natamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natamani nipigane na member anayejiita Maghayo nimpasue

    Moja kwa moja. Sio kwamba namchukia kufikia levo hiyo hapana , ila ninakaugonjwa Cha kupenda kuwakomesha Wazembe , Wajinga , Wahalifu , Wapumbavu na wengine mfano wao. Pamoja na Mgerasi Busu la Kenge Maghayo The Mongolian Savage kuwa kwenye kifungoni kirefu yeye na genge lake ila bado...
  2. JamiiForums Tanzania Natamani mh. Rais ayatamke haya wakati anavunja bunge, na ipitishwe kama utaratibu halali.

    Mbunge wa Jimbo fulani lenye wapiga kura 350,ambayo ndiyo jumla ya wapiga kura wake, wenye vitambulisho vya kupigia kura halali, endapo hawataridhishwa na utendaji wa Mbunge wao basi Watakuwa na nguvu ya petition kwa kutumia vitambulisho vyao vya kura kumngoa Mbunge huyo, endapo wananchi hao...
  3. JamiiForums Tanzania Natamani kuvaa pete ya bahati Lakini sielewi inamaana Gani

    PETE ZA BAHATI Natamani kuvaa pete za bahati ila sasa naogopa sielewi inamaana Gani.Nasikia kwa mujibu wa jamaa fulani alisema,wakati akitafuta pete ya bahati aliambiwa apeleke damu ya mnyama,mbuzi mzee, sasa huwa najiuliza, hao walimaanisha mbuzi kweli au ni fumbo? Kwa wenye hizo pete naomba...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya TEC kuzuia makanisa yake kutumika na wanasiasa, natamani na TABOA/TATOA nao waje na tamko kuzuia mabasi na malori yao kutumika mikutanoni

    Mabasi na malori yanatumika sana kubeba watu toka maeneo tofauti na kuwapeleka mahali ambapo mikutano ya CCM inafanyika. TABOA na TATOA nao watoe tamko la kuzuia mabasi na malori yao kubeba watu kwenye mikutano ya siasa. Hili pia likifanyika, CCM pamoja na kuwa ni chama tawala watakuwa wapweke...
  5. JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mtoto mdogo nilitamani kuwa mtu uzima, ila sasa natamani kuwa mtoto mdogo!!

    So confused......!!!!! Is this true to everyone......????
  6. JamiiForums Tanzania Kuna jambo zito natamani kulileta humu ila nikifikiria naona bora niseme tu Mitanotena.

    Wakuu october tunatiki na tunakwenda na mama yetu kipenzi cha watanzania, mama aliyeingia mioyoni mwetu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natamani dunia ipasuke na watu wote wabaki kuwa historia

    Ninaelewa unachotaka kufanya — kuwasilisha hoja yenye mtazamo mkali kuhusu kuangamia kwa wanadamu duniani. Kutamani kufutika kwa wanadamu au kuangamia kwa dunia kunaweza kuashiria maumivu ya ndani au kukata tamaa. Kama unaandika haya kwa sababu ya hasira, huzuni au hisia za kukosa maana ya...
  8. JamiiForums Tanzania Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

    Wakuu mko salama? Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki...
  9. JamiiForums Tanzania Natamani kumsikia Jaji Warioba kwenye mambo ya kupotezana

    HUYU N MSTAAFU PEKEEE ALIEBAKIA KUONGEA WAPI TUNAELEKEA KWENYE MAMBO YAKUPITEXANA SHIKAMOO BABU POPOTE ULIPO
  10. JamiiForums Tanzania Natamani kila mwana JF asome vitabu hivi viwili, ni zaidi ya degree ya saikolojia

    Aisee nyiee!! Huu mwaka nimejikuta nasoma vitabu viwili vya zamani ambavyo naamini kila mtu amewahi kuvisoma, lakini hivi vitabu ukisoma neno kwa neno, mstari kwa mstari, ukisoma kwa kutafakari na kuhusianisha na maisha halisi ya mtaani hskika utagundua mambo mengi yakushangaza sana Cha pili...
  11. JamiiForums Tanzania Natamani mtanganyika Mtikila angekuwa hai ili siasa zinoge

    Sijui kama mwanangu Christopher Mtikila angekuwa hai hali ingekuwaje alivyokuwa haogopi na kuona mbali?
  12. JamiiForums Tanzania Nakumbuka miaka ya 2000 uraibu kwa njia hii ulishika kasi sana na ilikuwa wazi wazi

    Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
  13. JamiiForums Tanzania Natamani kununua Toyota Rush naomba ushauri wenu

    Wakuu Mimi huvutiwa sana na muundo wa gari hii, inaurefu Fulani ata sisi tunaoishi mabonde Kwinama inaonekana kama inafaa hivi. Sina utaalamu sana wa magari ila najiuliza kwanini gari hii sio nyingi sana barabarani wakati inaonekana kua gari nzuri kwa Mimi nisiyekua na ujuzi wa kutosha juu ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natamani kusoma HGE advance, nimemaliza form four mwaka jana, ila sijasoma Economic o level

    Natamani kusoma HGE advance. Nimemaliza form four mwaka jana, ila sijasoma Economic o_level. Hivi itawezekana kuchaguliwa hii combination natamani?
  15. JamiiForums Tanzania Natamani Mh Tundu Lisu nae aende kwa papa Italia I'li achukue baraka za no reform No election , kama alivyoenda Rais Samia mwaka jana.

    Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election" Katika...
  16. JamiiForums Tanzania Natamani kujua muda sahihi wa Wakristo kufuturu

    Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima. Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi??? Nipo kariakooo pale...
  17. JamiiForums Tanzania Natamani kuona mechi ya Simba na Yanga ikichezwa nje ya Tanzania.

    Imani za kishirikina ni moja ya changamoto zilizopelekea miaka hii ya soka kutokipiga kwa Mkapa mnamo mwanzoni wa mwezi March,japo kuwa hakukuwa na sababu za msingi kuhairishwa kwa mechi ya dabi. Hatuwezi kukataa maamuzi sababu yalikwishatoka ila limebakia swali tu,ni lini mechi ya dabi...
  18. JamiiForums Tanzania Natamani zali la kupigwa kula mchana Zanzibar linipate, patachimbika

    Yani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji. Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika. Chaliifrancisco gTurn hydroxo Malaria 2 Adiosamigo Mpaji Mungu PSL god mshamba_hachekwi min -me Jagina...
  19. JamiiForums Tanzania Natamani kujiunga Chama la Kataa Ndoa ila Roho bado inasita-sita

    Natamani kujiunga hili Chama la Wana ila roho bado inasita-sita. Nimejifungia sehemu bado natafakari
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Natamani mmoja Kati ya Tundu Lissu, Boniface Mwabukusi na Paul Makonda

    Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo Wote ni maradical Wote ni wanachukia Rushwa Wote wanachukia uzembe , uvivu Wote wanamsimamamo mikali Wote wanahulka ya kusema ukweli. Wote hawa ni wachapa Kazi hakika taifa letu pendwa la Tanzania litapaaa sana viongozi wote wazembe, wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…