nauli

Nauli is one of the kriyas or shatkarmas, preliminary purifications, used in yoga. The exercise is claimed to serve the cleaning of the abdominal region (digestive organs, small intestine) and is based on a massage of the internal belly organs by a circular movement of the abdominal muscles. It is performed standing with the feet apart and the knees bent.The 15th century Hatha Yoga Pradipika claims that Nauli (magically) removes all diseases.Nauli is an exercise of classical hatha yoga; it is not often taught in yoga as exercise. There are four steps, which are learned one after another:
the abdominal lock, uddiyana bandha: the lungs are emptied, and the abdomen is pulled inwards and upwards under the lower edge of the ribcage
madhyana nauli: only the central muscles of the abdomen are contracted
vama nauli: only the left muscles of the abdomen are contracted
daksina nauli: only the right muscles of the abdomen are contracted.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko ya Kuachwa na Basi la Katarama Luxury T 431 EHW Licha ya Kuwahi Kituoni – Naomba Kurejeshewa Nauli

    Nilikata tiketi online tarehe 08 Mei 2026 kwa ajili ya safari ya tarehe 09 Mei 2026 kutoka Dar es Salaam kwenda Kahama. Kituo nilichopangiwa kupandia ni Mlandizi. Nilifika kituoni mapema saa 14:15 nikisubiri basi, lakini basi lilichelewa kufika na lilifika baada ya saa 1:30. Cha kusikitisha...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna daladala ya Kinyerezi inatoza nauli tofauti na iliyopangwa na LATRA

    Hili gari linatoza nauli tofauti na kilichoandikwa hapo, abiria ukilalamika wanasema mafuta yako juu, kwani sisi wananchi sauti zetu tuzipaze wapi? Kinyerezi hadi Mlimani City abiria unakatwa shilingi 1,000 wakati ticket inasoma 900, hili gari konda na dereva wake wanajiona LATRA.
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Kisa mafuta Waendesha baiskeli za abiria maarufu kama "Daladala" wapandisha nauli kutoka Sh500 hadi Sh1,000

    Waendesha baiskeli maarufu kwa jina la daladala katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Simiyu wameongeza nauli kutoka Sh500 hadi Sh1,000 kwa safari za ndani, wakidai hatua hiyo imetokana na kupanda kwa bei ya mafuta pamoja na gharama nyingine za maisha. Hatua hiyo imeanza kuonekana katika baadhi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daraja hili Kigamboni eneo la Kona ya Chuo cha Mwasonga haliishi, tunateseka na nauli

    Hii ni Kigamboni, barabara inaunganisha eneo la Kona ya Chuo na Mwasonga, hilo daraja haliishi maji, yakijaa hapo Watoto hawaendi shule wiki ya tatu sasa. Yaani ukitaka kwenda Cheka boda anakushusha upande na mwingine anakupokea upande wa pili yaani kona ya Chuo cha City College, tunalipa nauli...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kisemvule (Kitunda) ni mbovu kupita kiasi

    Kuna hii barabara ya kutoka Kisemvule stendi kuja Mpera mashariki ni mbovu mpaka inapelekea nauli kuongezeka. Pindi mvua zikinyesha barabara inapitika kwa tabu.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunalipa nauli mara mbili kutoka Tandika kwenda Pugu, hii sis awa

    Nauli ya kutoka Tandika kwenda Pugu imekuwa ni kubwa sana, ukipanda bus Tandika linaishia Gongolamboto then tunalipa Shilingi 900 kisha ukifika Gongolamboto wanatushusha wanaanza kupakia tena kwa kutumia nauli ya shilingi 700, so jumla tunatumia shilingi 1,600 kutoka Tandika kwenda Pugu
  7. MURUSI

    JamiiForums Tanzania LATRA Arusha ni wameshindwa kusimamia Daladala kuhusu kujipandishia nauli kiholela?

    Hawa LATRA Arusha ni kama wana share kwenye vyombo vya usifiri au kuna bahasha wanapitiziwi ili wakae kimya. Nauli mpya zimeanza kutumika mei mosi, ila cha ajabu Arusha ndio sehemu pekee Dalaladala wana kiwamgo chao cha nauli nje ya nauli zilizo tolewa na LATRA na mbaya zaidi LATRA wapo...
  8. Black cap

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya nauli Pangani; Baadhi ya magari yanayotoza nauli Tsh. 5000 badala ya Tsh 4000

    Kulingana na viwango vipya vya nauli vilivyotangazwa na LATRA, nauli ya kutoka Pangani kwenda Tanga iliipaswa kuwa 3,377/= au 4000/= kwa barabara ya vumbi. Sababu umbali wa kutoka Pangani kwenda Tanga ni 50.7Km na barabara ni nusu lami, nusu vumbi. Lakini kumekuwa na magari yanayotoza nauli...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Halmashauri ya Itilima (Walimu) hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025

    Watumishi wa Halmashauri ya Itilima (Walimu) hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025 Mimi ni Mtumishi wa Umma kutoka Halmashauri ya Itilima, kero yangu ni kwamba hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025 mpaka leo hii Mei 2026, kitu ambacho kinashangaza kwasababu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Abiria na kondakta wa daladala warushiana ngumi na kushikama mashati kisa nauli mpya ya Sh 700 katika safari ya Mbezi Makumbusho

    Abiria na kondakta wa daladala wameingia kwenye mzozo wa kurushiana ngumi na kushikama mashati kutokana na kutoelewana kuhusu nauli mpya ya Sh 700 katika safari ya Mbezi Makumbusho kupitia barabara ya Morogoro. Tukio hilo limetokea leo majira ya saa 2:40 asubuhi baada ya abiria mmoja kudai kuwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Upandishwaji nauli kiholela jijini Arusha

    Habarini wanaJF, Mimi ni mfanyakazi katika jiji hili la Arusha,ninaishi maeneo ya sakina silent inn huku kazi nafanyia Sanawari. Hapo kabla hata ya mamlaka zinazohusika (LATRA)kupandisha nauli,watoa huduma hii ya usafirishaji yaani daladala ndani ya mkoa huu walikua tayari wamekwisha pandisha...
  12. idiomer

    JamiiForums Tanzania Maisha yanazidi kuwa machungu kwa hizi nauli mpya

    Baadhi ya taasisi watumiaji wa daladala kupata shida mfano walimu, madaktari, na wanafunzi kuchelewa kwenye vituo vyao. Leo asubuhi wasafirishaji wa wanafunzi kutoka mabibo hostel Wagoma
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza nauli mpya za daladala pamoja na mabasi

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza viwango vipya vya nauli kwa mabasi ya masafa marefu, mabasi ya mijini (daladala), teksi mtandao pamoja na pikipiki mtandao. Tangazo hilo limetolewa jana Ijumaa Aprili 17, 2026 kupitia Gazeti la Serikali ambapo zitaanza kutumika siku 14...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fuel prices zimeshuka lakini nauli bado juu? Matatu wamekataa kushusha ‘Hii si Charity!

    Wadau, hii mambo imeanza kuchemka vibaya sana. Baada ya Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) kushusha bei ya mafuta, kila mtu alidhani nauli za matatu zingepungua kidogo. Lakini wapi. Matatu operators chini ya Matatu Owners Association (MOA) wameamua kushikilia ile 25% hike kama...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Daladala Mwanza wasitisha huduma wakisubiri kauli ya Serikali kupandisha nauli

    Zaidi ya Madereva 400 wa Daladala katika Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela, wamesitisha huduma kwa muda wakisubiri kauli ya serikali kuhusu upandishwaji wa nauli baada ya kupanda kwa bei ya mafuta. Soma pia LATRA: Kupanda kwa bei ya Mafuta sasa, hakuathiri Nauli Chanzo: ITV
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chama cha Wamiliki wa Matatu chaongeza nauli kutokana na gharama za uendeshaji kupanda

    Chama cha Wamiliki wa Matatu (MOA) kimetangaza rasmi ongezeko la nauli nchi nzima, kikieleza kuwa gharama za uendeshaji zimepanda kwa kiasi kikubwa ambacho hakiwezi kuhimiliwa na wasafirishaji pekee. Rais wa chama hicho, Albert Karakacha, amebainisha kuwa dizeli ndiyo nishati kuu inayotumiwa na...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Haran Sanga: Nauli ya Kivuko ya Tsh. 200 ni kubwa sana kwa mwananchi

    Haran Sanga, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni akihojiwa kupitia Clouds TV Aprili 13, 2026 amesema; "Changamoto kubwa Kigamboni ni tozo pale darajani kama hauna Tsh. mia Mbili huwezi kufika Kigamboni. Aidha upande boti au Tsh. 1,500 upite na gari darajani. Maisha ya wananchi wa Kigamboni ni kama...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wahariri lalaani kuvunjwa kwa ofisi za gazeti la Pambazuko

    Pia soma: Ofisi za gazeti la Pambazuko zavunjwa, waibiwa Kompyuta, Kamera, Nyaraka
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania TASAC yaanza tathmini ya athari za bei ya mafuta kwa nauli za usafiri wa majini

    Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetangaza kuanza kwa tathmini ya athari za ongezeko la bei ya mafuta katika sekta ya usafiri wa majini, hatua inayolenga kubaini kama kuna haja ya kurekebisha nauli za abiria. Tathmini hii imechochewa na mabadiliko ya bei elekezi za mafuta yaliyoanza...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli zinapanda MBEYA na SONGWE kiholela

    Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000. Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000. Pia umbali Toka mbeya-tunduma ni km. 103 nauli ilikuwa sh.5000 Sasa imeongezeka Hadi sh. 7000. Yaaani tunduma-mbeya...
Back
Top Bottom