nauli

Nauli is one of the kriyas or shatkarmas, preliminary purifications, used in yoga. The exercise is claimed to serve the cleaning of the abdominal region (digestive organs, small intestine) and is based on a massage of the internal belly organs by a circular movement of the abdominal muscles. It is performed standing with the feet apart and the knees bent.The 15th century Hatha Yoga Pradipika claims that Nauli (magically) removes all diseases.Nauli is an exercise of classical hatha yoga; it is not often taught in yoga as exercise. There are four steps, which are learned one after another:
the abdominal lock, uddiyana bandha: the lungs are emptied, and the abdomen is pulled inwards and upwards under the lower edge of the ribcage
madhyana nauli: only the central muscles of the abdomen are contracted
vama nauli: only the left muscles of the abdomen are contracted
daksina nauli: only the right muscles of the abdomen are contracted.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi wa Umma hayaendani na gharama halisi za nauli kwenye soko la sasa

    Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa. Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni muongozo wa LATRA na wao hawawezi kubadilisha huo waraka. Niombe LATRA waangalie hali ya maisha na...
  2. Mr Beach Boy

    Nauli ya didoma - Dar es salaam

    Kwa usafiri wa gari ni bei Gani wakuu kutoka dodoma mpaka dar es salaam?
  3. A

    KERO Kampuni ya Itule Co. Limited inayomiliki mabasi ya Geita express inatoza nauli kubwa kwa abiria wanaokata tiketi online

    Habari za majukumu. Kumekuwa na utaratibu wa abiria wanaokata ticketi online katika kampuni ya GEITA EXPRESS kutozwa gharama za ziada mbali na nauli ilivyoandikwa kwenye mfumo wa ukataji tiketi. Kwanini hakuna usawa wa gharama za kupata tiketi kwa abiria wanaokata ticketi online na wale...
  4. Mr Beach Boy

    Ishowspeed ana miaka 20 anazunguka dunia nzima wewe una 35 hata nauli ya chalinze huna

    Hii ni aibu dogo ana 20 anazunguka duniani na Africa wewe una 36 hata nauli ya morogoro huna
  5. Roving Journalist

    LATRA: Serikali imeridhia ongezeko la nauli za Mwendokasi, kufikia Tsh. 1,000

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema kwa sasa nauli ya mpito kwa mabasi ya mwendokasi kwa baranara ya BRT 1 Kimara, Morocco pamoja na ile ya BRT 2 inayohusisha Mbagala hadi Kivukoni itakuwa ni shilingi elfu moja baada ya mapendekezo yaliyoletwa na DART. Akizungumza baada ya...
  6. JAYJAY

    KERO Responded LATRA: Nauli Mwendokasi (DART) kwanini imepandishwa bila taarifa?

    Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000. Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa. Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani...
  7. R

    KERO LATRA: Nauli Tanga to Dar ni elfu 50 badala ya 22

    Latra please ingilia kati. Wanapanduaha nauli eti sababu ya D9 Nenda Magufuli stend wasaidie wànanchi wanaibiwa.
  8. P

    Hivi mwanaume kabisa upo serious unasema una mpenzi wakati hata nauli ya kukufuata ulipo hana mpaka umtumie

    Hivi mwanaume kabisa upo serious unasema una dem, ata nauli ya kukufuata ulipo hana mpaka umtumie , kuna jambo hapo kweli au ubwege? Mwanamke ata vitu vya msingi, basic needs hawezi kujigharamia ndio unaamua kumnunua 😂 Mama zetu ndio walikuwa wanawake hizi nyingine ashakum si matusi, MAKAHABA Tu.
  9. T

    NITUMIE NAULI NIJE

    Yaani mtu unafanya kazi katika mazingira magumu, alafu unamtumia mtu nauli aje, baada ya kutuma tuu hajaja na simu hapokei. Kwa mara ya kwanza nauli yangu imeliwa nifanyaje?
  10. Loading failed

    Mwanamke ahukumiwa kwa kula nauli ya mwanaume, Nigeria

    Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos nchini Nigeria, imemhukumu Mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 sawa na zaidi ya Shilingi laki 730,000 za Kitanzania baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kwa udanganyifu. Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama, Jennifer...
  11. Jackpiano

    KERO Nimebolt Bajaj kutoka Aiport Dar to Lugalo nauli imekuja tofauti

    Wakuu hiyo situation mnaichukuliaje maana kuhusu pesa inaweza isiwe shida kwanini iwe tofauti kati ya bei anayoona abiria na dereva au wanajiongezea tu imenipa mkanganyiko sana mimi kwenye app ya bolt naona 11500 yeye kwake anasema imekuja 15500 hivi changamoto hiyo mnaichukuliaje hapa nipo...
  12. kadiri kasimba

    Ahukumiwa miaka 7 jela Kwa kula nauli ya mwanaume!

    Mwanamke mmoja wa Nigeria amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume 30,000 ambayo alitumiwa na mwanaume Emmanuel kisha hakwenda kwa mwanamume huyo. Mwanamke huyo alishtakiwa na mwanaume ambae alituma nauli hiyo kwa kusema...
  13. jamaikatz

    Dar ukijichanganya utajikuta unaenda kazini kutafuta hela ya nauli ya kwenda kazini tena

    Dar ukijichanganya utajikuta unaenda kazini kutafuta hela ya nauli ya kwenda kazini tena Mungu atusaidie sisi wapambanaji
  14. Huihui2

    Je Chung Ju Yung, mwanzilishi wa Hyundai aliyeuza ng'ombe mmoja wa baba yake ili kupata nauli ya kuhama Korea Kaskazini

    Chung Ju Yung: Mwanzilishi wa Hyundai na Mfano wa Mafanikio Je Chung Ju Yung (1915–2001) alikuwa mfanyabiashara wa Korea Kusini ambaye alibadilisha historia ya uchumi wa taifa hilo kupitia uanzishaji wa Hyundai Group. Anaenziwa kama moja ya nguzo muhimu za “Miracle on the Han River”—kuinuka kwa...
  15. N

    Je, ni halali bei ya nauli ya SGR kupanda kila mara?

    Nauli kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro yapanda kimya kimya kutoka Sh 13,000 hadi Sh 13,500 – licha ya kutumia umeme badala ya mafuta Soma Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026 Katika hali ya kimya isiyoambatana na maelezo kwa wananchi, Shirika la...
  16. Bin Shaib

    Je ni halali kwa Kondakta kukukata nauli yako?

    Wakuu habari ya uzima wenu,,,, namshukuru MUNGU kwa uhai na neema ya upendeleo kwetu,,atukuzwe MUNGU. Basi bila kuchelewa Moja kwa moja kwa mada ,,,, tumekuwa na ubishi takiribani inakaribia miezi 6 jambo hili halijapata suruhu kati yangu na yule tuliyekuwa tumeanzisha mada hii, tumekuwa...
  17. Mtuache

    Nauli kutoka Tanzania - Ufaransa 30,000/= Je upo tayari?

    🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake. Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum...
  18. Waufukweni

    Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  19. M Hacker

    KERO Abiria hawathaminiwi hata kama analipa nauli mwendokasi Gerezani-Mbezi mwisho

    Jumatatu mida ya saa moja na dakika 15 nipo gerezani nasubiria gari ya Mbezi picha linaanza watu niliowakuta ni wengi na gari hamna toka saa 19:15 hadi saa 20:40. Gari zinazopita zinaenda Kimara au Muhimbili na Morocco ila Mbezi ndo kama umesahaulika saa 20:40 gari za Mbezi zinafika Gerezani...
  20. DELETED ACCOUNT

    Simba imepewa ndege au imelipiwa nauli?

    Kuna huu upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusiana na uamuzi wa Serikali ya Rais Samia kuipa tafu klabu ya Simba katika mechi yake ya pili dhidi ya Stellenbosch huko Durban, South Africa. Yamezuka maneno kutoka pande fulani zikisema Simba imepewa ndege halafu badala ya kubeba mashabiki wake...
Back
Top Bottom