natamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kuolewa alisema hivi "nilikuwa natamani mwanaume anibake"

    Wanawake bwana wao huwa wanaambiana vistory vya kweli wao kwa wao. Hata mwanaume ukimkuna vizuri lazima akawasimulie wanawake wenzake. Hawa wenzetu hawawezi kutunza siri hasa kama kuna kitu kimempendeza wanapenda kushare na wenzao. Ni single mama mmoja alikuwa na watoto wawili baada ya kukaa...
  2. JamiiForums Tanzania Mke wa tu nikumuona nakula Kona na najuta na natamani sinije kukutana naye popote pale

    Huyu mwanamke anatia aibu sana. Awali tumwkubaliana na tulikulana Sana. Ametoa Siri nyingi za mumewe. Hadi naona aibu. Namkwepa sana. Nnikumuona nakula Kona na najuta na natamani sinije kukutana naye popote pale.. Wanawake ambao Kwa bahat mby waume zao wanaume sukar nk Ile kazi ya ndani...
  3. JamiiForums Tanzania Mimi kama Shabiki wa Arsenal natamani Man City ashinde Kesi yake

    Muombee adui yako aishi maisha Mengi ili unapofanikiwa ajionee mwenyewe. Hatutaki visingizio mwisho mwa msimu, Kuna Gap la points 5, na mechi mkononi ambayo najua ni +3, maana msimu huu tunapita kila mtaa kama mwenge.. Tulimpa nafasi ya kupunguza juzi, kashindwa, Sasa si tufanyeje???? Man U...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natamani vijana wa CHADEMA wajifunze kwa Zitto

    Nikiangalia fact anazoongea Zitto Kabwe natamani vijana wa CHADEMA wangejifunza kwa Zitto siasa ingeimarika sana nimemsikia leo akisema, "Wanasiasa tusijenge mazingira ambayo yataturejesha kule ambako kulipelekea mikutano kuzuiwa, tufanye siasa ambazo zitaweza kupeleka nchi yetu mbele." Zitto...
  5. JamiiForums Tanzania Natamani nikupende asilimia mia

    Yes asilimia mia sijakosea…lakini unamakando kando mengi(nayajua )na yananiumiza. Hapi nu yia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kung'atwa na kunguni

    Nasema ukweli kabisa. Natamani kung'atwa na kunguni i feel the experience. Siyo Kunguni tu pia mbu, nzi, mende, kiroboto na chawa. Na siyo kung'atwa tu pia natamani kuwaona na macho yangu naked eyes. This has been my life time wish for so long.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kufa

    Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli I don't wish to see 2023 hope this one will...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Taifa, natamani kuona uongozi mpya wenye ushawishi

    Amani iwe nanyi, Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema, amani, upendo, umoja na mshikamano kwa taifa letu. Ni mengi makuu Mungu ametenda maishani mwetu kustahili shukrani kuu. Pia, nakipongeza CCM kwa kudumisha utamaduni wa kuandaa chaguzi za kidemokrasia...
  9. JamiiForums Tanzania Natamani kiongozi wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani ajengewe sanamu

    Naandika haya nikijinasibu kutokuegemea kwenye dini yeyote au zozote zilizo katika dunia yetu hii pendwa ndogo sana inayoitwa Earth.Nimesema dunia yetu ni ndogo sana maana ni kama punje tu dhidi ya sayari zingine zilizo angani kama Jupiter.Dunia ni kama punje ya mtama dhidi ya mpira wa basket...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna namna natamani kuwa sijui kwa jinsi gani itawezekana

    Habari zenu wanajukwaa. Naamini wote ni wazima poleni kwa wale wenye changamoto Mungu awatangulie 🙏. Niende moja kwa moja kwenye Mada. Kiufupi nimechoka namna jinsi gani nilivyo. Simaanishi sijipendi au sitamani tena kuishi... lahasha ila kama binadamu tungekuwa kama namna...
  11. JamiiForums Tanzania Kiukweli natamani sana kuishi maisha bila ya watu kunishangaa na kuniuliza kwanini

    "No one judge me" Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo ambayo natamani niyafanye kwa uhuru wote na kwa kujiachia kabisa. Binafsi mimi ni mtoa huduma za...
  12. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Natamani Maalim Seif angekuwepo

    “Tangu asubuhi nimeamka taswira ya maalimu Seif inanijia na natamani leo angekuwepo hapa katika uzinduzi huu na naamini huko aliko anatabasamu na mwenyezimungu aendeleee kumuweka mahala pema peponi” - @zittokabwe , Kiongozi wa Chama ACT Wazalendo
  13. J

    JamiiForums Tanzania Natamani siku ifike haraka hata kama ni kutoka tutoke tu, nimechoka!

    Natamani hiyo siku ifike haraka tucheze tumalize, hata kama tutatoka tutoke tu, nimechoka na hii mijadala! Yaani hii wiki moja ya kusubiri marudiano imegeuka na kuwa kama mwaka, dah! Tucheze tu, hata kama tutatoka siyo mwisho wa dunia.
  14. JamiiForums Tanzania Natamani hawa wanatoa ushuhuda makanisani nipate ninayemjua toka zamani na shida yake

    Naomba niongee hili jambo mimi mara zote aidha naona kwa TV au kwenye gazeti au mara ingine ata kwenye mikutano mbalimbali ya dini ya awa wachungaji wanaoponesha watu na pia kuwainua kiuchumi na kimaisha. Ila natamani sana kumpata mtu namjua naona akiwa pale mbele najua kabisa alikuwa kiwete...
  15. JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini bei za vyakula Tanzania zipande mara dufu

    Wakuu sina mengi hizi ni sababu zangu kutokana na hali halisi iliyopo huku mashambani kunakofanyika kilimo..( nipo kilombero morogoro) ZAO MPUNGA Bei ya kukodi shamba Ni laki 2 kutoka laki 1 msimu uliopita Bei ya kuvuruga ni laki moja na 40 kutoka 80elf msimu uliopita Bei ya kupanda ni laki...
  16. JamiiForums Tanzania Natamani Sana mwanamke anishike hivi

  17. JamiiForums Tanzania Natamani kuwa na mpenzi Mzungu lakini sijui nampataje

    Naomba mawazo ya wazoefu wa kuinteract na Wazungu. Nahitaji msichana/mwanamke wa Kizungu awe mpenzi wangu ila sielewi nifanyeje nimpate. Nimejitahidi kwenda maeneo wanayopendelea kukaa haswa Oysterbay/Masaki lakini namna ya kuwaingia ni ishu, maana wapo busy sana na mambo yao pia ni wagumu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania NATAMANI SANA,NCHI YETU IWE NA DEMOKRASI YA HALI YA JUU KAMA KENYA:

    Uchaguzi wa Kenya umekwisha,lakini mshindi wa kiti Cha urais aliyetangazwa na tume huru ya uchaguzi ,ya Kenya RUTO bado hajazibitishwa kwa kuwa mpinzani wake wa kitu hicho ,Raila Odinga , alikwenda mahakamani kupinga matokeo yao.Mahakama ya upeo itato majibu ya rufaa ya mzee Odinga siku ya...
  19. JamiiForums Tanzania WanaJF waliohesabiwa na wale ambao hawajahesabiwa, mapumziko ya leo yamewasaidiaje?

    Kwa kuwa kujifunza hakuna kikomo, natamani kujifunza zaidi kuhusu mabadiliko yanayofanywa katika nchi yetu hasa kwa awamu hiiya sasa! https://www.jamiiforums.com/threads/ikiwa-tarehe-23-august-ni-mapumziko-je-karani-atazifikia-kaya-zote-kwa-siku-hiyo.2011912/post-43501017
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natamani makarani wa sensa wangetuuliza pia idadi ya michepuko tuliyonayo na idadi ya watoto wa nje

    Hili swali lilikuwa muhimu sana. Kwa nini? Serikali ingejua kwa kiwango gani wanaume tunajitoa kusitiri wanawake wasioolewa au michepuko kwa kiasi gani,hii huenda ingesababisha mishahara yetu kuongezeka. Pili ingejua tatizo la single mother ni kubwa kiasi gani hivyo huenda vatican wangeruhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…