Basi la kawaida 22,700/-. å Semi luxury bus 32,800/-. å Luxury bus 36,000/- DAR -...
  16. Naomba kujuzwa nauli ya basi kutoaka Dar es Salaam - Arusha

    Kama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli ya kwenda Arusha. Mimi natokea Dar es salaam kwenda Arusha. Nahitaji kujua bei zote za luxury na normal.
  17. K

    Wamiliki wa mabasi wapandisha nauli kwa wanafunzi, SUMATRA na Polisi wabariki kadhia hii

    SUMATRA na Polisi mnaposhindwa kudhibiti kadhia ya ongezeko holela la nauli kipindi hiki Cha kurejea mashuleni kwa wanafunzi tunashindwa kuelewa mnapewa nn na wamiliki wa mabus. Wanafunzi wasio na fedha wamekwama stendi mikoani kwa kushindwa kupata huduma, mabus yanakata tiketi kwa bei...
  18. L

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni haijalipa nauli za likizo Desemba 2020

    Halmashauri ya tatu kwa ukusanyaji mapato Tanzania. Halmashauri inayomiliki timu ya mpira ligi kuu Tanzania. Sasa ni mwezi wa sita watumishi wengine wanaanza likizo wakati huo huo kuna watumishi walioenda likizo mwaka Jana bado hawajaipwa nauli zao. Nauli ya likizo sio hisani ni lazima kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…